papag
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 1,275
- 1,929
Mwanamke mwema ni taji kwa mumewe!!!
Mke mwema huijenga nyumba yake, bali mpumbavu huibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe.
. Nyumba inajengwa kwa vitu vidogo vidogo sana lakini pia ndoa hubomolewa kwa vitu vidogo vidogo sana ambavyo tunavipuuza.
Kukosa umakini kwenye mambo madogo madogo ndo kunatufanya tunapigwa penalt na baba mijengo,na kuwaongezea credit michepuko.
Sasa we fkiria mume anatafta chakula lakini huwez kukaa chini mwanamke wewe ukampikia mumeo chakula kitam akala akashiba hadi akuite jina lako la utotoni lakini mchepuko anafanya hivyo.
Hapa smaanishi minyama, mikiku,misamaki,hapana!!!!ni chochote kilichopo hata dagaa,tembele nk.we kaa chini pika kwa ufundi na ustad kama mtoto wa kike kweli.kama ugali tembele kaa chini mpikie mumeo ajiskie kala tembele kweli.
Kama kande au dagaa kaa chini mwanamke mpikie mumeo kilichopo lakini kwa usafi na ufundi alafu uje uniambie matokeo yake.
Sasa we mwanamke lala hadi saa 6 ukurupuke kwa kukurupuka na fuko lako chafu chafu toka stoo ukimbie magengeni umwambie mama manka nikatie mboga za 500!!!!kweli hy mboga ndo akale mumeo??kwani ukiinunua hy mboga ukaenda kuichambua na kuiosha mwenyewe ukaipika vzr kuna shida gani? Kweli huyo mama manka atachambua mboga na kuiosha vizuri huku mko kama watu 5 mnamsubiria awahudumie au ndo atachambua ilimradi ili ahudumie wengine??atakuoshea mboga unajua hayo maji ni safi kias gani anayooshea,na kayachota wapi? Huko ni kukosa umakini kwakweli jiangalie.
Usafi nyumbani nao ni shuhuli kwetu ma mijengo jamani uuuuwi!!!unakuta nyumba iko kama karakana la mkoa,ukiingia ndani unakutana na nguo toka seblen hadi jikoni,vyombo mlivyotumia usiku viko mezani hadi kesho yake saa 4,meza nayo baada ya chakula haikusafishwa,jikoni masufuria ya juz yamepangana na nzi wako kama wanasubiria mkutano wa kugawa makoloni kipindi cha utawala wa kikoloni.
Mashuka kitandani umeyatandika toka wiki ilopita,
Watoto huogeshi na ukiogesha ni saa 4 za usiku mtt anaoga ,
We mwenyewe kuoga hadi refa aweke kipenga mdomoni kila saa michuzi haikuishi kwenye nguo.
Hujui cha spry,deogorant wala pafyum.
Sasa jamani ebu niambie una nini cha kumshawishi mtoto wa mamkwe askupandishe cheo uwe bi mkubwa??? Unalo bibie kaa chonjo.
We unataka kuniambia ukikaa chini ukajicheki una sababu au ushawishi wa kumfanya mumeo asikuache akaenda nyumba ndogo??unafikiri kuna kitu gani hasa ambacho unacho au unakifanya vzr kias kwamba mumeo anajivunia asiende kwingine??yaani una nini kizur kinachomwamasisha mumeo??
Je ni upendo na kauli nzuri,je una nidhamu na adabu sana, je unamridhisha vzr kitandani,je ni msafi kias kwamba nyumba iko safi na smart,wewe uko msafi ,watoto wako wako vizuri?? Je ni mtafutaji mzuri au ni mtu mwenye mawazo ya kujenga na kusimamia mambo vzr?? Aisee kama huna lolote hakuna mtu wa kuishi na mtu wa namna hiyo kwa karne hii.
Kwaheri.