Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kwa kawaida upendo wa kweli huwa unajiendesha wenyewe hauhitaji kutumia nguvu. Ukiona unatumia nguvu kubwa kuendesha upendo wako kwa mtu. Kuwa na hakika kuwa hupendwi💔!!
7 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu Aisee ipo hivi kuna jirani hapa mtaani ana kijana wake anatarajia kuoa mwaka huu hivyo nikapewa mwaliko wa kikao cha kwanza cha harusi ambayo ilikuwa ni weekend. Ila tokea...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Habari za kwenu?? Ili uwe na amani mda wote,hii inajumuisha wote walio ndani ya ndoa au walio na mahusiano ya kimapenzi. Mwanamke anaweza kukufanya ukaonekana kidume mbele ya jamii,pia anaweza...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Jamani kelele za hawa wadada et tunabambiwa ila sometime wanayatakaga wenyewe Nimekaa zangu kwenye siti mtu anakuletea kalio mpaka puani hata hajistukiii mbaya zaidi limewamba Sikutakiana lawama...
12 Reactions
69 Replies
7K Views
jana bujibuji kaleta uzi kwamba wadada wenye hela hawapendwi na wanakosa wenzi wao. Mimi na manzi wangu wa kishua tunalisongesha kwenye shida na raha. Vijana igeni mfano
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Miaka ya nyuma wanaume wengi walisalitiwa na wachumba baada ya kuwasomesha shule kwa gharama kubwa wakiwa na tegemeo la kuwa wenza wao wa maisha hapa ikaibuka kauli "mchumba hasomeshwi" somo hili...
21 Reactions
375 Replies
17K Views
Safari yangu ya kujitafuta na hatimaye kujitegemea imekuwa tofauti kidogo! Maisha ya ghetto nilianzia chuo! Wakati huo ilikuwa rahisi sana, pesa ilikuwepo na fursa zilikuwa nyingi. Sikuona ukali...
15 Reactions
25 Replies
3K Views
Salaam wanaJamiiforums Kwakuwa ndugu bwana Fene huyu manzi mkali nilie nae mtoto shombeshombe aliekuwa hasikii haoni kwangu amekuwa daily akinihimiza nimuoe basi nimeamua nije kwa marafiki zangu...
5 Reactions
139 Replies
10K Views
Mmejificha wapi wajameni, mbona mnataka tuzeekeee tuuu bila huruma Hebu mtuoe basi tumechoka mikelele ya wazazi. Hakuna kigezo wala masharti hapa, sibagui sichagui [emoji1] Ila ukija na usiponioa...
41 Reactions
254 Replies
19K Views
katika kuelezea hisia za mapenzi, sio lazima kila siku mwanaume tuu ndio awe mwanzilishi wa kusema hisia zake kwa mwanawake, kuna kipindi mwanamke anaweza kufunguka. achana na vicheche kadhaa...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Scientints and others je hii inawezekana? yaani nazungumzia kwa mwanaume lijali kabisaa asiye na shida. Atawezaje kukaa bila nyeto? Yes, kuna wale wazee wa totozi, wao wakikolea wanaenda...
5 Reactions
32 Replies
3K Views
Bila salaaam Niende moja kwa moja kwenye mada Mwaka jana nilikua na binti flani katika mahusiano. Tulidumu kwa miezi 8 nikampiga chini baada ya kuona ananiletea mapenzi ya kifilipino Binti...
9 Reactions
25 Replies
2K Views
Hello. Kipi kilichowahi kukutokea katika maisha yako ya mapenzi. Kikakufanya usingiziwe jambo ambalo hautakuja kusahau maisha yako. NAWAPENDA
0 Reactions
11 Replies
634 Views
Habari za jioni wana JF , mimi ni mgeni. Pia ni mzima wa afya Iko hivi kuna msichana nimependana nae takeibani miaka 6 wakati huo wote tulikua tukiishi kama wachumba Kuna wakati ukafika...
5 Reactions
65 Replies
4K Views
Habarini wanangu wa JF, ni muda sasa sijapost thread. Iko hivi nimemaliza form 6 mwaka jana mwezi wa 5 katika shule fulani jijini mbeya ilikuwa co-education (boarding). Sababu ya kuleta kisa...
4 Reactions
100 Replies
5K Views
Kiuhalisia haya mahusiano yapo tukiweka kando Bongo movie, bongo flava na ndumba ? Tuweke kando madenti wa sekondari hawa kuwapata ni rahisi lakini kwa sheria za sasa ukiingia kichwa kichwa...
7 Reactions
19 Replies
1K Views
Inasikitisha Sana. Mtu akiwa kazini unampigia simu hapokei makusudi.Embu just imagine hata kama ni wewe unafanyiwa hivi ndugu yangu ungejiskiaje. Unajua kabisa mtu Fulani anakupenda simu yake...
8 Reactions
37 Replies
2K Views
Habari za Jumapili wapendwa.. Leo nimeenda kanisani kama kawaida yangu, ikabidi nikae siti za kati kati kabisa ya kanisa. Sasa sisters wa kanisa wawili wakaja wakaketi sit ya mbele yangu, Ibada...
13 Reactions
141 Replies
10K Views
Wasalamu wajameni! Maisha ni Raha sana Endapo utaishi bila ya stress. Mnamo Augost 2022 niliopata baby mama mpya, yaani penzi lilikuwa la kunoga mno. Tunaweza kuongea na simu usiku kucha mpaka...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Jamani nilichogundua maisha ya usingle ni mazuri sana na yanafuraha kuliko maisha ya mapenz mpaka nasema hivi nishafanya tafiti nyingi na pia nina experience je wewe unamtazamo...
24 Reactions
213 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…