Unawezaje kujua umerogwa na mpenzi wako

Unawezaje kujua umerogwa na mpenzi wako

SuchNoble

Member
Joined
Apr 13, 2014
Posts
13
Reaction score
11
Tusianze mbali na salamu naamini hadi mnasoma mtakua mpo wazima sana, ipo hivi nilikua na mpenzi wangu ambae imefika muda tukakubaliana kila mtu ashike njia zake kutokana kushindwa kuwa na uelewa wa pamoja katika baadhi ya mambo, na kweli ikawa hivyo, miezi miwili iliyopita tulikutana na tukapasha kiporo na mambo yalikua freshi tu.

Sasa hivi karibuni nimekua namkumbuka sana inafika hatua nashindwa kabisa kufanya kazi mpaka nimpigie simu nimuombe msamaha bila kujua hata kosa langu ni nini. Nahangaika sana kumuhitaji tena yani nashindwa hata ku concetrate na mpenzi wangu ambaye soon tunatarajia kutangaza ndoa.

Nahisi nitakua nimerogwa maana am acting very weird hapa naandika nina akili timamu ila kuna namna nikija kumkumbuka asee sijielewi nakuaje, kinachonifanya niamini hivyo pia alishawahi kuniambia zaidi ya mara moja.

Alikua akipenda kusema "Nitakutia adabu, wewe shauri yako" kauli hii alikua akiitumia mara kwa mara, hivi ndio nimeshatiwa adabu?
 
Tusianze mbali na salamu naamini hadi mnasoma mtakua mpo wazima sana, ipo hivi nilikua na mpenzi wangu ambae imefika muda tukakubaliana kila mtu ashike njia zake kutokana kushindwa kuwa na uelewa wa pamoja katika baadhi ya m
Jiamini mzee hujarogwa
 
Dah umeniangusha sna mwamba,hapo ulipo amua kuuza mechi.
 
Tusianze mbali na salamu naamini hadi mnasoma mtakua mpo wazima sana, ipo hivi nilikua na mpenzi wangu ambae imefika muda tukakubaliana kila mtu ashike njia zake kutokana kushindwa kuwa na uelewa wa pamoja katika baadhi ya mambo, na kweli ikawa hivyo, miezi miwili iliyopita tulikutana na tukapasha kiporo na mambo yalikua freshi tu.

Sasa hivi karibuni nimekua namkumbuka sana inafika hatua nashindwa kabisa kufanya kazi mpaka nimpigie simu nimuombe msamaha bila kujua hata kosa langu ni nini. Nahangaika sana kumuhitaji tena yani nashindwa hata ku concetrate na mpenzi wangu ambaye soon tunatarajia kutangaza ndoa. Up

Nahisi nitakua nimerogwa maana am acting very weird hapa naandika nina akili timamu ila kuna namna nikija kumkumbuka asee sijielewi nakuaje, kinachonifanya niamini hivyo pia alishawahi kuniambia zaidi ya mara moja.

Alikua akipenda kusema "Nitakutia adabu, wewe shauri yako" kauli hii alikua akiitumia mara kwa mara, hivi ndio nimeshatiwa adabu?
Ukichepuka haisimami au unashindwa kwenda zaidi ya raundi moja
 
Hujarogwa Sema umejiroga mwenyewe.tuulize sisi ambao tulirogwa tulikuwaje.inafikia hatua unafua nguo za mwanamke wako,anakupiga makofi mbele za wanaume wenzako na hufanyi kitu,unaona wanawake wote ni wabaya ila mzuri ni yeye tu,kifupi unakuwa unamuogopa balaa.we hujarogwa Sema umejiroga halafu hujiamini.ALIWAZALO MJINGA NDILO LINALOMTOKEA
 
Hii dunia ina mambo mengi sana mwanangu,mi imenitokea hadi nasovu nimepambana sana
 
Tusianze mbali na salamu naamini hadi mnasoma mtakua mpo wazima sana, ipo hivi nilikua na mpenzi wangu ambae imefika muda tukakubaliana kila mtu ashike njia zake kutokana kushindwa kuwa na uelewa wa pamoja katika baadhi ya mambo, na kweli ikawa hivyo, miezi miwili iliyopita tulikutana na tukapasha kiporo na mambo yalikua freshi tu.

Sasa hivi karibuni nimekua namkumbuka sana inafika hatua nashindwa kabisa kufanya kazi mpaka nimpigie simu nimuombe msamaha bila kujua hata kosa langu ni nini. Nahangaika sana kumuhitaji tena yani nashindwa hata ku concetrate na mpenzi wangu ambaye soon tunatarajia kutangaza ndoa.

Nahisi nitakua nimerogwa maana am acting very weird hapa naandika nina akili timamu ila kuna namna nikija kumkumbuka asee sijielewi nakuaje, kinachonifanya niamini hivyo pia alishawahi kuniambia zaidi ya mara moja.

Alikua akipenda kusema "Nitakutia adabu, wewe shauri yako" kauli hii alikua akiitumia mara kwa mara, hivi ndio nimeshatiwa adabu?
Umeshaahidi kutangaza ndoa na Binti mwingine na Bado unarudi Kwa X ? Usje ukashangaa unahairisha na hiyo ndoa na kumuacha Binti wa watu matatani .

Umrudie X wako,ama Bora kufa?
 
Inaweza ikawa ni kweli mimi ilishanitokea sema mimi alichukua nyayo zangu, kivuli na nguo yangu ya ndani akaenda kufanya mambo yake uko yani ikawa kama akitaka muda huu nimuwaze yeye tu basi inakuwa kama vile anavyotaka sitokuja kusahau..
 
Back
Top Bottom