Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna demu mmoja hivi nimetokea kumpenda saana tena saana. Ila cha ajabu nahisi huyu mwanamke ana nisaidie kubadili tabia zangu za kale na kuwa mtu mpya kabisa bila hata yeye kujua najikuta nafanya...
0 Reactions
1 Replies
760 Views
Kuna mda na jiulizaga hivi kwanini hawa ndugu zetu wanawake wanashindwa kutafariki kitu mbele ya kuchukuwa maamuzi Na pia ni watu ambao wanaongozwa na hisia kuliko akili Ndo maana Wana semaga...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Sijui ni mimi peke yangu ama huenda nikawa nawakilisha wanaume wenzangu wawili, watatu, watano, kumi au mia (sijui)... Binafsi, hakika kuna maswali huwa sipendi kabisa kuulizwa, hasa katika...
14 Reactions
65 Replies
4K Views
Aisee nimekuja kugundua wanawake ukiwaacha ki amani amani wao wanaona Bado hamjaachana, yaani mpaka mbondane muvuane nguo za ndani mpigane ndo wanaelewa kimewaka. Tumeeachana na wadada kiamani...
21 Reactions
61 Replies
4K Views
1. Awe Dar 2. Awe mkristo 3. Awe ameajiriwa serikalini 4. Umri 26_33. 5. Mpenda maendeleo,mchapakazi na mcha Mungu,mkwel 6. Asiwe mlevi 7. Single mom ntamfikiria 8. Asiwe omba omba.
0 Reactions
3 Replies
799 Views
Ikiwa Mungu hayupo ni nani atakaye okoa dunia? Wanadamu sasa hivi tunaishi kama wanyama maana wanyama hawanaga aibu wala akili Sasa hivi mambo ambayo yalikuwa ya aibu kusema mbele za watu au...
2 Reactions
8 Replies
624 Views
Heshima kwenu wakuu, Mke wangu mjamzito wa miezi sita, amekuwa akipenda sana kuwa na mtoto jinsia ya kike hivyo ikabidi nimshauri asiende kuangalia jinsia ya mtoto kwenye ultra sound mpaka pale...
1 Reactions
71 Replies
112K Views
Habari Wana JF Nilidhani ubaba ni kitu cha kawaida asee nilivyokuwa namuona mzee wangu akipambania familia yake pindi nakua nilidhani anatuhujumu. Ila nimegundua alikuwa nasi kuanza anaamka mpaka...
15 Reactions
32 Replies
2K Views
Katika kuperuzi kwangu mitandaoni nimekutana na story ya kusikitisha na kutafakarisha sana. Inahusiana na baba aliepoteza mwanae wa kike kwasababu ya ukatili wa majumbani (mtoto aliuliwa na...
0 Reactions
12 Replies
805 Views
Kiukweli niseme wazi ya kwamba mimi ndio nilikosea mwanzo kwa sababu kwenye haya mahusiano yanayonitatiza kwa sasa, Nilianza na mdogo mtu, Ilikuwa hivi dada mtu alikuwa anakuja ofisni kila siku...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Mwanamke akishapenda huwa anasahau kila kitu na anaenda kwa hisia pekee. Yaani kuna mwanaharakati mmoja anaandika sana mitandaoni, lakini akija huku ni tofauti kabisa kwasababu amezama kwenye...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Habarini za asubuhi wakuu, natumai ni wazima sana. Leo nina swali kwa wanandoa au wenye mahusiano ya mbali, mimi mume wangu siyo kwamba anafanya kazi nje ya mkoa ila amesafiri kikazi kwa muda tu...
13 Reactions
171 Replies
9K Views
Waheshimiwa sana, salibonani! Nazipata kauli kwa watu mbalimbali za kusifia utamu wa mwanamke mwenye mnato! Ni bahati mbaya kwangu kila nikiopoa napata wadada wenye mabwawa, nakwenda kuogelea na...
5 Reactions
97 Replies
13K Views
Nimekuwa kwenye mahusiano na michepuko kwa nyakati tofauti, na wote wanajua nina familia, ila kutokana na mazingira ya kuwajali na kuwa mchangamfu, wakajikuta wananogewa, na wengine mpaka wakaamua...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Hapa JamiiForums kupitia huu uzii kwanini upo single na huolewi au huoi tatizo nini. Umelogwa au mvivu wakutafuta mpenzi serious . Maana humu wadar ni wengi na wanasifa zote wadada wanazotaka...
7 Reactions
149 Replies
7K Views
Nimejaribu kuzunguka mtaa kwa mtaa, zaidi ya miezi 3, ili nipate mchepuko wa kiarabu; lakini bado sijafanikiwa. Naimani, nikipata mrembo wa umbo namba 8, wa Kiarabu; akili yangu itatulia na...
11 Reactions
140 Replies
27K Views
Hebu tupeane maujuzi kidogo maana unaweza kuta unafanya mapenzi kumbe kuna sheria unazivunja pasipo kujua unakuta unamboa ila hasemi Kwahiyo ndugu wapenda mbususu hivi ukiwa ndani ya sita kwa...
5 Reactions
70 Replies
5K Views
Havi kwanini wachezaji wengi wakike hasa hasa wanao cheza uku Afrika wanapendaga saana kuwa na mionekano ya wanaume Yaani ata akiwa nje ya uwanja mara nyingi kuvaa kwao na mambo yao mengine...
0 Reactions
4 Replies
530 Views
Kwa mfano nyie wanaume ambao mnajichua utamu mnaupata mkiwa wenyewe. Hii sio usaliti kwa mpenzi wako? Na hii ya kutumia vipuri?
6 Reactions
136 Replies
11K Views
Jamani mimi ni mfanyabiashara naishi Arusha huwa nakuja Dar kufunga mzigo na huwa nafikia SHARON HOTEL pale UBUNGO nyuma ya Stendi ya Mkoa UBUNGO lakini hii hotel inaniboa kitu kimoja wamefunga...
5 Reactions
122 Replies
25K Views
Back
Top Bottom