Wanawake mnaotaka wanaume wenye hela baba zenu wanazo?

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Dec 13, 2014
3,905
6,690
Kutoka kwa muigizaji Jimmy Mafufu amefunguka na kusema haya

"Hivi Nyie Wanawake Ambao Kila Mkihojiwa Na Waandishi Wa Habari Mnasema Mnataka Wanaume Wenye Hela Mara Ooh Mie Mwanaume Asiye Na Hela Simtaki Mambeghesi Zenu, Hivi Baba Zenu Wangekua Na Hela Mngekua Mnahangaika Na Kudhurura Mitaani Kama Magari Ya Weka Jiji Safi?

Mshawahi Kuwauliza Mama Zenu Waliwapendea Nini Baba Zenu? Hivi Mama Yako Angetaka Kigezo Kama Chako Wewe Ungezaliwa Na Nani Huna Akili Wewe?

Kama Kuwa Na Hela Ni Rahisi Mbona Wewe Huna Mia? Harafu Kwa Bahati Mbaya Haya Husemwa Sana Na Wanawake Wadangaji Yes Wewe Ni Muuza Mwili Ndio Unauza Mwili Wewe, Ndio Maana Unatangaza Biashara Yako Kinyemela Ili Waliosoma Kyuba Waelewe Tu Kwamba Kukupata Wewe Ni Hela Yao Tu Mambeghesi

Lakini Wanawake Wa Mithali Hawawezi Kutamka Hayo Ndioo Mama Yako Ni Mwanamke Wa Mithali Ndio Maana Alimkubari Baba Yako Akiwa Anamiliki Pekosi Mbili Na Shati Ya Kahawia Na Kibuti Chake Cha Udhurungi, Na Wakajaaliwa Kukupata Wewe Mjinga Mmoja Muuza Mwili, Mungu Awasaidie Sana Wanawake Haya Maneno Yenu Yamevunja Mioyo Ya Wanaume Wengi Na Pengine Mungu Alikuandalia Mwanaume Ambaye Angeanza Kumbariki Mkiwa Pamoja

#Mwanamke Timamu Na Mwenye Heshima Hategemei Pesa Za Wanaume Wala Mwili Wake Ili Kutajirika Wala Kupata Maisha Ni Wewe Tu Na Upumbavu Wako Takataka".
 
Back
Top Bottom