Mungu anakupa unacho stahili sio unacho kitaka wewe

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Kuna msela mmoja apa kijijini kwetu watu walikuwa wanamuogopa kwasababu ya tabia zake chafu
Alikuwa muhuni kinoma tulikuwa tuna muita chinja chinja
Jamaa huyo alikuwa mwizi na mpenda vurugo saana mpaka alikuwa amejitenga mbali na makazi ya watu yeye alikuwa anakaa maporini uko
Ila cha ajabu na cha kushangaza
Pamoja na tabia zake chafu za kiujambazi
Jamaa alipata mwanamke ambaye alipendana naye na wakaoana
Huyo mwanamke alibadirisha maisha ya msela huyo kutoka kwenye uhuni mpaka kuwa mwanaume bora kabisa ambaye kwasasa ni mtumishi wa Mungu

Ndo Nikaja kutambuwa kuwa kumbe siku zote Mungu ana mpa mtu kitu anacho stahili ili akibadirishe na kuwa kitu anacho kitaka
Mfano unaweza kupewa mwanaume mchafu au mwanamke mchafu
Na wewe ndoto yako ni kuolewa na mwanaume msafi tambuwa una nafasi kubwa ya kubadirisha huyo mwanaume au mwanamke wako
Kwa hiyo dada yangu au kaka yangu usimuache mwanaume au mwanamke wako eti kisa hana vigezo unavyo vitaka
Tambuwa Mungu anakupa unacho stahili kuwa nacho mambo ya vigezo hayo ni juu yako sasa kubadirisha icho kinacho kustahili kuwa unacho kitaka

Ila ukitongozwa na mwanaume mfupi na ndoto yako ni kuolewa na mrefu
Sijui apo itakuwaje sasa!
 
Ukiachana na hayo ......umejifunza nn mengine
 
Nna mpangaji wangu yeye na mke we ni wachafu balaa.
Kweli Mungu umpa mtu mke wa kufanana nae aisee.
 
Back
Top Bottom