Mbinu kuu ya mwanamke kumtega mwanaume ni machozi

Mbinu kuu ya mwanamke kumtega mwanaume ni machozi

jjs2017

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2019
Posts
2,027
Reaction score
4,316
Hata sitaki kusalimia maana nina hema juu juu...

Wanaume wenzangu pindi mke wako, demu, mpenzi, mchumba wako anapogundua amekukosea alafu anaanza kujiliza na kutoa machozi achana nae kabisa na rudia tena achana nae kabisa ..hayo machozi yake ni silaha ya kukuangamiza wewe, ongeza umakini mwanaume pindi mwanamke anapolia mbele zako..

Mimi nimemaliza, shauri yenu..
 
Kiliooooooooo

IMG_20221126_105306.jpg
 
Ukigombana na mwanamke kama ni muislamu nenda msikitini kama ni mkristo nenda kanisani subiria ibada usijibizane na mwanamke utapata kesi itakayoharibu maisha yako.
 
Mwanamke ndo kiumbe pekee Duniani ambacho kinaweza kulia machozi ya furaha na kucheka kicheko Cha huzuni.
 
Tulikubariana hatuoi ni mwendo wa kuchakata mbususu...

🤓🤓🤓 Sasa vipi tena mbususu zinatoa machozi.?
 
Umenikumbusha nilimshitukia jamaa aliaga anaenda kikazi ila siku ya kurudi kumbe alirudi jana yake kalala kwa mchepuko usiku huo aakiwa uko nikagundua nikamoigia nalia machozi flan kwann unanifanyia hivyo, kumbuka tumetoka wapi mimi na wewe, nilijibiwa toa unafiki hapa unasikiliza maneno ya uongo alafu unakuja kunililia hapa...jmn hiyo siku sitasahau maana nililia mpaka saa 11 asubuh ndio tukalala
 
Ukigombana na mwanamke kama ni muislamu nenda msikitini kama ni mkristo nenda kanisani subiria ibada usijibizane na mwanamke utapata kesi itakayoharibu maisha yako.
Hakuna cha kesi. Hiyo ni kwa upande wako. Usitake na wengine tuishi kama wewe
 
Back
Top Bottom