Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ipo hivii sijui ni ushamba au kukremu kuwa ukiwa na gari ndio utakula maisha. Nimejaribu vyote viwili, nilianza na gari nimekuja na pikipiki. Aisee pikipiki ni raha, japo kero yake kubwa ni upepo...
17 Reactions
158 Replies
10K Views
Habari wakuu, Msaada kidogo wa mawazo, mke wangu kila harusi atakayoalikwa na kuchangia lazima atashona sare inayovaliwa katika harusi hiyo. Hata ziwe harusi 6 kwa mwezi zote atavaa sare...
12 Reactions
159 Replies
9K Views
Hii ni ndoto ya jamaa yangu, nitaisimulia kama alivyonielezea. Usiku wa kuamkia Jana niliota nafanya ngono na mke wa rafiki yangu. Ngono tumefanya mbele na nyuma. Usiku wa kuamkia Leo nimeota...
1 Reactions
70 Replies
47K Views
Wanaume tumeumbwa kuzitawala nyumba zetu. Na hili ni pamoja na mke na watoto na wote wanaolala nyumbani mwako. Na hii ndio maana ya kichwa cha familia. Kuna huyu Ndg Komba, yeye si kichwa bali...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Good morning! Washika dau daaah siwezi kuelezea furaha ilivyokuwa, ila yote kwa yote namshukuru Mungu kwa yote, kwa maisha yangu zaidi ya kuwa na mamilioni kwenye account ila kingine next month I...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wanasema kila mwanaume mwenye mafanikio/maendeleo basi nyuma yake kuna mwanamke Lakini inasemekana kama una mke na hakuheshimu kama mme basi maendeleo utayasikia redio Je kuna mahusiano gani...
0 Reactions
3 Replies
774 Views
Hata sitaki kusalimia maana nina hema juu juu... Wanaume wenzangu pindi mke wako, demu, mpenzi, mchumba wako anapogundua amekukosea alafu anaanza kujiliza na kutoa machozi achana nae kabisa na...
7 Reactions
24 Replies
2K Views
Yaani badala ya kuelezea sera anajielezea yeye.... Oooohh.... Na hilo umbo lako nikikukamata masaa mawili.... Oooh mimi nina mashine kubwa uta enjoy.... Chefuuuu.... Ni ujinga tu unakaangalia...
40 Reactions
88 Replies
8K Views
JINSI YA KUMVUTIA MWANAMKE KUPITIA MAWASILIANO. Kisaikolojia wanaume hutumia direct communication ndomana mazungumzo ya men to men huwa short and clear. Men 1: "Oya niletee ile movie" Men 2...
18 Reactions
85 Replies
25K Views
Nimeoa naishi na mke wangu vizuri tu japo changamoto hazikosekani. Nilikuwa nafanya kazi ofisi moja na rafiki yangu ambaye tulikutana kwenye interview na kuajiriwa pamoja. Nilioa kabla yeye...
25 Reactions
220 Replies
21K Views
JE WANAWAKE WANATAKA PESA? Nawasalimu nyote, bila shaka mu wazima ndugu zangu. Tusichoshane naenda Moja kwa moja kwenye mada. Je, ni kweli wanawake wanahitaji pesa? Kila mmoja anaweza kuwa na...
11 Reactions
38 Replies
3K Views
Waungwana hebu tupeane mikasa na tupate tafakuri za wakuu kidogo. Kuna siku nimetulia kibandani kwa mwanangu ambaye ni wakala wa pesa za mtandao. Baada ya muda akaja binti wa kama miaka 20 hivi...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Najua ni jambo nyeti la kifamilia ila acha niongee, najua kuna watu wazima humu. Mke wangu huwa namridhisha na nahakikisha anatoa maji. Shida huwa nachelewa mno kufika mshindo. Mara nyingi ni...
2 Reactions
37 Replies
3K Views
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk Amon Mpanju amesema siku hizi wasimamizi wa ndoa wamekuwa ni fasheni na siyo wale wenye sifa ya kufanya...
2 Reactions
39 Replies
4K Views
Binafsi haya mahusiano nayachukulia zaidi kama hitaji la kupooza tamaa za mwili tu, usiku mpeane company, mpigane mitutu, asubuhi muagane kila mtu aendelee na life lake Nashangaa kuna watu...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Katika vitu vinanishangaza ni wanawake wa kileo kutafuta wafanyakazi na wafanyabiashara baada ya kutafuta wanaume wa kuwaoa. Inakuwaje mwanamke unaweka sharti la dini kwenye ndoa na sharti la...
58 Reactions
349 Replies
15K Views
Ona baba mkwe wa kiafrika hapa kakaa na mke wa mtoto wake Enzi hizo haya mambo yalikua nadra sana! Baba mkwe sio sawa na kituo cha Polisi tena😅😅😅 nasikia hadi kuna kabila huko kaskazini mwa...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari wanajamvi. Mwanangu (Msela) wangu wa karibu baada ya kutafakari kwa muda mrefu kaamua aoe. Mimi kama jamaa yake wa karibu nimekuwa nikipinga sana suala la Ndoa. Ila cha ajabu kila mara...
7 Reactions
39 Replies
3K Views
Kwenye saikolojia ya mapenzi wanaume na wanawake wanapenda tofauti wanaume wengi tunapenda mwanamke kwa muonekano ila wanawake wengi wanapenda wanaume kwa njia tofauti ,cha kwanza uwe unamvutia...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Inashangaza mpaka kumaliza navuta hisia niko naye Nikiwa napiga stori namuwaza yeye tu Hii ni shiga gani hiii?
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…