Upi ni Ukweli Mtupu Kuhusu Maisha Baada ya Ndoa

Upi ni Ukweli Mtupu Kuhusu Maisha Baada ya Ndoa

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,309
Reaction score
15,294
Habari wanajamvi.

Mwanangu (Msela) wangu wa karibu baada ya kutafakari kwa muda mrefu kaamua aoe. Mimi kama jamaa yake wa karibu nimekuwa nikipinga sana suala la Ndoa.

Ila cha ajabu kila mara ananifuata kutaka ushauri kuhusu changamoto za maisha baada ya ndoa na namna ya kukabiliana nazo.

Hebu mlio ndoani mwageni upupu humu ili umuwashe mapema kabla hajakumbana na uhalisia.
 
Tabia ndogo ndogo zinazochukiza, zichukulie kwa umakini sana. Kwa sababu ukiingia ndoani, tabia hizo hujitutumua kuwa mara mbili mpaka mara tatu yake.

Ingia ndoani na mwanamke anayekuogopa. Usidanganyike ati ilimradi akuheshimu. Mimi nasema akuogope kabla ya kukuheshimu.
 
Hii point ni [emoji91][emoji91][emoji91] sana.
 
Back
Top Bottom