Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kwa muda mrefu nimekua nikijiuliza hili swali bila kupata majibu muafaka. Kila linapoibuka swala la ushoga, mara nyingi nimeona wanawake ama wakiwa hawaonyeshi kukerwa nalo, au wakilitetea. Na...
18 Reactions
227 Replies
17K Views
Nakumbuka mafundisho fulani hivi niliyopewa mwaka fulani kwamba kila jambo lina kanuni au 'principle' zake, ukishindwa kucheza ndani ya hizo principle umekwisha 'kipopoma', vilio vingi vya...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Hakika Ngoma ikivuma Sana inapasuka waswahili walinena, Leo ni siku mbaya sana ktk maisha yangu nahisi uwezo wangu wa kufikiri umefika mwisho. Ishu ipo hivi jana nilikuwa na mchepuko wangu kwenye...
30 Reactions
246 Replies
16K Views
Wanawake walio wengi, walishajiwekea utaratibu wa wao kuhudumiwa tu kwenye mambo yanayohusu pesa. Na si wao kumuhudumia mwanaume. Hii imepelekea kwa wanaume wengi kuwa watumwa, kuhangaika usiku...
6 Reactions
55 Replies
2K Views
Kuna Dogo Baada Ya Kumaliza Chuo. Kaka Zake Wanne Walichanga Kila Mmoja Milioni Tatu ,Wakampa Kama Mtaji. Dogo Yeye Akaenda Kumfungulia Mchumba Wake Duka La Vipodozi Na Urembo. Mchumba wake...
22 Reactions
70 Replies
4K Views
Habari Ni kijana wa miaka 28 Kutokana na matatizo Yangu (kiafya) sitoweza kuzalisha kwa njia ya kawaida. Ukiacha tatizo hilo,Niko mzima wa afya na mchapa kazi. Nimejiajiri Ni msomi,mstaarabu na...
4 Reactions
86 Replies
9K Views
Kwenye Pete ya uchumba...sherehe Get together..sherehe Pete ya ndoa ....sherehe Ndoa...sherehe Fungate...shereheeee Nguumi...kimyaaaa Kwa wazazi...kimyaaaa Kkutengana...kimyaaaaaaaaa...
1 Reactions
8 Replies
997 Views
Mbinu hii ni ya kijesh kujua nafas yako ndani ya penzi lako na please ifanye hii at your own risk msinitaje hapo baadae mahakamani au ukiwa unahojiwa na waandishi sitaki lawama dandia mtumbwi wa...
2 Reactions
59 Replies
4K Views
Hello wanajamvi. Ukweli tumefanya mistake nyingi ktk maisha, hasa ktk mahusiano. Tukifanya machaguzi mabaya, kukosea kwa mitazamo n.k Je, Tuishi kwa majuto na huzuni baada ya kuharibu mifumo na...
1 Reactions
4 Replies
645 Views
Wanawake iwe huku au mitaani sema wanaume wahuku wamezidi sana wanaona wanawake ni malaya sana yaani mnatuona huku siso hatuna dira yaani tunategemea tu kutumiwa nakupewa hela nanyie. Sina...
5 Reactions
89 Replies
4K Views
Habarini ndugu zangu, Acha niende kwenye mada moja kwa moja, iko hivi kumekuwa na misemo ya kujifariji kwa sisi vijana eti 'kuwa single unainyoy ' au 'ukiwa single unakuwa huru na mambo yako '...
23 Reactions
182 Replies
9K Views
Wakuu za saa hizi. Binafsi na marafiki zangu wengi wamekuwa wakinipa kesi kama hizi, kwamba unakuta mwamba kamfukuzia demu, then anajibiwa na demu kuwa hataki mahusiano bali urafiki nae. Sasa...
7 Reactions
90 Replies
7K Views
Nakumbuka ilikua mwaka 2014 wakati wife ana mtoto mchanga ilinibidi kutafuta msichana wa kazi wa kusaidia, kijana mmoja alinisaidia kupata mdogo wake wa tumbo moja ,kabinti kanaitwa Fau kakaja...
32 Reactions
78 Replies
16K Views
Helo diaz, Mama wa 32yr, 1 kid, government worker & mjasiriamali, sukuma & Christian. Natafuta mwanaume aliye serious na maisha mwenye hali kama hiyo, ambae yupo interested please come. Nyie...
20 Reactions
53 Replies
4K Views
ANAOMBA USHAURI Naomba unipostie kwa group Wamama wanishauri Mume wangu kanuna wiki ya pili, sababu ya kujinunisha hata siijui jamani, hajanigusa siku zote. Sasa Mungu sio athumani, Kwenye simu...
7 Reactions
16 Replies
2K Views
Kama wewe mwenyewe umeshindwa kujisimamia, utawezaje kumsimamia mke pamoja na watoto? Narudia tena kukushauri, usioe kama kula yako ni ya shida; tatua kwanza changamoto ulizonazo, na uhakikishe...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Unavailable
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Wakuu habarini za majukumu? Ninatumaini jitihada za kujipatia mkate wa kila siku zinaendelea salama... Siku ya leo nimeitumia kwa asilimia kubwa hapa stend ya mabasi ya kwenda mkoa baada ya basi...
14 Reactions
47 Replies
3K Views
Hivi nyie binadamu mmekuaje siku hizi? Mnaboa ujue agriiii!! Wanawake wengi sasa hivi wanalalamika hamuwagusi kabisa ndani ya nyumba, hapa nawaongelea mliooa. Mimi nina mwezi sasa tangu tarehe 3...
35 Reactions
316 Replies
24K Views
Tumekubaliana kila nikihitaji nimwambie awe anakuja. Atakuwa ananitumia ratiba yake ya mzunguko kila mwezi ili nisimuite siku zisizokuwa nzuri kwake. Uzuri ni kwamba tumeshapima na bei/tozo...
5 Reactions
63 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…