Ni nini huwa kinakufanya ujisikie upo nyumbani?

Kambi ya Fisi

JF-Expert Member
Feb 3, 2018
13,556
22,087
Kila mmoja anapokuwa nyumbani kuna jambo fulani huwa linamfanya ajisikie kweli yupo na mpenzi wake, ngoja nikupe kidogo la kwangu na itapendeza na wewe ukinipa la kwako kama unalo.

Kwa karibu miaka 25 sasa, Naomi wangu kila anapoenda kuoga huniita na kunipa maelekezo, “Mpenzi, tafadhali nipatie taulo yangu, nipatie sabuni ya kuogea, nipatie shampoo yangu, nipe hii nipe na hiyo."

Nikiisha mpatia vyote huniamuru nimsubiri humo humo bafuni hadi amalize kuoga .

Ingawa mimi hutenda kwa msisimko, lakini huwa nashangaa kwa nini hawezi kuweka vitu vyake vyote vya kuogea kwenye rafu huko bafuni.

Hii lifestyle niliipenda sana kwa miaka ya mwanzo wa ndoa yetu ila kwa sasa basi tu Ila siwezi kuiepuka kwa kuwa Naomi huwa ananifanya nisisimke sana kila nimuonapo akioga hivyo anaponiita na kunituma huwa naona poa sana.

Vipi huko kwenu ni mwaka wa ngapi sasa bado mnaendeleza yale yale mlioanza nayo baada tu ya kuoana?

NB: Wale single naomba msome Ila msikoment.
 
Kwanza nikupongeze kwa kutengeneza mahusiano Bora na mkeo, ni suala moja zuri na tamu mno hata usiku wala mchana huwezi kuona ni mrefu hata Mara moja.

Pili kwangu mimi najisikia huru nikiwa na glass ya wine pembeni huku nikisearch vitu kwenye MacBook yangu.
Na likizo hii ndiyo kabisaa my last born ananipa changamoto ya masuala yake hakika naipenda familia yangu.
 
Unajisikia poa na glass ya wine, hahahaa sawa mkuu.
 
Kila mmoja ana anapokuwa nyumbani kuna jambo fulani huwa linamfanya ajisikie kweli yupo na mpenzi wake, ngoja nikupe kidogo la kwangu na itapendeza na wewe ulinipa la kwako kama unalo .

Kwa karibu miaka 25 sasa, Naomi wangu kila anapoenda kuoga huniita na kunipa maelekezo, “Mpenzi, tafadhali nipatie taulo yangu . Nipatie sabuni ya kuogea. Nipatie shampoo yangu. Nipe hii nipe na hiyo."

Nikiisha mpatia vyote huniamuru nimsubiri humo humo bafuni hadi amalize kuoga

Ingawa mimi hutenda kwa msisimko, lakini huwa nashangaa kwa nini hawezi kuweka vitu vyake vyote vya kuogea kwenye rafu huko bafuni .

Hii lifestyle niliipenda sana kwa miaka ya mwanzo wa ndoa yetu Ila kwa sasa basi tu Ila siwezi kuiepuka kwa kuwa Naomi huwa ananifanya nisisimke sana kila nimuonapo akioga hivyo anaponiita na kunituma huwa naona poa sana.

Vipi huko kwenu ni mwaka wa ngapi sasa bado mnaendeleza yale yale mlioanza nayo baada tu ya kuoana?

Nb
Wale single naomba msome Ila msikoment.
Bonge ya bond
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom