Amos David Mathias
JF-Expert Member
- Sep 3, 2022
- 1,575
- 3,109
Mimi ni mwanachama niliyeingia juzi Kati Jamii Forums lakini baada ya kuingia huku nimekuwa nikisoma Uzi nyingi za mapenzi, nyingi zinalenga kuonesha wanawake walivyo wabaya Kwa wanaume.
Kila mtu anaekomenti kuhusu tukio la mwanamke anatoa comment iliyojitesheleza kuonesha wanawake walivyo na tabia Mbaya, hawafai, namna ambavyo wanawanyanyasa wanaume na kero zao.
Sasa na Mimi naona nimeanza kuwachukia na kuwadharau wanawake.Hii roho ya kuchukia wanawake inakuwa Sana kadri navyoingia jukwaa la mapenzi na siwaoni kama Tena marafiki Bali maadui . Nyinyi mnaonaje ndugu kaka na Dada zangu.Nipo peke yangu au tupo wengi.Mtazamo wangu Kwa wanawake umebadilika vibaya Sana.