Katika Jukwaa la MMU wewe ndiyo umekuwa kinara, nakupa hongera sana na Mungu akupe afya njema mwakani utuletee nyuzi zaidi.
Ila pia nikupe tahadhali kuwa makini na Mama J, ameshachukua namba...
Kuna wafanyakazi wenzako wawili wote ni watu wako wa karibu mnakaa wote mnakunywa kula na kulewa pamoja sasa niambie yupi ni mbaya zaidi yaani tabia zake havumiliki yaani unayefikiri anakufanyia...
Bila shaka hujambo! Ni matumaini yangu kuwa licha ya hekaheka za hapa na pale bado u buheri wa afya.
Kama ilivyo kawaida tunakutana kwenye simulizi ya makala kuhusu maisha, leo hii tutaangalia...
Kuna hili kundi la watu wanadai wameoa wengine wameolewa, lakini wako na michipuko kibao, Uzinzi kibao, sasa mmeoa nini?
Ni vituko tu huko doani kila Mtu anajaribu kuonesha uchafu wake. Watu...
Mimi ni kijana mwenye umri miaka 34. Nina mke na watoto 2, mmoja kike mwengine wa kiume, hapo hatujaoana lakini nimemtolea barua kwao.
Mwanamke huyu hamuheshimu mtu yoyote hapa duaniani, jeuri...
Habari zenu,
naishi kusini mwa Tanzania, natafuta mpenzi ambaye baadae MUNGU ikimpendeza anaweza kuwa mume wangu.
Nina uhitaji sana sana soma wasifu wako na wangu ukiona unaendana karibu.
WASIFU...
Kila mmoja anapokuwa nyumbani kuna jambo fulani huwa linamfanya ajisikie kweli yupo na mpenzi wake, ngoja nikupe kidogo la kwangu na itapendeza na wewe ukinipa la kwako kama unalo.
Kwa karibu...
Ukiwakuta wanaume utawaskia wanasema,,,
"Mwanamke unampa pesa, show Kali na mda wa kutosha mwisho wa siku anaenda kuliwa na boda"
"Mwanamke mnaweza Kuta mmezaa watoto watano, pale angalau wawili...
Yan uwe wewe ndo umeanzisha au mwenza ndo kaanzisha, the moment unamaliza kusema tuachane kinaanza kipindi kigumu sana, hakuna mwanaume wala mwanamke, sema ngoja nione mwisho wake.
Habari za boxing day wana JF. Mwaka ndio huo unaelekea kupinduka na inshallah Mwenyenzi Mungu atujaalie wote neema tuvuke salama salimini!
Vp kwa wale dada zetu ambao bado wanaendelea kukataa...
Mimi ni mwanachama niliyeingia juzi Kati Jamii Forums lakini baada ya kuingia huku nimekuwa nikisoma Uzi nyingi za mapenzi, nyingi zinalenga kuonesha wanawake walivyo wabaya Kwa wanaume.
Kila mtu...
za leo wakuu
kuna jamaa yangu mmoja alinipa hifadhi home kwake maana niliingia mjini mambo hayajakaa sawa. sasa juzi kanambia kuna manzi anakuja ili wainjoy sikukuu so nicheki utaratibu na mahali...
Ilikua ni safari ndefu sana ya kutoboa mikoa kibao kutoka mbeya hadi mwanza. Hua naombea at least nikae na Binti mzuri mrembo kuifanya safari iwe fupi.
It was quite boring, na nilikua...
Wadau tupeane uzoefu kidogo, nina mpenzi wangu au niseme mchumba maana hata kwao nimepeleka mahari, huyu dada ni msukuma wa Lunzewe, yupo chuo cha Mkwawa Iringa mwaka wa mwisho!
Tatizo linakuja...
Nina swali kwenu. Mnafanya mazoezi gani, au mabadoliko yotote ya chakula pindi mnapo hit miaka 30+. Nauliza hivi kwasababu kuanzia miaka hiyo sex is shorter si kama awali, kidogo tu wazungu hao...
Habari za wakati huu ndugu zangu..
Kama tulivyo kubaliana katika kikao cha wanaume kilichofanyika usiku wa kuamkia leo. kwamba mpenzi/ demu/ mchumba hatakiwi kupewa hela yeyote ile , ila itakapo...
Mimi ni kijana umri 37, dini ni Rc.
Niko mwanza natafuta mke wa kuishi naye umri 22 mpaka 30, awe mrefu kidogo mwenye chura, sichagui dini wa kabila.
Asinipende sana bali aipende sana ndoa yake🙏.
Wandugu, Katika pita pita zangu nilikutana na Bibi wa umri mkubwa sana tu. Katika maongezi yetu Bibi tulijikuta tunaongelea kuhusu ukeketaji. Bibi alinambia ukeketaji ukifanyika vizuri ni kitu...