Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari za wakati huu Ukiona mwanamke ametoka kujifungua na anakubania sana kukupa utamu ndugu yangu hata ukibembeleza na kuomba sana akupe penzi na hakupi bali anakuzungusha miezi na miezi na...
3 Reactions
11 Replies
995 Views
MUHIMU: Ndugu wa karibu awe ni bibi (mama yako) au shangazi (dada yako) unaemwamini. Kulazimisha mtoto aje kuishi kwako wakati unaishi na mwanamke mwengine ni kumuingiza mtoto huyo uliemleta...
7 Reactions
42 Replies
3K Views
JE WAJUA? PSYCHOLOGY INASEMA: Watu ambao wapo Single wanauwezekano mkubwa kufanikiwa katika maisha yao kuliko ambao wapo katika mahusiano. Hii imekaaje, Psychology imetupiga Fix au ni kweli...
1 Reactions
82 Replies
3K Views
Habari. Matarajio ya maisha tofauti na uhalisia wenyewe. Ukitaka kujua rangi zote za mwanamke ,tabia zote zuri na mbaya usizingatie sana kwenye mahusiano maana hapo kuna kuwa na unafiki fulani ...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Namtizama nasema hiiiiiiiih. Hatari sana. Lazima game ipigwe hata kama uwanja utakuwa umejaa maji. Lazima. Nasubiria tu aseme ameshafika nikampokee. Maandalizi yake ni bab kubwa.
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Wanan jf. Kwa sasa wanawake wetu mtaani wamekuwa warahisi sana katika kututunuku Tunda. Yaani kwa miaka ya zamani ,ilikuwa inatumia muda mrefu sana katika mchakato wa kutongoza hadi kufika hatua...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Nisiwe muongeaji, lakini haya ndiyo maneno kutoka kwa mke mtarajiwa wa mtu. Na kama mume asipocheza kama Pere, ataambulia vijusi visivyo damu yake. Sintokosa kwenye harusi yenu[emoji16] Nitakuwa...
12 Reactions
138 Replies
6K Views
Naombeni ushauri, Mimi ni msichana wa miaka 24, nina mchumba ana miaka 29, tatizo langu ni kwamba mchumba wangu nimekuja kugundua ni muongo sana na mpaka kumgundua uwe na akili ya ziada kabisa...
21 Reactions
85 Replies
10K Views
Wakuu, Nina siku ya pili sijaenda kwa Mchepuko maana hivi karibuni kuna namna niliharibu kwa wife kwahiyo nilikua kwenye mission ya unyenyekevu, kuwahi nyumbani na kuonyesha upendo ili kuweka...
16 Reactions
201 Replies
12K Views
Habari Wana JF, Mimi ni kijana wa miaka 24 Kiukweli nashindwa Kumdanganya Mwanamke nina mapenzi ya dhati kwa mtu ninaempenda kweli. Ni mara ya pili naingia kwenye Mausiano baada ya nilie...
5 Reactions
106 Replies
8K Views
Kuna mwalimu ninaposoma nimetokea kumpenda sana lakini siwezi kumwambia, hata yeye pia nimegundua ananipenda lakini hayupo tayari kuniambia nimemuonyesha kila dalili kama nampenda lakini hataki...
8 Reactions
229 Replies
33K Views
Nimiaka Sasa bado wanaume wenye sura nzuri,ongea Yao na tembea Yao na mavazi huwadatisha wanawake hata watu wazee wanaume Kwa wanawake wanakushauri uolewe na Fulani nasio Fulani ambaye yupo yupo...
8 Reactions
89 Replies
2K Views
Kwa maisha ya Sasa 25 bado ni umri mdogo Sana kuanza kufikiria ndoa. Unahitaji muda wa kula ujana peke yako kwanza ndipo uingie kwenye ndoa. Ikiwezekana jipange kwanza kimaisha mpk ukifika 35...
15 Reactions
80 Replies
4K Views
Kanisa la huduma ya The Word of Reconciliation Ministries (WRM) la Kivule- Matembele ya Pili limefunguliwa na kuendelea kutoa huduma baada ya kufungwa kwa miezi mwili. Dar es Salaam. Nabii wa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Yaani kuna mambo yanakera sana hii dunia ama hakika ukiwa mfuuatiaji wa kila kitu utaishia kuumwa ugonjwa wa ulcer tu yaani kuna vitu vinakera kweli kwenye hii dunia kwakweli Nikuambie kitu jana...
8 Reactions
43 Replies
2K Views
Maisha yana vingi vya kujifunza.,,furaha na huzuni zote ni sehemu ya maisha. Ilikuaje Yule ulimpenda aliondoka katika Maisha yako ilhali ukiwa haujajipanga au kujiandaa . Nilimpenda sana Yule...
0 Reactions
8 Replies
617 Views
Vijana wengi wa kiume akiona mtoto mzuli wa kike anamuelezea changamoto za mahusiano anavyoteseka anayopitia huchukulia ile kama ni Fursa kwake kwa kutaka kumuoneshea kuwa anamjali na kujifanya...
6 Reactions
16 Replies
1K Views
Asalaam alaikum? Nitoe hadhari ya kipekee kwa wanaume, kumekuwa na hamasa za vibwagizo vya kupiga deki uke wakati wa game za minyanduano, hata kutoka kwa baadhi ya watu wenye heshima kama...
20 Reactions
127 Replies
8K Views
Mwite mtu aje akupe faraja Kwa maneno mazuri mie ni Carrasco putin dear naomba uje unifariji PENZI Penzi njia ya adhabu, sina budi kuipita, Tena ina nyingi tabu, ila siwezi iwata, Leo naomba...
9 Reactions
309 Replies
8K Views
Back
Top Bottom