Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Huu ni usemi nilisikia kwa Sheikh mmoja hivi, nahisi amenigusa mimi kabisa. Nimekosea kupenda hivyo nimeyakosea Maisha yangu kabisa. Nipo kwenye ndoa lakini niliyemuoa nilikuja gundua simpendi...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Ndio hakuna Mwanamke Mrembo zaidi ya wengine duniani_ Kijana wakiume mfanye wa thamani Mwanamke wako, ambae teyari ameyavumilia mapungufu na madhaifu yako kwa kipindi chote cha mahusiano yenu...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Nina mashaka na shuhuda za wachakata mbususu humu ndani, sifa za mabinti wanazotoa mara zote zinafanana tako la kwenda, uzuri wa sura, sauti nzuri, shepu nzuri, guu la bia n.k. Kwamba hamjawahi...
6 Reactions
24 Replies
2K Views
Jumamosi nlikuwa na wife tunaenda Bagamoyo kutembea. Tukiwa njiani nilijikuta namsimulia wife habari ya mchepuko wangu ambaye kwa kweli ananisumbua sana kichwa. Amenichanganya sana. Tulikuwa...
16 Reactions
44 Replies
4K Views
Habari ndugu zangu!! Naomba mnijuze sifa/tabia(nzuri na mbaya) za wanaume wa kabila la wakurya!
0 Reactions
76 Replies
29K Views
Pata picha umesafiri umeacha familia yako Junior anaumwa, umefika ulipokwenda unampigia simu mkeo kujua vipiimo vinasemaje Mimi: Habari mke wangu doctor kasemaje Yeye; Kasema mtoto ana YUTIYAI na...
31 Reactions
78 Replies
4K Views
NDUGU NA MARAFIKI ZAKO NDIO MAADUI ZAKO WAKUBWA Ndugu zako na marafiki zako wa karibu wanakupenda sana. Ndio maana mpaka sasa mpo karibu na mkishirikiana kwenye mambo mengi.Lakini hawa hawa ndugu...
3 Reactions
3 Replies
4K Views
Leo nimeamshwa na sauti za gari la wabeba taka. Nikasikia wakizungumza kwa sauti ya juu huku wanakusanya madumu ya taka na kurusha kwenye gari. "Usioe mwanamke ambaye atakukimbia siku ikibidi mle...
7 Reactions
25 Replies
3K Views
Jamani ama kweli Wanaume tumeumbwa mateso. Demu kala vizuri na lodge nimelipia lakini mbususu yake amegoma kunipatia anadai hakuwa tayari na yuko kwenye siku zake. Nimejiuliza kama hakuwa tayari...
21 Reactions
186 Replies
12K Views
Habari wana wa JF, Mimi naishi hapa Dar, nimekutana na wanawake wengi wa kinyamwezi, 90% ya wanawake wa kinyamwezi wamejazia sana kuliko makabila mengine nilikutana nayo. Huwa najiuliza ni...
0 Reactions
32 Replies
22K Views
Hii ni kwa wanaume wote ikitokea siku umemfumania mkeo au mchumba wako na mwanaume mwingine funga domo lako kaa kimya usitutangazie. Yaani umekuta sms au umemkuta kwenye mazingira ambayo ushahidi...
5 Reactions
5 Replies
839 Views
USINIKIMBIE MUME WANGU. Na, Robert Heriel Kadiri siku zilivyokuwa zinasonga ndivyo matumaini yalivyokuwa yanazidi kupotea. Zile ndoto alizokuwa anaziota akiwa Kigoli wa miaka ishirini ziligeuka...
4 Reactions
11 Replies
3K Views
Upendo ni jambo adhimu sana ambalo sisi wanadamu ni lazima tulifanye, sio tuliongelee tu. Mbwa ukimwambia I LOVE YOU hawezi kukuelewa. Ila ukimuonyesha upendo atakuelewa sana, na atakupenda pia...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Wadau! Nimeshtushwa kwa kiasi kikubwa kwa jinsi uzi wenye kichwa cha habari cha"Maombi ya nafas za muda za ukarani wa sensa"Unavyotembea kwa kasi ya ajabu kuanzia comments mpaka views ,kuliko ule...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Maeneo mengi ya bara la Afrika, mapenzi yanatazamwa Kama sehemu ya kuchumia Mali. Mfano mahari kubwa, kuhonga Mali na wanawake kujiuza, haya yote yanadhihirisha kuwa wanawake wa kiafrika hawana...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habarini wakuu Nataka kujua kwanini hasa wanawake wanapendelea kuuliza maswali Haya kwa wapenzi wao au watu wa karibu 1.umekula? Ukisema ndio linafuata swali lingine la umekula nini au chakula...
2 Reactions
56 Replies
8K Views
Aiseee leo nimepata majanga kuna demu mmoja nimejuana nae kama wiki tu hatuna mahusiano ila ni marafiki. Leo nimempanga kaja ghetto nikamnunulia chipsi kala tukapige vijistori yaani nilitaka...
8 Reactions
76 Replies
8K Views
Nikipita social media unakuta kama mwanaume amepost kitu then kuna sehemu ya mkono, unaona baadhi ya wadada wanasema " unakucha nzuri, post mkono niuone" sasa nauliza inamaa mwanamke anaweza...
2 Reactions
65 Replies
5K Views
Nina muda kidogo tokea niwasili mkoa huu wa Mara kwa kazi maalum ambayo itaendelea kuniweka uku kwa miezi kadhaa. Kabla sijafika uku na ata baada ya kufika, nlishapata taarifa nyingi kuwa mkoa...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Upande wa pili kwenye Simu "Ujue mtoto toka Jana homa imepanda sijampeleka hospitali kwasababu hujatuma hela''. Mshikaji ''inamaana umeashindwa kupata buku la kumpeleka hospitali mpaka uningojee...
2 Reactions
8 Replies
680 Views
Back
Top Bottom