Nimeamini mapenzi Konyo(yanakeraaaaaa)

Nimeamini mapenzi Konyo(yanakeraaaaaa)

Amos David Mathias

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2022
Posts
1,575
Reaction score
3,111
Inasikitisha Sana. Mtu akiwa kazini unampigia simu hapokei makusudi.Embu just imagine hata kama ni wewe unafanyiwa hivi ndugu yangu ungejiskiaje.

Unajua kabisa mtu Fulani anakupenda simu yake unaiona inaita alafu badala uipokee ,unaipotezea.Unajua kabisa message hii ya mtu anakupenda badala ujibu unaipotezea.

Of course basi unaweza kusema ubize wa kazi umekufanya uchelewe kupokea simu yangu au kujibu jumbe zangu nikakuelewa.

Lakini Kuna hizi Pumbuz eti zinasema "mimi nikiwa kazini Huwa sishiki simu kabisa" au "Nikiwa kazini Huwa naweka simu kabisa pembeni". Yaani anajitetea ilimradi aonekane kwamba yeye na simu sio marafiki.

Lakini kitu kinachoniuma ni kwamba mtu huyo huyo anayesema kwamba yeye sio rafiki wa simu, sio mtu ambaye anaweza kutumia simu kila mara NDYO huyo huyo anayejibu Kila meseji inayoingia katika simu yake.Kila muda yupo katika mitandao chungunzima anaperuzi tu ,Kila notification inayoingia anataka kuiangalia.

Alafu wewe ukiwa mbali na Mimi unaanza kusema kwamba wewe sio rafiki wa simu, sio mtumiaji mzuri wa simu.Huu ni upumbavu ndugu yangu.

Alafu na nyie mnaopenda kujibu vifupi unatumiwa salamu unajibu "Pw" au "P".Unatumiwa text ndefu badala ujibu unasema "kumbe" "Aisee" nyie akina naniliu nawaambia IPO siku yenu mtalia na kusaga meno.
a-white-man-and-black-woman-sitting-in-a-wintry-rural-landscape-hugging-and-touching-noses-ISF...jpg

View attachment 2499603
 
Inasikitisha Sana. Mtu akiwa kazini unampigia simu hapokei makusudi.Embu just imagine hata kama ni wewe unafanyiwa hivi ndugu yangu ungejiskiaje.

Unajua kabisa mtu Fulani anakupenda simu yake unaiona inaita alafu badala uipokee ,unaipotezea.Unajua kabisa message hii ya mtu anakupenda badala ujibu unaipotezea.

Of course basi unaweza kusema ubize wa kazi umekufanya uchelewe kupokea simu yangu au kujibu jumbe zangu nikakuelewa.

Lakini Kuna hizi Pumbuz eti zinasema "mimi nikiwa kazini Huwa sishiki simu kabisa" au "Nikiwa kazini Huwa naweka simu kabisa pembeni". Yaani anajitetea ilimradi aonekane kwamba yeye na simu sio marafiki.

Lakini kitu kinachoniuma ni kwamba mtu huyo huyo anayesema kwamba yeye sio rafiki wa simu, sio mtu ambaye anaweza kutumia simu kila mara NDYO huyo huyo anayejibu Kila meseji inayoingia katika simu yake.Kila muda yupo katika mitandao chungunzima anaperuzi tu ,Kila notification inayoingia anataka kuiangalia.

Alafu wewe ukiwa mbali na Mimi unaanza kusema kwamba wewe sio rafiki wa simu, sio mtumiaji mzuri wa simu.Huu ni upumbavu ndugu yangu.

Alafu na nyie mnaopenda kujibu vifupi unatumiwa salamu unajibu "Pw" au "P".Unatumiwa text ndefu badala ujibu unasema "kumbe" "Aisee" nyie akina naniliu nawaambia IPO siku yenu mtalia na kusaga meno.View attachment 2499601
View attachment 2499603
Shida ufupi hupendwi mkuu 🤣🤣🤣
 
Ukikua utaelewa mfano maduka yangu yalivyo busy wahudumu hawapat hata dak ya kushika sm mpk huwa najiuliza iv wapenz wao hawalalamiki? But lazima uelewe yuko kazin acha utoto
 
Lakini Kuna hizi Pumbuz eti zinasema "mimi nikiwa kazini Huwa sishiki simu kabisa" au "Nikiwa kazini Huwa naweka simu kabisa pembeni". Yaani anajitetea ilimradi aonekane kwamba yeye na simu sio marafiki.
Ukitaka uthibitishe hili, kesho mtumie sms, jifanye umekosea, "Jane Mpenzi, nimeshachukua room namba Tisa hapa Babu Nongwa Lodge, wahi kufika kabla yule shetani hajarudi, waslaam"

Zikipita sekunde kumi hajajibu au kupiga Niitwe Mbwa, Niko pale nimekaa
 
Una mapenzi ya kizamani sana, jinsi unavyo zidi kuzidisha shobo juu yake ndivyo una msukuma mbali na ww.

Unacho takiwa ni kumfanya aone thamani yako kwake na sio kumshobokea kipuuzi.
 
Inasikitisha Sana. Mtu akiwa kazini unampigia simu hapokei makusudi.Embu just imagine hata kama ni wewe unafanyiwa hivi ndugu yangu ungejiskiaje.

Unajua kabisa mtu Fulani anakupenda simu yake unaiona inaita alafu badala uipokee ,unaipotezea.Unajua kabisa message hii ya mtu anakupenda badala ujibu unaipotezea.

Of course basi unaweza kusema ubize wa kazi umekufanya uchelewe kupokea simu yangu au kujibu jumbe zangu nikakuelewa.

Lakini Kuna hizi Pumbuz eti zinasema "mimi nikiwa kazini Huwa sishiki simu kabisa" au "Nikiwa kazini Huwa naweka simu kabisa pembeni". Yaani anajitetea ilimradi aonekane kwamba yeye na simu sio marafiki.

Lakini kitu kinachoniuma ni kwamba mtu huyo huyo anayesema kwamba yeye sio rafiki wa simu, sio mtu ambaye anaweza kutumia simu kila mara NDYO huyo huyo anayejibu Kila meseji inayoingia katika simu yake.Kila muda yupo katika mitandao chungunzima anaperuzi tu ,Kila notification inayoingia anataka kuiangalia.

Alafu wewe ukiwa mbali na Mimi unaanza kusema kwamba wewe sio rafiki wa simu, sio mtumiaji mzuri wa simu.Huu ni upumbavu ndugu yangu.

Alafu na nyie mnaopenda kujibu vifupi unatumiwa salamu unajibu "Pw" au "P".Unatumiwa text ndefu badala ujibu unasema "kumbe" "Aisee" nyie akina naniliu nawaambia IPO siku yenu mtalia na kusaga meno.View attachment 2499601
View attachment 2499603
Solusheni ni kuacha kupiga na kutuma hiz text mara moja

Inauma ila ndio njia pekee kujikomboa toka kwenye hayo mahusiano ya kinyonyaji na kishenzi sana
 
Badala ya kushughulika na kazi wakati wa kazi munalalamika ati mtu hajibu message za simu.

Mambo yenyewe ya kutaka kujibiwa ni ujinga na upuuzi mtupu.
 
Back
Top Bottom