Wanawake wa Mombasa

Wanawake wa Mombasa

Humorous Junior

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2018
Posts
1,599
Reaction score
1,421
Habari za wakati huu waungwana. Naombeni uzoefu wenu kuhusu wanawake wa Mombasa!
Wanatabia zipi kwenye mahusiano? Ni miezi 3 tatu sasa tupo katika dating, by the way hatujakutana kulana. Amesafiri kwenda nje ya nchi kikazi , Saudi Arabia. Single mother. Once mapenzi moto moto whatsp chat mpaka unasahau kuzima data. Picha kila wakati.

January hii nahisi kuna jambo haliko sawa! Mawasiliano yamekuwa mabovu. Kuna kisa kilinichanganya ila nikabaki kama nilivyoamua. Alikuwa anatumia telegram bila Mimi kujua kwamba najua Ila hajui kwamba najua. Hapa ndipo hali lipoanza KUWA ngumu!

Akaanzisha kisa kwamba nimemtongoza Dada take insta. Nikasema no ikabaki KUWA no. Akadai kuwa kuna mtu toka Tanzania anamtumia picha alizonipa Mimi!
Nikasema no, ikabaki kiwa no! Mawasiliano yakaanza kuwa hafifu. Mtafute mtafute tu.

Now, majuzi anasema simu take imepasuka, kwa hiyo akipatikana sawa, akikosekana sawa!

HEBU NIPENI MWANGA KWA JINSI MNAVYOWAJUA. ALINITAMBULISHA MPAKA KWA DADA YAKE!
I love this girl wakuu I hope one day I will marry her.

Naingiwa na mashaka!
 
Kwenye kunyandua hakikisha umeweka plasta kwenye kinyeo chako hawachelewi kutest mitambo.......utanishikuru badaye
 
Umekutana na b*tch wa hapa hapa TZ tu muuzaaji wa kule Telegram anakuchezea mchezo....
 
Kama unampenda kiasi hicho achana nae..
Haipaswi kumuoa mtu unaempenda ww tu, halafu yeye ni hakupi uzito.
Utakuga kwa kihoro.
 
Umekutana na b*tch wa hapa hapa TZ tu muuzaaji wa kule Telegram anakuchezea mchezo....
Awali alikuwa anatumia namba ya Saudia, now anatumia namba ya Kenya.....Almost masaa mengi anakwambia yupo kazini. Amenitumia picha mpaka ya mwanae
 
Umepotea njia, hakufai huyo
 
Back
Top Bottom