Sijawahi fanya mapenzi na huyu msichana licha ya kukaa nae nyumba moja miezi saba sasa

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,699
9,777
Miezi minne ya mwanzo tokea huyu housegirl ameletwa rasmi nilikuwa nikiishi nyumbani, nimeishi nae nyumba moja kuanzia mwaka jana November hadi February baada ya hapo nikaanza maisha ya gheto, lakini siku moja moja nilikuwa nikirejea nyumbani hadi June.

Mwanzoni wakati wa ugeni wake nilim care sana ili nipate walau nafasi ya kuichakata mbususu lakini binti wa watu aligoma. Nilijaribu kimasihara za aina zote lakini wapi, hata siku moja nilipanga mpango wa kumkutiliza akiwa mtupu ili ajishushe thamani nimchakate lakini hata baada ya kumuona aligoma pia, alisimamia msimamo wake ule ule wa hawezi kufanya mapenzi na mtu ambaye hana imani kuwa atakuja kumuoa, nikaamua kumpotezea

Nilithibitisha uanaume wangu kuwa hata mimi naweza shiriki challenges alizoshinda idris Sultan baada ya kushinda nae ndani siku nzima, pia kipindi ndugu wakiwa safarini mwezi Desemba sikubahatika kumgegeda licha ya kuwa peke yetu pale nyumbani

Kilichoniuma ni baada ya skendo kuzuka pale mtaani kuwa natoka nae kimapenzi, hata kila binti niliyemtongoza ambaye alinifahamu aliishia kukazia hii hoja

Siku moja nilimshuhudia huyu binti akiwatamkia majirani kuwa mimi ni mpenzi wake na tuna ahadi ya kuja kuoana, niliwapita na kuingia ndani japo sikufurahishwa na hicho kitendo, inavyoonekana yeye ndiye alikuwa sababu ya uzushi ule kuvuma, yaani tuwe wapenzi ilhali hata mbususu yake siijui!

Anyway,
Nimeandika huu uzi kwa lengo la kuthibitisha kuwa unaweza kuishi na mwanamke nyumba moja na bado usifanye nae mapenzi

Athari zake ni kuzushiwa kuwa ushamgegeda msichana huyo, hata uiaminishe vipi jamii haitokuelewa kwa kuwa huyo siyo ndugu yako
 
Ushasema house girl, huyo ukimla anakuwa mkeo sasa maana majukumu ya mke anakava kwa asilimia 99 hio moja ya gegedo ndio hajatimiza tu.
 
Uyo binti ni wife material(kuishi naww bila kukupa mzigo na bado anatangaza ni mchumba ako), ningekutana na binti wa aina hiyo ningeanza taratibu za kua mwili mmoja.

Yaani ukioa binti kama uyo kugongewa ni ngumu sana labda ulimwengu umuharibu hasa mashosti zake.
 
Ameshagundua wewe ni boya ndio mahana anakukazia ,utakuta uko nje kuna mtu anampa bila ata ya kufosiwa..changamka au unataka mpaka akakutangazie kuwa usimamishi
 
Back
Top Bottom