Nimekamilisha upekuzi wa siku 30 kwenye simu ya mke wangu

safuher

JF-Expert Member
Feb 11, 2019
11,164
15,848
Kama miezi miwili nyuma niliamua kisirisiri kuingia kwenye secta hii ya ufbi kuchunguza mwenendo wa bi wife na watu wengine huko nje. nikajipa zoezi la kuvumilia lolote litakalo tokea nikalihimili.

Sijazaliwa nae, nimejuana nae ukubwani, nawezakuoa mwingine any time, wanawake wapo wengi haya yakanifanya niingie chemba.

Nikachunguza nikapata passwprd za simu yake hapo ikawa any time naingia naperuzi chochotr, nikaingia watsapp web nikadownlod nikascan hapo nikawa napata chatting zote bila kificho.

Nilichoambulia kwenye watsapp ni magrpup yake ya chuo ni waalimu wenzake wakirushiana material mbali mbali na hawachati kabisa, nikapekua pekue wee watsap nikaambulia chatting zake na mama yake tu wanachati kam mtu na dada yake nikapenda mana wako huru to each other.

Nikawa bado siamini kabisa,nikazama kwenye email zake kufukunyuaa huko waapi. nikaon isiwe kesi. nikatulia siku amelala nika install app flani hyo unapata kila kitu chake. mzee ikasoma.

Hapo nikawa napata kila kitu mpaka location,nikawa makini sanaa napo eboo sijaambulia kitu sio watsap, email, fb hatumii nilimpoga marufuku.(nmimi situmii)

Nikaona isiwe tabu nikawa naekenyua na kuchukua simu yakee, hangaika huku na kule hata mesej ya Ex kama alikuwa nae sijakuta. nikajipangia ikiisha mwezi nahitimisha.

Wiki zikakatika sioni tofauti yeyote ila tuu kuna mabadiliko niliyaona kwake ndo mana nikazama kumdukua mana haiwezekani mabadiliko yaje hivi hivi.

Kumbe bwana yale mabadiliko yake ambayo nilikuwa nayaona yanatokana na mimi.

Nikamfuma anachati na rafiki yake kipenzi huku wanachati wakagusi suala la mwanaume kuwa na maneno mazuri ya kumpa matumaini mwanamke ajiskie peke yake basi akasema wife
"We shoga mwaaume ambaye hana maneno mazuri ya kukuliwazana kukubembelezaunaona kam hakujali lazima ukose amani"

"Mume wangu mmmh sioni kama anajali sana kunipa maneno malaini na mazuri japo hachepuki kwa sababu huwa nachungulia siku moja moja simu yake""Ila. Simlaumu sana coz yupo bize, il natamani tu hali isiendele inaninyima amani"

Wakaendelea kubadilishana maongezi mpaka mwisho ila nikapata point hyo.Sasa nikajua kwa nini amekuwa hana amani na furaha kumbe hyo ndo sababu tena mimi ndo chanzo, na kweli niko bize bize kdoogoo.Nikamalizia na wiki moja ya utafiti na uchunguzi nikapata hilo tu.Hapo nikahitimisha na kusema

1.Nimejua tatizo sasahivi nitaanza kumpa maneno matamu na mazuri mke wangu ili furaha yetu idumu.

2.Wapo wanawake waaminifu ambao hawana mpango wa kuchepuka kabisa (nilikuwa napata mpaka calls zake zote)

3.Wanaume tutimize majukumu yetu na kuhakikisha tunawapa maneno mazuri wake zetu ili sisi tusiwe sabbu ya wao kusingizia kutoka nje ya ndoa.

Kuanzia sasa sitomchunguza mke wangu mpaka nione kuna mabadiliko makubwa ambayo yanaashiria kuchepuka vinginevyo tunayamaliza chumbani.

Nimeanza kumpa maneno yafaraja naona sura yak3 haiishi tabasamu kila kiniona na hunikumbushia yale niliyomeambia.

Wanaume wenzangu:ukiona mtu anasema wanawake wengi wanachepuka basi tambua kuwa hao wanapchepuka wanachepuka na wanaume na wala sio wanawake wenzao.

Hivyo kila tabia ambayo mwanaume anayo basi na mwanamke anayo pia. Asante Mola kunipa mke huyu.
 
Kama miezi miwili nyuma niliamua kisirisiri kuingia kwenye secta hii ya ufbi kuchunguza mwenendo wa bi wife na watu wengine huko nje. nikajipa zoezi la kuvumilia lolote litakalo tokea nikalihimili.

Sijazaliwa nae, nimejuana nae ukubwani, nawezakuoa mwingine any time, wanawake wapo wengi...haya yakanifanya niingie chemba.

Nikachunguza nikapata passwprd za simu yake hapo ikawa any time naingia naperuzi chochotr, nikaingia watsapp web nikadownlod nikascan hapo nikawa napata chatting zote bila kificho.

Nilichoambulia kwenye watsapp ni magrpup yake ya chuo ni waalimu wenzake wakirushiana material mbali mbali na hawachati kabisa, nikapekua pekue wee watsap nikaambulia chatting zake na mama yake tu wanachati kam mtu na dada yake nikapenda mana wako huru to each other.

Nikawa badp siamini kabisa.
nikazama kwenye email zake kufukunyuaa huko waapi. nikaon isiwe kesi. nikatulia siku amelala nika install app flani hyo unapata kila kitu chake. mzee ikasoma.

Hapo nikawa napata kila kitu mpaka location,nikawa makini sanaa napo eboo sijaambulia kitu sio watsap, email, fb hatumii nilimpoga marufuku.(nmimi situmii)

Nikaona isiwe tabu nikawa naekenyua na kuchukua simu yakee, hangaika huku na kule hata MSG YA EX kama alikuwa nae sijakuta. nikajipangia ikiisha mwezi nahitimisha.

Wiki zikakatika sioni tofauti yeyote ila tuu kuna mabadiliko niliyaona kwake ndo mana nikazama kumdukua mana haiwezekani mabadiliko yaje hivi hivi.

Kumbe bwana yale mabadiliko yake ambayo nilikuwa nayaona yanatokana na mimi.

Nikamfuma anachati na rafiki yake kipenzi huku wanachati wakagusi suala la mwanaume kuwa na maneno mazuri ya kumpa matumaini mwanamke ajiskie peke yake basi akasema wife

"WE SHOGA MWAAUME AMBAYE HANA MANENO MAZURI YA KUKULIWAZANA KUKUBEMBELEZAUNAONA KAM HAKUJALI LAZIMA UKOSE AMANI"

"MUME WANGU MMMH SIONI KAMA ANAJALI SANA KUNIPA MANENO MALAINI NA MAZURI JAPO HACHEPUKI KWA SABABU HUWA NACHUNGULIA SIKU MOJA MOJA SIMU YAKE"

"ILA. SIMLAUMU SANA COZ YUPO BIZE, IL NATAMANI TU HALI ISIENDELE INANINYIMA AMANI"

Wakaendelea kubadilishana maongezi mpaka mwisho ila nikapata point hyo.

Sasa nikajua kwa nini amekuwa hana amani na furaha kumbe hyo ndo sababu tena mimi ndo chanzo, na kweli niko bize bize kdoogoo.

Nikamalizia na wiki moja ya utafiti na uchunguzi nikapata hilo tu.

Hapo nikahitimisha na kusema

1.Nimejua tatizo sasahivi nitaanza kumpa maneno matamu na mazuri mke wangu ili furaha yetu idumu.

2.Wapo wanawake waaminifu ambao hawana mpango wa kuchepuka kabisa (nilikuwa napata mpaka calls zake zote)

3.Wanaume tutimize majukumu yetu na kuhakikisha tunawapa maneno mazuri wake zetu ili sisi tusiwe sabbu ya wao kusingizia kutoka nje ya ndoa.

Kuanzia sasa sitomchunguza mke wangu mpaka nione kuna mabadiliko makubwa ambayo yanaashiria kuchepuka vinginevyo tunayamaliza chumbani.

Nimeanza kumpa maneno yafaraja naona sura yak3 haiishi tabasamu kila kiniona na hunikumbushia yale niliyomeambia.

WANAUME WENZANGU:UKIONA MTU ANASEMA WANAWAKE WENGI WANACHEPUKA BASI TAMBUA KUWA HAO WANAPCHEPUKA WANACHEPUKA NA WANAUME NA WALA SIO WANAWAKE WENZAO.

HIVYO KILA TABIA AMBAYO MWANAUME ANAYO BASI NA MWANAMKE ANAYO PIA.

asante Mola kunipa mke huyu
Hongera sana mkuu.

Kuna wasiojielewa watakupinga.

Huwa nasema siku zote Ukiondoa wanawake wachache arrogant, waliobaki kama mwanaume akimuonesha kumpenda, kumheshimu na kumjali ndoa zungekuwa ni Mahala pa furaha na Amani.

Lakini mwanaume akishaoa tu anaanza kumdharau mkewe anachepuka waziwazi anajiona mfalme na mkewe ni mjakazi, anaona kumuoa ni kama kampa msaada mkewe na sio kuwa ni utaratibu tu wa maisha.

Sasa mwanamke anavumilia na Kama binadamu anafika mwisho anakata tamaa na yeye anaanza hata kumdharau mumewe, hapo mume anachanganyikiwa na kuona mwanamke ndio mbaya kwamba anatakiwa avumilie tu hata kama ni vipigo, dharau na manyanyaso
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom