Nani msaliti zaidi kati ya rafiki anayekudhulumu pesa na rafiki anayetongoza wapenzi wako?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,587
44,832
Kuna wafanyakazi wenzako wawili wote ni watu wako wa karibu mnakaa wote mnakunywa kula na kulewa pamoja sasa niambie yupi ni mbaya zaidi yaani tabia zake havumiliki yaani unayefikiri anakufanyia unafki zaidi.

Wa kwanza yeye akipewa hela akulipe hakulipi kwa muda anatafuta namna akunyengenyenge asikupe haki yako kamili unayostahili na ukikaa vibaya hata pesa hatakupa yaani ni jambazi haswa kwenye pesa yako ya halali.Na kwa kuwa yeye kamba yake ndefu ni senior kuliko wewe so matumizi yake makubwa so anahitaji more money ndo maana anajikuta anawapiga pesa kufidia matumizi yake badala akupe 300000 anaweza kukupa 150000 na kwa kuwa una shida basi unachukua kishingoupande.

Kwa mfano kapata mchoro ambao anatakiwa awashirikishe mkapige kazi yeye anaweza kwenda kupiga kimya kimya ila yeye hana time na mademu zako yaani mashemeji zake ni yeye na mademu zake tu tamaa na mwanamke asiye wake hana.

Wa pili yeye sio mkatili kwenye hela kama kuna hela kapata na anatakiwa akupe lazima akupe na tena sio mchoyo kama kuna sehemu kapata pesa lazima akugaie kidogo kifupi hana tabia ya kudhulumu pesa ya mtu hata kama kuna mwanya wa kufanya hivyo hawezi kucheza na maisha ya mtu, hasa kwenye kipengele cha hela yako.

Ila yeye tabia yake ukimtambulisha kwa baadhi ya mashemeji zake basi ataanza kujisifu jisifu au kukukandia na pale ukikaa vibaya ukatoka namba atamuomba ukikaa vibaya atamtongoza yaani kifupi yuko na tabia za umalaya kila mwanamke anataka amuonje na hasa zaidi akipiga vibia viwili vitatu.

Kati ya hao wawili nambie nani ni mbaya zaidi katika maisha yako?
 
Aisee Hakuna kitu kinauma Kama kutongozewa/ kugongewa demu/ mke na mtu wako wa karibu hasa rafiki yako.Maumivu Yake baki kuyasikia tu kwa watu usiombe yakukute mazee.

Kwa hiyo Bora rafiki anayekudhulumu pesa maana unaweza kusamehe na kutafuta pesa zingine, ila kutongozewa ama kugongewa demu hapana aisee!

Mimi nilishajiapizia kwamba siku nikimstukia mtu yeyote akimtongoza demu/ mke wangu walahi nitamfanyia full body massage ambayo hajawahi kuiona na akikaa vibaya namtuma Kwenye land of no return.
 
Huyo wa pesa na michongo ndo mbaya kabisa. Hapendi maendeleo yako.
Huyu wa kutongoza mashemeji sio kosa lake, ni kosa la dem wako maana jamaa hamlazimishi, anamtongoza, so ana uhuru wa kukubali au kukataa.
Kama manzi ako ni mwepesi, hata asipotongozwa na rafiki yako atatongozwa na mwamba mwingine na anaeza akamla pia.
 
Dah pesa inauma mazee, apa kuna jamaa mwez ulopita ameniazima Elf 85,000 alaf mara kuna soo akalifanya amefungwa juzi tu apa amepigwa miezi sita, dah nimeumia sana aisee nimeshapoteza pesa yangu
 
Aisee Hakuna kitu kinauma Kama kutongozewa/ kugongewa demu/ mke na mtu wako wa karibu hasa rafiki yako.Maumivu Yake baki kuyasikia tu kwa watu usiombe yakukute mazee.

Kwa hiyo Bora rafiki anayekudhulumu pesa maana unaweza kusamehe na kutafuta pesa zingine, ila kutongozewa ama kugongewa demu hapana aisee!

Mimi nilishajiapizia kwamba siku nikimstukia mtu yeyote akimtongoza demu/ mke wangu walahi nitamfanyia full body massage ambayo hajawahi kuiona na akikaa vibaya namtuma Kwenye land of no return.
Utajikuta kwa kitanda unaomba uji. Wanawake wanajijua wenyewe.
 
Kuna wafanyakazi wenzako wawili wote ni watu wako wa karibu mnakaa wote mnakunywa kula na kulewa pamoja sasa niambie yupi ni mbaya zaidi yaani tabia zake havumiliki yaani unayefikiri anakufanyia unafki zaidi.

Wa kwanza yeye akipewa hela akulipe hakulipi kwa muda anatafuta namna akunyengenyenge asikupe haki yako kamili unayostahili na ukikaa vibaya hata pesa hatakupa yaani ni jambazi haswa kwenye pesa yako ya halali.

Kwa mfano kapata mchoro ambao anatakiwa awashirikishe mkapige kazi yeye anaweza kwenda kupiga kimya kimya ila yeye hana time na mademu zako yaani mashemeji zake ni yeye na mademu zake tu tamaa na mwanamke asiye wake hana.

Wa pili yeye sio mkatili kwenye hela kama kuna hela kapata na anatakiwa akupe lazima akupe na tena sio mchoyo kama kuna sehemu kapata pesa lazima akugaie kidogo kifupi hana tabia ya kudhulumu pesa ya mtu hata kama kuna mwanya wa kufanya hivyo hawezi kucheza na maisha ya mtu, hasa kwenye kipengele cha hela yako.

Ila yeye tabia yake ukimtambulisha kwa baadhi ya mashemeji zake basi ataanza kujisifu jisifu pale ukikaa vibaya ukatoka namba atamuomba ukikaa vibaya atamtongoza yaani kifupi yuko na tabia za umalaya kila mwanamke anataka amuonje na hasa zaidi akipiga vibia viwili vitatu.

Kati ya hao wawili nambie nani ni mbaya zaidi katika maisha yako?
Huyo wa pili sitaki kabisa anisogelee.
 
Kuna wafanyakazi wenzako wawili wote ni watu wako wa karibu mnakaa wote mnakunywa kula na kulewa pamoja sasa niambie yupi ni mbaya zaidi yaani tabia zake havumiliki yaani unayefikiri anakufanyia unafki zaidi.

Wa kwanza yeye akipewa hela akulipe hakulipi kwa muda anatafuta namna akunyengenyenge asikupe haki yako kamili unayostahili na ukikaa vibaya hata pesa hatakupa yaani ni jambazi haswa kwenye pesa yako ya halali.Na kwa kuwa yeye kamba yake ndefu ni senior kuliko wewe so matumizi yake makubwa so anahitaji more money ndo maana anajikuta anawapiga pesa kufidia matumizi yake badala akupe 300000 anaweza kukupa 150000 na kwa kuwa una shida basi unachukua kishingoupande.

Kwa mfano kapata mchoro ambao anatakiwa awashirikishe mkapige kazi yeye anaweza kwenda kupiga kimya kimya ila yeye hana time na mademu zako yaani mashemeji zake ni yeye na mademu zake tu tamaa na mwanamke asiye wake hana.

Wa pili yeye sio mkatili kwenye hela kama kuna hela kapata na anatakiwa akupe lazima akupe na tena sio mchoyo kama kuna sehemu kapata pesa lazima akugaie kidogo kifupi hana tabia ya kudhulumu pesa ya mtu hata kama kuna mwanya wa kufanya hivyo hawezi kucheza na maisha ya mtu, hasa kwenye kipengele cha hela yako.

Ila yeye tabia yake ukimtambulisha kwa baadhi ya mashemeji zake basi ataanza kujisifu jisifu au kukukandia na pale ukikaa vibaya ukatoka namba atamuomba ukikaa vibaya atamtongoza yaani kifupi yuko na tabia za umalaya kila mwanamke anataka amuonje na hasa zaidi akipiga vibia viwili vitatu.

Kati ya hao wawili nambie nani ni mbaya zaidi katika maisha yako?
Apo kwenye kutongozewa pisi ndo hatari
Kudhulumu pesa sio usaliti
 
Bora anae tamani wanawake zangu kuliko anaenibania na kunifanyia unafiki katka michongo na pesa.

Kama nikimtambulisha demu kwa mshikaji, alfu mshikaji akatongoza na akala Mbususu basi nitajua mwanamke niliekua nae ni malaya na wala sinto kua na shida na mshikaji wangu maana naamini kama yeye kafanikiwa basi kuna ambao siwajui wangefanikiwa pia kumla mwanamke wangu.

Btw, dont trust friends too much and learn to use enemies and create them for your own good.
 
Hi

yo paragraph ya mwisho iko very empowering
 
Kuna wafanyakazi wenzako wawili wote ni watu wako wa karibu mnakaa wote mnakunywa kula na kulewa pamoja sasa niambie yupi ni mbaya zaidi yaani tabia zake havumiliki yaani unayefikiri anakufanyia unafki zaidi.

Wa kwanza yeye akipewa hela akulipe hakulipi kwa muda anatafuta namna akunyengenyenge asikupe haki yako kamili unayostahili na ukikaa vibaya hata pesa hatakupa yaani ni jambazi haswa kwenye pesa yako ya halali.Na kwa kuwa yeye kamba yake ndefu ni senior kuliko wewe so matumizi yake makubwa so anahitaji more money ndo maana anajikuta anawapiga pesa kufidia matumizi yake badala akupe 300000 anaweza kukupa 150000 na kwa kuwa una shida basi unachukua kishingoupande.

Kwa mfano kapata mchoro ambao anatakiwa awashirikishe mkapige kazi yeye anaweza kwenda kupiga kimya kimya ila yeye hana time na mademu zako yaani mashemeji zake ni yeye na mademu zake tu tamaa na mwanamke asiye wake hana.

Wa pili yeye sio mkatili kwenye hela kama kuna hela kapata na anatakiwa akupe lazima akupe na tena sio mchoyo kama kuna sehemu kapata pesa lazima akugaie kidogo kifupi hana tabia ya kudhulumu pesa ya mtu hata kama kuna mwanya wa kufanya hivyo hawezi kucheza na maisha ya mtu, hasa kwenye kipengele cha hela yako.

Ila yeye tabia yake ukimtambulisha kwa baadhi ya mashemeji zake basi ataanza kujisifu jisifu au kukukandia na pale ukikaa vibaya ukatoka namba atamuomba ukikaa vibaya atamtongoza yaani kifupi yuko na tabia za umalaya kila mwanamke anataka amuonje na hasa zaidi akipiga vibia viwili vitatu.

Kati ya hao wawili nambie nani ni mbaya zaidi katika maisha yako?
Kama ni mashemeji sawa ila sio MKE WANGU
Ntaku Ua
 
Aisee Hakuna kitu kinauma Kama kutongozewa/ kugongewa demu/ mke na mtu wako wa karibu hasa rafiki yako.Maumivu Yake baki kuyasikia tu kwa watu usiombe yakukute mazee.

Kwa hiyo Bora rafiki anayekudhulumu pesa maana unaweza kusamehe na kutafuta pesa zingine, ila kutongozewa ama kugongewa demu hapana aisee!

Mimi nilishajiapizia kwamba siku nikimstukia mtu yeyote akimtongoza demu/ mke wangu walahi nitamfanyia full body massage ambayo hajawahi kuiona na akikaa vibaya namtuma Kwenye land of no return.
Mhhh nguvu unazo unaweza jikuta unababuliwa ww na dem wako
 
Back
Top Bottom