Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Moja kwa moja kwenye lengo la uzi. Nipo ndoani miaka 7, miaka 3 nyuma nilikuwa na mchepuko ambao nilidumu nao miaka 3 baadaye mchepuko ukaja ukaolewa. Tukapotezana hewani mwaka mzima sasa...
1 Reactions
80 Replies
4K Views
Tusianze mbali na salamu naamini hadi mnasoma mtakua mpo wazima sana, ipo hivi nilikua na mpenzi wangu ambae imefika muda tukakubaliana kila mtu ashike njia zake kutokana kushindwa kuwa na uelewa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu, mwaka huu mimi member mwenzenu mwizukulu mgikuru (babu) nilipanga huu mwaka usiishe niwe na mimi nimepata jiko. Katika pitapita zangu nikakuta na toto moja zuri la kiarabu na...
0 Reactions
3 Replies
683 Views
Mniwie radhi wana MMU kwa kosa ninalolifanya la kuleta nyuzi mbili kwa siku hii ya leo Hii ni emergency tu imetokea. Leo nimeona ni bora nikapumzika hapa nyumbani na familia. Mida ya saa nne...
5 Reactions
36 Replies
2K Views
Umri unaniacha sana. Nahitaji mke sasa, asiwe na mtoto hata mmoja. Akiwa na tatizo la kizazi itapendeza zaidi. Kama una ndugu au jamaa yako mwambie, hii ni kama fursa pia kwa wadada wasiyozaa...
6 Reactions
101 Replies
5K Views
Kwa kawaida mtu anayeamini kwamba, ni dhaifu, hujaribu kwa kila njia kuficha udhaifu wake, na moja ya njia hizo ni kujikweza ili kujaribu kumshusha yule ambaye anadhani anamzidi. Mtu asiye na...
5 Reactions
97 Replies
8K Views
Dogo ana mchepuko wake umenizoea sana, mpaka imefikia hatua una wivu na mimi. Yaani usiponiona siku 2 unalalamika hatari. Nilimkuta na rafiki yake mmoja nikamwambia namtaka anifanyie mpango wa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Asilimia kubwa ya wanawake waliopo kwenye ndoa wana Hofu.. Jana nilizungumza kuhusu changamoto zinazo mkabili mwanaume asiye na pesa,.. Leo nataka niongee kidogo kuhusu hofu inayoendelea...
4 Reactions
4 Replies
641 Views
Kila mara nasikia watu wanaachwa na wengine kupendana, ila mimi mwenzenu naona kwenye mapenzi sina bahati kabisa. Naona mwaka huu wa 2022 siyo wa kwangu kabisa, kila ninayemtongoza lazima azingue...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Mwanamke mwema ni taji kwa mumewe!!! Mke mwema huijenga nyumba yake, bali mpumbavu huibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe. . Nyumba inajengwa kwa vitu vidogo vidogo sana lakini pia ndoa...
0 Reactions
8 Replies
667 Views
Kutoka kwa muigizaji Jimmy Mafufu amefunguka na kusema haya "Hivi Nyie Wanawake Ambao Kila Mkihojiwa Na Waandishi Wa Habari Mnasema Mnataka Wanaume Wenye Hela Mara Ooh Mie Mwanaume Asiye Na Hela...
5 Reactions
39 Replies
2K Views
Ndiyo, Hili Tuliite wimbi la wanawake wengi kuchoka haraka. Maana hii imekua too much. (Msiniulize Nimetembea nao wangapi, Ila wee jua tu Ni wengi) TAHADHALI: Mnaojiona Ni Maparoko, mashehe...
23 Reactions
275 Replies
32K Views
Katika vitu ambavyo havinaga komando, tajiri au gaidi ni mapenzi, ndiyo maana kuna baadhi ya watu huko nje ni wakali sana lakini wakifika kwa wake zao au waume zao wanakuwa wa pole sana. Mapenzi...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Hapa nazungumzia wenye uchumi wa kawaida, tuachane na mapedeshee ambao hata wakikosa kuni za kuotea moto wanaweza kuchoma vibunda vya pesa, ligi nyingine hizo, kwao neno mizinga ni matunzo. Yes...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni takribani mwezi tangu nimeanza ku interact na huyu mwanamke kwa namna moja ama nyingine. Siku ya kwanza alinikuta mgahawani nakunywa supu...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Napata sana kigugumizi kumjibu huyu aliye mbele yangu hakika... Ni rafiki yangu ambaye tunaheshimiana sana, na huenda ndio maana aliniamini mpaka kunichagua kuwa msimamizi wa ndoa yake miaka...
16 Reactions
109 Replies
8K Views
Kuna pahala nimeiona hii ikaitoa akili yangu kwenye ufanisi ghafla... Hivi hii imekaaje, unafanya maamuzi magumu kuoa / kuolewa na mtu ambaye amekwisha zaa na mtu mwingine kabla yako... Ile...
5 Reactions
10 Replies
883 Views
Hi Mwanamke how unawezaje basi sema hata tumevumiliana maana hata na wewe pia nilikukuta una hali ngumu ya kiuchumi
4 Reactions
7 Replies
569 Views
MY STORY: Tulikua tunalala chini, tumejenga nyumba 2 maduka 3, kaenda kuoa mwanamke mwingine! Alishaanza kubadilika, anachelewa kurudi nyumbani na wakati mwingine analala hukohuko, nikiongea...
26 Reactions
58 Replies
5K Views
Nafurahi kufikisha mwaka wa 10 siku ya leo kwenye ndoa. Nilioa kwa vigezo vyote vya dini, yaani ile hakuna ngono kabla ya ndoa. Ilikuwa ngumu kidogo lakini kwa nguvu ya dini niliweza ingawa...
24 Reactions
53 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…