Nimefuatilia kwa wiki mfululiza sasa kipindi cha Mr Right kinachorushwa na Station ya Startimes kinachosimamiwa na MC Gara B.
Nilivyoangalia nimegundua mambo kadhaa ktk kipindi hicho
1. Wadada...
Wakuu niende moja kwa moja kwenye mada.
Miaka kadhaa imepita naona tabia zangu zimechange Sana. Ilikuwa Mwaka 2000 nilipoanza kunywa bia, tena safari. Tabia hii nilianza kutokana na mienendo...
Wakuu,
Ndo kwanza naanza maisha mwenzenu, nimepanga chumba kimoja tu lakini changamoto niliyonayo hapa ni nini nianze kununua cha ndani?
Tushauriane wakuu
Kwa mujibu wa dini zote kuzaa watoto nje ya ndoa ni haramu!! Wenzetu waislamu wamepiga hatua kubwa wanaweza kuzaa watoto na wanawake wengi na wakawa ndani ya ndoa kwa sababu wanaruhusiwa kuoa...
Mambo vp wadau
Kiukweli kila nikitafakari mambo anayoyafanya wife nashindwa kuamini kama ni kisirani cha mimba ama ni kama kawaida yenu wanawake mnapenda kujiendekeza. Wife amekuwa mtu wa...
Wana JF,
Hadi leo hii nina miaka 28+ nina jitegemea simjui baba yangu mzazi, ukweli kutoka moyoni mama yangu ninampenda lakini nimetokea kumchukia sana kuliko mtu yeyote duniani, hii hali...
Je, ni kitu gani kitakufanya utambue kuwa umemfikisha mweza wako safari yake wakati wa tendo?
Akifika hatua kama hii you did it brother, what next......
Kumbe mwanamke anaweza kutupanga mimi, adriz na Bujibuji Simba Nyamaume kwa siku moja (kama ya leo Ijumaa) na wote 'tukamkaza" kwa ratiba aliyotuwekea kutokana na uhuni wetu, ila yule atakayempa...
Habarini jmn, natamani tuwe tunawajadili na ma single faza, sio kila siku single maza hivi single maza vile. Kuna kitu nmekinotice kwa masingle faza nliokutana nao.
Masingle faza nnaowaongelea ni...
Unafika mahari unakutana na pisi matata, kabla hata hujachukua namba inapita nyingine ambayo unaona ndo pisi kali zaidi! Mpaka unakuja kufanya maamuzi uchukue namba ya pisi ipi muda ushaenda na...
Rafiki yangu anahitaji mke, anaishi Nairobi Kenya. Umri wake ni 40, mrefu, mweusi.
Vigezo
Umri 35-38, akiwa mwalimu itapendeza. Awe maji ya kunde, Mkristo na mtoto asizidi mmoja. Yeye ana mtoto...
Anayejua alipo aniambie, toka 2018 kiukweli nimemiss sana, na kama kabadili Id aseme tu. Natumaini hajambo na mzima wa afya.
Ajue tu nimemiss sana.
Neybright nimeona last seen jana, njoo ututoe...
Wanawake wa kisasa wanapojirecodi video au kupiga picha wanapenda Sana kuonyesha makalio yao na sio kitu kingine
Mfano mwanamke umeolewa ila unajirecord unaonyesha tako lako na unasambaza video...
Kwa kuheshimu muda wako, ngoja niandike kwa ufupi sana.
Je, urafiki kati ya mwanaume na mwanamke tena mke wa mtu, unaojionyesha kwa code ya "Kaka" na "Dada" huwa upo kweli au kuna kitu...
Habari wakuu,
Nimekumbuka hili tukio lililotokea miezi mitatu iliyopita baada ya kukuta missed calls zake mbili kwenye simu yangu jioni hii
Ilitokea kipindi nilipokuwa kwenye harakati za kumuolea...
Habari za Wakati Huu wakuu!!
Nina Ushauri Mdogo kwa Wale wanaokatishwa kuingia Kwenye Mahusiano na Baadhi ya Makabila Eti Kisa Sifa flani ulizisikia kutoka kwenye hayo Makabila.
Je,Ulishawahi...
Haina ubishi, sababu ni kama zifuatavyo;
1. Wanakua na uwezo mdogo wa kudhibiti hisia zao.
2. Hawana jambo linaloichangamsha akili like having intellectual project to be solved and fulfilled.
3...
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni. Hakika maajabu hayaishi chini ya jua na yanaendelea kumbuka siku baada ya siku. Ajabu namba moja ni mwanadamu.
Hili ajabu mtu, kila siku limekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.