Huo ni mfano tu hai kuwa wanawake wanawahi kuingia kwenye mahusiano tofauti na sisi wanaume.
Kijana wa miaka 18 na msichana wa miaka 18 wana experience tofauti kwenye mahusiano. Kwa mwanamke...
Huyu demu ni muda sana nlikuwa namfukuzia. Siku zote ananitizama anacheka ananiambia "we mtu unajua mi nakuonea huruma huu mzigo huuwezi😁"
Huwa namjibu asione wembamba wa reli huu nabeba mamizigo...
Mkuu wa Wilaya ya Handeni Siriel Mchembe amelazimika kupiga marufuku Wanandoa wa Wilaya hiyo kuacha kusoma msg kwenye simu za wenzao ili kuepusha migogoro na vifo vitokanavyo na wivu wa kimapenzi...
Mimi ni Mtanzania, mzaliwa wa Kanda ya Ziwa umri wangu ni miaka sasa. Namshukuru Mungu nimebahatika kupata elimu japo kwa taabu sana na sasa nafanya kazi hospitali moja ya umma hapa Dar na huu ni...
Kwanini Nina imani Na mademu ma barmaid
1.ni wasafi wanaoga Na kupendeza kutokana Na nature ya kazi zao lazima wawe smart wanukie vizuri wajinyoe hawataki fedheha maana baadhi ya Wateja huwa wana...
Kuna wadada na wamama wengi wanakesha wakiomba na wengine kwa waganga ili wapate wanaume wa kuwaoa, lakini hali ni tofauti. Na utakuta na wana kila sifa.
Hivi wale mnaopata huwa mnafanyaje? Siri...
MHAINI
We olewa na yoyote, hunikomoi
Tena uende popote, hunikomoi
Kisha ufanye vyovyote, hunikomoi
Hata utoke na kaka, hilo sijali
Yaani uwe kibaka, hilo sijali
Tembea unapotaka, hilo sijali
Ni...
Siku ya baridi ya Desemba mwaka wa 2000, Tyrel Wolfe mwenye umri wa miaka saba alipakia zawadi ya Krismasi kuelekea Ufilipino, iliyojaa vitu vya kupendeza vya likizo na hata picha yake akiwa...
Kuna rafiki yangu tulibahatika kusafiri naye na kudondokea ujerumani huko Bavaria sehemu ya Amberg.
Kukweli hii ngozi nyeupe ni kwa wanawake ni watu wenye aibu sana na wachangamkaji kama mgeni...
Kazi iende na dawa hata pesa iende na huduma unayopokea.
Huyu ni mwanadada mmoja tulianza mahusiano late 2015 hakua na mbambamba, she gave everything and everytime alikua na uwezo wa kusafiri...
Kipindi ujaingia kwenye ndoa hakuna mtu yoyote anayekusumbua ila ukiingia kwenye ndoa tu ndio balaa.
Ili swala kwa upande wa wanaume ndio wanasumbuliwa pindi wakiingia kwenye ndoa.
Mwaka wa tano huu sasa, hakuna mba mba mba wala nye nye nye! Namshukuru Mungu.
Sijui ni kwanini ipo hivi, no offence pia kwa wanawake wenye degree zenu. Ila mimi nazungumzia sisi tuliooa form...
Eti umemwona mwanamke mrembo anapendeza ukavutiwa naye umtongoze? Basi jua unalolitafuta utalipata.
Soon ukishakuwa naye tu utagundua ana matatizo ya kodi, mtoto au watoto, mzazi wake mgonjwa...
Wanawake bwana wao huwa wanaambiana vistory vya kweli wao kwa wao. Hata mwanaume ukimkuna vizuri lazima akawasimulie wanawake wenzake. Hawa wenzetu hawawezi kutunza siri hasa kama kuna kitu...
Baada ya majukumu ya kitaifa na kutafuta ugali hapo jana.........mida ya jioni nikaingia supermarket moja hapa jijini dar nikadaka baadhi ya vizawadi kwa ajili ya demu wangu.
Nimefika gheto...
Mapenzi hayana heshima kabisa
Juma tatu ya last week mpenzi wangu alinitambulisha mdogo wake. Ila cha hajabu sasa nahisi moyo wangu umetokea kumpenda mdogo wake saana kuliko dada yake.
Mdogo...
Wana MMU, heshima kwenu.
Nahitaji mwanamke wa kufunga nae pingu za maisha (Ndoa) mwenye kujiheshimu na kumcha Mungu. Awe na umri usiopungua miaka 40 mwenye kazi halali inayomuingizia kipato...