Usipate ujauzito kama kigezo cha ndoa

Usipate ujauzito kama kigezo cha ndoa

2025DG

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2023
Posts
519
Reaction score
1,553
Hello.

Mtoto wa kike badilika.

Kitendo cha kulazimisha mimba na kutarajia ndoa ,imeleta shida sana na kupelekea ongezeko kubwa la single mama.

Kutarajia kupata mimba kwa kigezo cha ndoa sio sawa kabisa,maana kama mwanaume unaona kuna future naye lazima uwe mtulivu wa nafsi juu yake.

Maisha ya sasa yamebadilika sana wanaume wengi wamekuwa wakiweka kipaumbele kikubwa katika maisha katika kujijenga kiuchumi,maana ndio kigezo cha kwanza cha kudumisha ndoa na mahusiano ambapo hapa naongelea hela.

Hivyo usitumie kigezo cha kushika ujauzito kama ni tiketi ya ndoa.
 
Hakika kama mwanaume anakupenda atakuoa tu. Na kama hakupendi alikuwa na wewe kwa ajili ya kampani ukajiachia ukabeba mimba anaweza kukuacha akaenda kuoa mke mwingine ambaye hana hata mtoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hello.

Mtoto wa kike badilika.

Kitendo cha kulazimisha mimba na kutarajia ndoa ,imeleta shida sana na kupelekea ongezeko kubwa la single mama.

Kutarajia kupata mimba kwa kigezo cha ndoa sio sawa kabisa,maana kama mwanaume unaona kuna future naye lazima uwe mtulivu wa nafsi juu yake.

Maisha ya sasa yamebadilika sana wanaume wengi wamekuwa wakiweka kipaumbele kikubwa katika maisha katika kujijenga kiuchumi,maana ndio kigezo cha kwanza cha kudumisha ndoa na mahusiano ambapo hapa naongelea hela.

Hivyo usitumie kigezo cha kushika ujauzito kama ni tiketi ya ndoa.
Wote nyie wawil pangeni kabisa kabla ya yote maan mimba huyo mwanamke ajibebeshi.
 
Hello.

Mtoto wa kike badilika.

Kitendo cha kulazimisha mimba na kutarajia ndoa ,imeleta shida sana na kupelekea ongezeko kubwa la single mama.

Kutarajia kupata mimba kwa kigezo cha ndoa sio sawa kabisa,maana kama mwanaume unaona kuna future naye lazima uwe mtulivu wa nafsi juu yake.

Maisha ya sasa yamebadilika sana wanaume wengi wamekuwa wakiweka kipaumbele kikubwa katika maisha katika kujijenga kiuchumi,maana ndio kigezo cha kwanza cha kudumisha ndoa na mahusiano ambapo hapa naongelea hela.

Hivyo usitumie kigezo cha kushika ujauzito kama ni tiketi ya ndoa.
Pole kwa yaliyokukuta
 
Back
Top Bottom