Mkeo/Mmeo ni mama/baba watoto wangu...

Samahani

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
222
335
Kuna pahala nimeiona hii ikaitoa akili yangu kwenye ufanisi ghafla... Hivi hii imekaaje, unafanya maamuzi magumu kuoa / kuolewa na mtu ambaye amekwisha zaa na mtu mwingine kabla yako...

Ile mmekaa kwa kutulia, unakutana na kauli ngumu kama hii kutoka kwa "wa zamani"...

Mkeo wewe ni mama watoto wangu tu....
Mmeo wewe ni baba watoto wangu tu....
 
Likiboeka uko linapiga simu ata usiku kumjulia hali mtoto,,sasa ukikuta mtu mwenyew hajielewi,,akashindwa kumsolve umeisha
 
Kuna pahala nimeiona hii ikaitoa akili yangu kwenye ufanisi ghafla... Hivi hii imekaaje, unafanya maamuzi magumu kuoa / kuolewa na mtu ambaye amekwisha zaa na mtu mwingine kabla yako...

Ile mmekaa kwa kutulia, unakutana na kauli ngumu kama hii kutoka kwa "wa zamani"...

Mkeo wewe ni mama watoto wangu tu....
Mmeo wewe ni baba watoto wangu tu....
Au anakutumia message hiyo
 
Back
Top Bottom