mdesi
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 1,375
- 2,267
Habari wana wa JF,
Mimi naishi hapa Dar, nimekutana na wanawake wengi wa kinyamwezi, 90% ya wanawake wa kinyamwezi wamejazia sana kuliko makabila mengine nilikutana nayo.
Huwa najiuliza ni asili yao kana kwamba huko Tabora wako hivyo au wakitokea huku kwenye chips kuku wa kisasa ndo kumewapa mjazo huu.