Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Walengwa: 1. baba alietengana na mzazi mwenzake ila anaendelea kutuma pesa ya matumizi ya mtoto 2. Baba ambae anaishi nyumba moja na familia yake lakini anampa mke wake pesa ya chakula cha...
4 Reactions
8 Replies
920 Views
Ni shem wangu anapitia kipindi kigumu na mumewe na ananishirikisha mpk siri zake za ndani na analalamika kuwa jamaa hamjali na hata huduma ya unyumba haipati nimemshauri mpk nimeshindwa kuwaweka...
6 Reactions
27 Replies
3K Views
Mimi ni kijana wa makamo ambae nimefikia uamuzi wa kutafuta mwenzi wa kuoa niko 33. Nimepata dada anaenipenda sana ila kinachonitisha ni wivu. Mfano suala la simu nilimuambia sitaki niione yake...
1 Reactions
92 Replies
6K Views
Kuna mwanababa amenileta kwake niishi hapa, hivi sasa natimiza wiki mbili. Lengo kuu haswa la kuwa hapa ni kwa ajili ya kuwapatia mafunzo ya ziada wanae wawili wa kiume, mmoja darasa la nne...
25 Reactions
108 Replies
21K Views
Kuna shule iko somewhere, wanafunzi wake wa A level wa kike wako boarding! Kutokana na umbali uliopo kati ya nyumbani na shuleni, nililazimika kuamka asubuhi na mapema ili kuwahi kabla ya mwalimu...
4 Reactions
159 Replies
76K Views
Tayari nishagharamia 15k ya chumba chenye hadhi na kiyoyozi juu. Juu ya kijisturi nimeweka wali na samaki wa kubanikwa tayari kwa mtoto anayeenda kuliwa. Gheto kwangu nimetoka tayari nishatafuna...
11 Reactions
89 Replies
9K Views
Sasa ifikie wakati tuendane na kauli ya usawa wa 50 kwa 50 Haiwezekani kila demu ninayemfuata namtongoza huku nikiambulia matusi makali kutoka kwake, halafu mwisho wa siku nibahatike kumchakata...
2 Reactions
15 Replies
807 Views
Kuna msela mmoja apa kijijini kwetu watu walikuwa wanamuogopa kwasababu ya tabia zake chafu Alikuwa muhuni kinoma tulikuwa tuna muita chinja chinja Jamaa huyo alikuwa mwizi na mpenda vurugo saana...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Leo naomba tuongee kiume, wanaume wenzangu. Najua ni vigumu kuridhika na mwanamke mmoja uliyenae, ila hata kama tamaa ikikuzidia sio lazima uzae na mchepuko. Unajua katika familia, Baba ni kichwa...
62 Reactions
201 Replies
19K Views
Habari za mchana wana Jf, Iko hivi..nimekuwa kwenye mahusiano na mdada flani hivi huu mwaka wa pili sasa ila sasa pale napotaka kumkumbatia ananiwekea kizuizi hataki hata nimguse nikimuuliza...
6 Reactions
14 Replies
1K Views
Kuna papuchi nimekuwa nikiifukuzia na kuiomba kuichakata ni mwezi wa tano sasa. Juhudi zangu zote hazikuzaa matunda mbali na kuhonga sana, kutumia muda wangu ipasavyo. Katika harakati za kukata...
7 Reactions
14 Replies
2K Views
Naombeni kwanza kukaribishwa kwenye haya majukwaa ya kijamii! Nina mpenzi wangu ambaye nilikutana nae mkoani, hivyo tukaanza mahusiano na sasa tuna miezi kumi. Mwezi uliopita kwenye tarehe 20...
31 Reactions
244 Replies
15K Views
Kwenye mahusiano Kila mtu ana mtindo wake wa kuyaendesha. Kuna ambae ni playboy, hana muda wa kusettle na mwanamke kwa muda mrefu, anapiga na kuacha. Kuna dada ambae ameamua kuwa mdangaji, yupo...
37 Reactions
58 Replies
4K Views
Miaka kadhaa iliyopita niliwahi kuingia katika mahusiano na mwanamke ambaye alinizidi kipato. Mdada alikuwa anafanya kazi katika idara fulani serikalini. mazingira ya kazi ya idara yake...
26 Reactions
200 Replies
61K Views
Baba ni baba tu ata kama alimkimbia mama yako. Sasa huu ujinga wakumthamini mmoja na kumtupa mwingine umeanza lini? Hakuna vya sperm donor au sperm maji always baba ni baba tu. Tambua bila huyu...
9 Reactions
41 Replies
3K Views
TULIVYOACHANA ALINIAMBIA MTOTO SIYO WA KWANGU, AMEACHWA TENA ANATAKA NIMRUDIE. Dunia hii hawa Wanawake wamekuwa Vichaaa siyo Bure.... kaka nimekwama najitaji ushauli naomba nisaidie. "Nilikuwa...
10 Reactions
56 Replies
4K Views
Mtoko wa chakula cha usiku ambacho nilikuwa na wiki mbili nimeuomba kutoka kwa Brenda ulikuwa umekubaliwa. Tulikuwa kwenye moja ya mgahawa katikati ya jiji la Mwanza. Tuliagiza chakula na kula...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Baada ya Serikali ya CCM kuhamishia Mkao makuu yake DODOMA kwa nguvu na bila tafiti, zaidi ya asilimia 87% ya watumishi wake ambao walikuwa wakiishi DAR ES SALAAM sasa tumehamia DODOMA. Baada ya...
7 Reactions
92 Replies
6K Views
Bila kupoteza muda naenda moja kwa moja kwenye mkasa wenyewe. Wanaume wenzangu naombeni mbinu ya kupunguza mashambulizi kwa hawa jinsia ke , maana huyu ni mtu wa tatu anasema nikiendelea kukamia...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…