Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu, naombeni ushauri hata kunichangia hata mawazo niondokane na hili, jambo. Nilikuwa na mpenzi wngu tumedumu kwenye mahusiano miaka mitatu, hatimae mwaka huu mwezi wa 2 kaniacha kisa...
8 Reactions
85 Replies
4K Views
Kijana apewe pongezi zake na hongera nyingi mno kwa kutunga mashairi ya wimbo mzuri wa mapenzi 'Zuena', amejitahidi sana. Wadau wa muziki tumuunge mkono kwa kutunga wimbo mzuri na wenye mvuto...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanaume hawasikii vizuri wanapoulizwa swali na wake zao mara ya kwanza. Unapowauliza kuhusu kuweka nguo zao chafu kwenye washing room - au kubadilisha balbu - au kurekebisha kabati la jikoni -...
2 Reactions
61 Replies
2K Views
Habar wana JF, Nashukuru mungu wote ni wazima Mtanisamehe mimi sio muandishi mzuri sana wakuu. Nimetoka kugombana na wife mpaka nimebaki nashangaa na kuwaza kwa maneno alioyasema wife, nikwamba...
23 Reactions
234 Replies
15K Views
Wakuu naomba mniambie Logde nzuri maeneo ya Moshono Arusha..au yoyote ya karibu na maeneo haya. Bajeti yangu 30k-40k
4 Reactions
30 Replies
3K Views
Anapenda Sana Hela.Nikiwa nazo anajileta kwangu tukalale wote. Nisipokuwa nazo Anadai Mimi sio type yake. Nikiwa nazo Anadai anataka nimnunulie pochi nzuri, suruali nzuri , gauni nzuri, wigi...
9 Reactions
32 Replies
1K Views
Hawa viumbe wamenishinda tabia kabisa! Eti kazi Gani unafanya? Inakuhusu Nini? Taarifa zangu za kazi anazijua mke wangu na watoto wangu labda na wazazi !!wewe husna wa tabata na ashura wa tandale...
1 Reactions
19 Replies
975 Views
Ntajaribu kuifupisha Sana hii kadiri ya uwezo wangu[emoji116] NI HIVI, Bila shaka mnamkumbuka yule Mchepuko Wangu anaesoma chuo kikuu ambae ni mdg wake na mamaJ. Uyu Binti mahusiano yangu na...
16 Reactions
349 Replies
18K Views
Hellow, Hivi karibuni kumezuka mzozo mkubwa sana katika familia, chanzo kaka yetu anataka kuoa lakini mahari anasema mzazi wetu ndio atoe, kisa huyo mchumba wake amemuambia kuwa mahari yako...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Tuache kujidanganya hawa watoto wa 2000 wapo mtaani tani kwa tani. Aisee kwa huu muda unachagua mwenyewe unywe kinywaji gani; Balimi au Safari Lager au Castlel au K Vant. Kijana kataa ndoa maana...
9 Reactions
24 Replies
1K Views
Habari ndio hiyo. Siwatakini nyie wote, namtaka mmoja tu kati yenu nyie wote. Watu wa takwimu wameshindwa kuniweka mmimi kwenye category yangu special, nina mademu 14 ila mmoja tu ndio...
3 Reactions
12 Replies
811 Views
Pose like you only mind your own business, umuhimu wake kwako ni wa kawaida sana huna shobo kiviiile. Instead mpigie simu mama yako ama someone else unayemkubali kwenye harakati zako. Wanaume...
6 Reactions
14 Replies
693 Views
Daah maisha siyo fair na wala hayajawahi kuwa fair hata kidogo na hayatawahi kuwa fair hata kidogo as long as tunashaishi wacha tuendelea kuhustle. Si maana yaani bwana mwingine anacheka na...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Hii siku inaweka presha kwa watu wengi muda mfupi. Leo ukimtoa mtoto wa kike aliyempweke utakuwa umejishindia biko. Subiri turushe kete ofisini maana wife kasafiri.
1 Reactions
5 Replies
802 Views
Kwa muda mrefu nimekuwa mpweke ila siku za karibuni kwenye mtandao nikawa niko busy na dada mmoja mzuri sana. Basi tukaona kuna haja ya sisi kuonana kwani niko Dar na Yeye yuko Dar. Tukapanga...
36 Reactions
90 Replies
6K Views
Kuna uhaba sana wanawake kuingia kwenye ndoa mpaka wengine kwenye dini za ndugu zetu waislamu kuomba kuwa mke mwenza. Wanawake wengi wamepata msongo kutokana tabia za wanaume kutoonesha nia ya...
4 Reactions
19 Replies
986 Views
Siku ya Valentines Day asili yake ni kutoka Dola ya Warumi. Ni siku ya kumbukumbu (memoria day) na sehemu nyingine ni (festum) maana yake siku kuu ya daraja la kwanza kwa kumkumbuka Padre...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Achana na hawa wadada ana ka IST na duka la nguo Kinondoni anajiona tajiri. Tajiri anaishi nyumba ya kupanga chumba na sebule na jiko, anajiona kayapatiiiiiiia. Ninaongelea wale wenye mega...
81 Reactions
268 Replies
16K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…