Natafuta mke asiyezaa

Uwesutanzania

JF-Expert Member
Feb 9, 2019
861
1,012
Umri unaniacha sana. Nahitaji mke sasa, asiwe na mtoto hata mmoja. Akiwa na tatizo la kizazi itapendeza zaidi.

Kama una ndugu au jamaa yako mwambie, hii ni kama fursa pia kwa wadada wasiyozaa.

Najua kuwa kuna wadada hawana kizazi na wamejikatia tamaa ya kuwa katika ndoa, hamjachelewa natafuta mwanamke wa aina hiyo. Kama ni wewe au una ndugu yako aje.

Kuhusu umri, Awe tu kijana mwenye uwezo wa kufanya kazi za nyumbani kwa ueredi,.
sio jokes nipo siliasi.
Umri wangu ni miaka 26
 
Umri unaniacha sana. Nahitaji mke sasa, asiwe na mtoto hata mmoja,.
Akiwa na tatizo la kizazi itapendeza zaidi,. Kama una ndugu au jamaa yako mwambie,-! Hii ni kama fulsa pia kwa wadada wasio zaa.
Najua kuwa kuna wadada hawana kizazi na wamejikatia tamaa ya kuwa katika ndoa, hamjachelewa natafuta mwanamke wa aina hiyo,. Kama ni wewe au una ndugu yako aje aje aje aje,.
Wakijitokeza nami nahitaji mke asiyezaa. Umri huu sihitaji kuzaa Nina watoto wanajitegemea.
 
Umri unaniacha sana. Nahitaji mke sasa, asiwe na mtoto hata mmoja,.
Akiwa na tatizo la kizazi itapendeza zaidi,. Kama una ndugu au jamaa yako mwambie,-! Hii ni kama fulsa pia kwa wadada wasio zaa.
Najua kuwa kuna wadada hawana kizazi na wamejikatia tamaa ya kuwa katika ndoa, hamjachelewa natafuta mwanamke wa aina hiyo,. Kama ni wewe au una ndugu yako aje aje aje aje,.
Waambie wajue kabisaa kama wanakuja kuwa baby sitters wa watoto wako wa mitala au nawe huna kizazi
 
Umri unaniacha sana. Nahitaji mke sasa, asiwe na mtoto hata mmoja,.
Akiwa na tatizo la kizazi itapendeza zaidi,. Kama una ndugu au jamaa yako mwambie,-! Hii ni kama fulsa pia kwa wadada wasio zaa.
Najua kuwa kuna wadada hawana kizazi na wamejikatia tamaa ya kuwa katika ndoa, hamjachelewa natafuta mwanamke wa aina hiyo,. Kama ni wewe au una ndugu yako aje aje aje aje,.
Nakuombea upate hitaji la moyo wako .. Nawaombea wenye uhitaji wa ndoa ya namna hiyo pia
 
Umri unaniacha sana. Nahitaji mke sasa, asiwe na mtoto hata mmoja. Akiwa na tatizo la kizazi itapendeza zaidi.

Kama una ndugu au jamaa yako mwambie, hii ni kama fursa pia kwa wadada wasiyozaa.

Najua kuwa kuna wadada hawana kizazi na wamejikatia tamaa ya kuwa katika ndoa, hamjachelewa natafuta mwanamke wa aina hiyo. Kama ni wewe au una ndugu yako aje.
Wewe hutaki watoto? Au una matatizo yako ya kiafya?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom