Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kwa uzee wangu huu wa miaka 72, sijawahi kuwa na watoto mapacha ingawa huwa nawatamani sana. Sasa majuzi, mchepuko wangu...
7 Reactions
48 Replies
688 Views
Uswazi dada zetu wanaringia tako ushuwani wanaringia digirii uamzi ni wako kuchagua yupi
1 Reactions
15 Replies
575 Views
1. Penzi la mlinzi 2. Penzi la mama mkwe 3. Nakupenda jirani 4. Penzi la mwanafunzi 5. Siri ya kitanda 6.muuza shanga na movie nyingine nyingi maudhui yake ni ngono,kiukweli,kwa upande wangu...
3 Reactions
18 Replies
370 Views
Yani mkaka wa watu anajituma kumhudumia mdada. Alaf all in all anakutishia atakuacha.kisa na maana kuna lengo fulan hujamtimizia. Ata yale umefnyia hakumbuk.yaan kwa nn mna tutesa hivi.
11 Reactions
66 Replies
822 Views
Baada ya ejaculation ndio akili zitakurudia na kuanza kujutia. Vijana kabla ya kufanya ngono chekini afya zenu kama ziko sawa au tumieni protective device.
17 Reactions
66 Replies
1K Views
Kama sio mwathirika wa ukimwi uyo basi umri umeenda sana yupo 30 na kuendelea na pia ana watoto kuanzia wawili na ametelekezwa anatafuta wa kumtulia shida zake Uwezi kumkuta mwanamke yupo chini ya...
2 Reactions
1 Replies
179 Views
Au tuseme US na Israel wako juu ya umoja wa mataifa?
0 Reactions
2 Replies
97 Views
Hii nina uzoefu nalo, unakuta kijana anaoa ili ku prove wrong zile fununu za jamii kuwa "jamaa haisomi" sasa anaamua kuingia ndoani si kwa matakwa yake bali kwa shinikizo la jamii, Anaenda...
4 Reactions
15 Replies
210 Views
Unamruhusu mpenzi wako awe na best friend wa jinsia tofauti ?
2 Reactions
53 Replies
810 Views
Mimi ni kijana wa miak 25 Sasa naingia mwaka huu Kuna mke wa mtu ananisumbua ananitumia message namba tofauti tofauti nishamtukana na kuama mtaa ,mwazoni alihitaji msaada WA pesa aliniomba nikampa...
11 Reactions
54 Replies
1K Views
Hapo vip! Kuna utafiti mmoja umefanywa na shirika moja la kimarekani,linasema wanaume weupe hawapendi ngono sana kama wanaume weusi. Wanasema wanaume weupe wanapenda sana kumiliki vitu vizuri...
16 Reactions
100 Replies
2K Views
Unaweza kusema kuwa maisha ya upweke yana raha,ila kiukweli n ya mateso. unaweza ukaugua ukakosa msaada wowote.hata kujipikia...
1 Reactions
2 Replies
147 Views
Tujadiliane hapa! Kwa nini wanawake asilimia kubwa huwa hawana uthubutu wa kutongoza mwanaume hata kama awe amempenda kiasi gani. Je kwa nini huwa wanaogopa?
4 Reactions
28 Replies
568 Views
Hi tabia ya kuvaa vimin na nguo zinazobana inawashushia heshima yenu. Yaan tujarib kujisitiri ili heshim yetu dumu. Mwanamke bora n mwenye tabia njema ila sio sura na shepu.
5 Reactions
19 Replies
285 Views
Mpo wakuu! Baada ya episode ya kwanza ku-trend mtandaoni nimeona niachia hit-post nyingine itakayoenda kumaliza ngebe za post ya kwanza. Kama mnavyonijua Joka jeusi mzee wa kutamba tambaa nimeona...
20 Reactions
32 Replies
6K Views
Ni muhimu uyajue haya mapema. Kabla ya kuchelewa na kujikuta unaumia juu ya wanawake bila sababu. Wanawake ni tofauti na wanaume. Jifunze haya mapema. Utatumika jinsi unavyomuongoza. Kama...
20 Reactions
19 Replies
4K Views
Huwa napenda kufananisha uhusiano na business life cycle kama kitu ambacho huwa na stages tofauti. Introduction, growth, maturity and decline stage Katika mahusiano kunakuwaga na point ikifika...
129 Reactions
1K Replies
136K Views
Wakuu Nimekutana na ripoti zilizotolewa mtandaoni zinaonesha tofauti kubwa za muda wa wastani wa tendo la ndoa kati ya nchi mbalimbali duniani. Kulingana na orodha, Ecuador inaongoza kwa kuwa na...
6 Reactions
13 Replies
430 Views
Ilinichukua muda sana kugundua shida nini ila kila nikichomeka nikawa nakosa kabisa ushirikiano naamua kuichomoa tena nasubiria kidogo kisha nikawa najaribu kuichomeka tena nione km itakubari...
1 Reactions
22 Replies
405 Views
Patrick Oita Nyapara, ambaye ni police nchini Kenya alimuua mpenzi wake kwa kumtandika Risasi 47 baada ya binti huyo kumkataa, pindi alipomaliza masomo Chuo Kikuu. Kwa maelezo ya Patrick ni kwamba...
7 Reactions
51 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…