kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,793
- 5,042
Hawa dada zetu warembo kuna mda wanajichanganya saana alafu wanakuja kujitambuwa tayari maisha yao hayana tena thamani yaani nina maana mfano kuzalia kwao au kujiingiza kwenye mambo ya ajabu ajabu kama umalaya
Kuna mmoja mtaani kwetu kazi yake ilikuwa kutukana wanaume tu utasikia yule karusha vumbi atoke nanani?
Cha ajabu wale ambao kweke alikuwa anaona ndo size yake walimpa mimba wakasepa zao cha kuhuzunisha ni kuwa wale amba alikuwa anaona ndo karusha vumbi kipindi kile ndo wana mpa pesa na kula chuchudede kirahisi kabisa
Thamani yake imepotea kwa sasa ni cha wote wenye pesa zao
Kwa hiyo sura yako isikudanganye kuwa ulivyo mrembo hutakosa mwanaume wa kukuoa kisa wewe mzuri
Na kutongozwa saana sio kuolewa
Jifunze tabia njema. na acha dharau
Good morning kwenu