jjs2017
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 2,027
- 4,316
Habari za wakati huu ndugu zangu..
Kama tulivyo kubaliana katika kikao cha wanaume kilichofanyika usiku wa kuamkia leo. kwamba mpenzi/ demu/ mchumba hatakiwi kupewa hela yeyote ile , ila itakapo tokea changamoto za kimaisha zenye ulazima na ikabidi kupewa hela akiomba ni amri mwanamke huyo anae omba hela kuja kufata yeye mwenyewe geto au nyumbani peke yake bila kusindikizwa na mtu yeyote awe rafiki yake, kaka, baba, mama, dada au mdogo wake au yeyote yule, na au sio kutuma mwakilishi yeyote au vinginevyo bila kujali mwanamke huyo anatokea umbali gani..
Nb. Kwa wale wanaume wote mlio kua na dharura mmewakilishwa vyema na hayo ndio tuliyo kubaliana