Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mambo vipi jamiiforum members. Bila shaka nyote mpo pouwaa na wazima sanaa! Nina rafiki yangu ana umri kama miaka 47 hivi tupo naye ofisi moja ijumaa aliyopita alikuwa na kihoja cha mwaka. Ni...
2 Reactions
129 Replies
27K Views
Ambwene mwasongwe kwenye wimbo wake wa nguvu ya kujua kuna sehemu anasema “Moyo wa mtu ni kichaka, umehifadhi mambo mengi” Neno maisha ni fupi ila lina namna zaidi ya moja ya kulielezea, Watu...
11 Reactions
14 Replies
3K Views
1. Wimbo wa Mbaraka Mwishehe- ntamtuma mshenga, akinikuta nasikiliza huu wimbo huwa ananichukia Sana Tena huwa hataki hata kuniongelesha, yaani siku hiyo nitaishi kwa shida sana 2. Mpenzi Luta by...
3 Reactions
58 Replies
3K Views
Kuzipata hela sio kuwa na hela nyingiiii au kununua magari mengi hadi mengine huya tumii ...au kununua nguo nyingi ambazo hadi nyingine huzivai. Kuwa na hela ni kuwa na uhakika wa kutimiza mambo...
7 Reactions
20 Replies
1K Views
Binti kisu kisu kweli. Ilikuwa tuupige ' ubeche' wa Harusi miaka minne iliyopita baada tu ya mchumba wake kuhitimu Chuo lakini baada ya kushauriwa mshkaji alilielewa somo na kukubali kuahirisha...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Hakika wanawake si binadamu, ni viumbe wa ajabu sana kulinganishwa na majini au hata nyoka. TUISHI NAO KWA AKILI Mwaka 2017 huyu binti alikuwa kidato cha nne. Kwa bahati mbaya alipata ujauzito...
34 Reactions
74 Replies
6K Views
Habari! Sasa tumechoka kusikia vilio vyenu enyi wanaume wenzetu. Nature ya mwanamke ni kutawaliwa, ndio maana mtawala akiwa mwanamke kwa level yoyote ile lazima ichukuliwe special issue. Binti...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Wanaumee kamanda hapa nahitaji msaada wa haraka sana. Nahisi manzi yangu kanitengeneza kwa watalamu, hivyo nataka nitegue ambaye anajua tiba anieleze hapa. Nimeanza kuhisi kutengenezwa kwa sababu...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Sifa ya ukorofi. A mister No Nonsense. HII ndio sifa Bora kabisa Kwa wakwe zako. Wakwe zako wanatakiwa wajue kwamba wewe mwanaume uliye muoa binti Yao. 1. Ni mkorofi Sana. 2. Hutaki Nonsense...
14 Reactions
36 Replies
4K Views
Zamani nilikuwa napenda kama kuku bwenge, nikimpenda mwanamke nilikuwa sisikii wala kuona. Nilikuwa naomba msamaha kwa kosa ambalo sijafanya mimi ili kulinda upendo wangu. Nilikuwa masta wa kuonga...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Jamani za leo? Mimi kwangu nipo sawa tunashukuru Mungu. Sasa wanaume mnanishangaza sana walahi tuanze hawa wanaume namba 1 . 1. Wanaume msiojielewa. Hivi inakuwaje unampa mtu mimba anakuzalia...
12 Reactions
145 Replies
8K Views
Wakuu natumaini ni wazima, Mungu anaendelea kutupigania. Niende moja kwa moja kwenye uzi Iko hivi nilikutana na dada mmoja kiukweli nilitokea kuvutiwa sana na huyu dada kiukweli sikutaka...
6 Reactions
90 Replies
5K Views
Za mda huu watu wa nguvu? Poleni na kazi !! Iko ivi Kuna ishu hapa Ina utata Kuna dogo nilikutana nae maeneo fulani hapa dar kwa vile niliishia nae mkoa fulani huko nyuma alikuwa mdogo kwangu...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
When I was a lil bow wow (a very young boy) I was thinking just like you. Nilikuwa nafikiri kwamba ukitaka kung'oa mademu wakali lazima umiliki gari. So tangu enzi hizo dream yangu kuu...
19 Reactions
127 Replies
15K Views
Habar zenu wanajamiiforum..hope ni wazima mnaendelea vzr na majukum ya kitaifa.. Ndugu zangu ushauri wenu unahitajika kwa huyu rafiki yangu..Ni graduate ambae ni jobless bado ..lakini alibahatika...
3 Reactions
45 Replies
4K Views
Hawa dada zetu warembo kuna mda wanajichanganya saana alafu wanakuja kujitambuwa tayari maisha yao hayana tena thamani yaani nina maana mfano kuzalia kwao au kujiingiza kwenye mambo ya ajabu ajabu...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Kwa miaka zaidi ya 7 sasa nimekuwa nikibadili wanawake. Kuna usemi kwenye kitabu cha dini unasema utajijaribu kwa tamaa zako mwenyewe. Mwanaume unaenda kufanya manunuzi au unaenda kupiga balimi...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari zenu, Natafuta mwanamke wakumuoa, umri wangu miaka 31, ni muumini wa Roman Catholic, nimejiajiri kwenye biashara za mazao yatokananayo na kilimo, naishi Moshi, Kilimanjaro, elimu yangu...
0 Reactions
3 Replies
481 Views
Huyu mwanadada tulikutana naye mwaka 2007, nikiwa naishi old moshi, na yeye akiishi kwao mtaa wa rau Moshi. Tulikuwa na mahusiano, kipindi hicho na nilitegemea awe ubavu wangu wa kushoto, ila...
6 Reactions
129 Replies
6K Views
Wana wa mama tozo hopeful mnapambana ipasavyo... Basi bwana mwezi uliopita nikiwa benk flan ya kikulima kikulima nikakutana na ndugu yangu kwenye ukoo tulipotezana mda sana. Huyu ndugu alikuwa na...
13 Reactions
69 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…