Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Huyu mdogo wangu yupo kidato cha nne, ninampenda sana na nimekuwa kama mshauri wake hususani kwenye issues za kujikinga na mahusiano kwa ujumla. Humfundisha mbinu za kuepuka vishawishi vya...
33 Reactions
363 Replies
24K Views
Jamaa yangu rafiki aliniomba geto ili aweze kuchakata mbususa demu fln ambaye pia mimi namfahamu walichonifanyia sitokaa nimuazime mtu geto langu nahisi yule manzi walifanya maksudi tu...
12 Reactions
79 Replies
7K Views
Sifa za nimtakae (Mwanamke) Vigezo vyake : Dini : yoyote ile sijali Mtoto : Akiwa nae asizidi mmoja Kazi : Awe mfanyabiashara/Muajiriwa vyovyote ila Ki uchumi awe vyema (Akiwa Mfanyabiashara...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari za J5 wakuu, Kuna umri ukifika kumpata mtu ambae hajaanza maisha kabla ni nadra. Nilitaka tufahamishane changamoto unazopata pale unaokuta watoto kwenye uhusiano.
3 Reactions
341 Replies
22K Views
Asiwe mfupi, asiwe mnene asiwe mweusi. Awe tayari kuishi maisha ya Kiislam (kusoma dini na kufanya ibada ni lazima) na awe tayari kuishi maisha yeyote pasi na kwenda kinyume na mafundisho ya...
4 Reactions
18 Replies
967 Views
Wakuu habari? Poleni na tozo. Je, wenzangu haya kwenye mahusiano yetu mnaya fanya?
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari Jf. Unakuta msichana mrembo kabisa mkali pisi kali anafaa kuwa mama yeyo lakini kuna kijana anaharibu anakula tu alafu haoi. Waoaji wakija kashaumuka.Tutunge sheria ya hivi viharibifu vya...
1 Reactions
45 Replies
3K Views
Mwezi wa 12 nitahamia kwa dada yangu, ni baada ya kukaribishwa na Shemeji kwa ajili ya kufanya shughuli ndogo ndogo za kujipatia riziki. Sasa kabla ya kuondoka nataka nifahamu changamoto kadhaa...
4 Reactions
88 Replies
7K Views
NILIVYO KUTANA NA ESTA KIJIJINI MKOLA. Hali ya hewa Ilikuwa inafika nyuzi joto 10C hadi 12C. Ni kipindi Cha baridi, tena baridi kweli, halafu unaambiwa angalau huku ndani ndani, huko Mbeya...
8 Reactions
18 Replies
3K Views
Kila kukicha kumekuwa na matukio tofauti tofauti wengine wanauana wanatuongezea mzigo wa tozo [emoji16]na wengine wanapeana vilema vya maisha kisa tu wivu wa mapenzi! Mwanaume kamili inabidi...
27 Reactions
51 Replies
4K Views
Wanawake wa siku hizi mtatuua sisi wanaume ambao bado tunahisia za mapenzi. Kuna sehemu huwa naenda mara moja moja kufanya service. Sasa kutokana na kuwa nikipeleka gari huwa napenda kusubiria...
17 Reactions
49 Replies
5K Views
Wakuu hii kitu ni kweli kabisa sasa nimeamini, kuna dada mmoja hapa jirani ninapoishi niliwahi kuwa nae kwenye mahusiano lakini kutokana na tabia zake za dharau na kujiuza uza kwa bei chee...
4 Reactions
9 Replies
964 Views
*USEJA - hii ni ile hali ya mtu kuishi bila ndoa. Swali: Kwa dunia ya Sasa na maisha ya sasa yalivyo kipi ni bora kuishi maisha ya useja au kukubali kuoa/kuolewa? - Kwangu Mimi maisha yaliyo...
3 Reactions
67 Replies
4K Views
Katika maisha haya bado nawaza tofauti ya kuumizwa na kutendwa maana najua mtu kukuumiza ni pale amekuonea au kupoteza imani yake juu yako lakini kutendwa na jua tu labda kwenye usaliti wa...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Wanawake hawana cha kupoteza. Umeokota demu huko sijui mpenz, bao mbili zinamtosha. Sio lazima aridhike, ukiridhika wewe inatosha. Yaani umridhishe, umpe hela na pia upoteze protein hapa tunajiua...
27 Reactions
116 Replies
10K Views
Na, Robert Heriel Vikoba ni msaada mkubwa kwa watu wasioweza kuhifadhi pesa, watu wasio na msukumo wa kutafuta pesa. Vikoba humsaidia mtu kupata msukumo wa kutafuta pesa ili apate pesa ya...
30 Reactions
148 Replies
13K Views
Hii ni kwa wote, wanawake na wanaume. Ikiwa mke/ mume wako hana uwezo wa kupata watoto utachukua uamuzi gani?
1 Reactions
89 Replies
7K Views
Naitwa pepetua nahitaji mwanaume wa kufunga nae ndoa Sifa zangu: Dini- mkristo Miaka-34 Kazi- Mtumishi serikalini Status- sina mtoto wala sijafunga ndoa SIFA ZA MWANAUME NIMTAKAYE Awe mkristo...
12 Reactions
59 Replies
6K Views
Sad, alikuwa single mom, watu wakachonga sana. Huolewi coz ni Malaya, kama si Malaya mbona umezalishwa hujaolewa na blah blah kibao. Akaona isiwe shida kwa kuwa natongozwa ngoja niolewe na yeyote...
61 Reactions
373 Replies
26K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…