Kama una mpenzi wako na anasuka manywele marefu yanayofika hadi kwenye kiuno chake achana nae huyo akufai kabisa kua mke. Piga chini kimbia huyo ni wakutafuna na kusepa tuu na sio kuoa na kuweka...
Me nakumbuka mwaka 2008 niliambiwa kuliko kukupa wewe mbunye yangu bora nikampe mbwa.
Nilikaa kimya kwa muda , nikawa Na sura ya upole mno.Sikumjibu kitu ila nikageuka kwa unyonge nikaondoka...
Alikupa nini Yule mwanamke au mwanaume ambacho haujawahi kupata tena Maishani mwako katika ulimwengu wa kunyanduana?
Nilikutana na papuchu yenye joto nachokumbuka nilipiga Goli 5 kwa usiku mmoja...
Kumekuwa na mfururizo wa nyuzi za kuwashambulia wanawake kwa njia mbali mbali sijui wanawake wa siku hizi ni hivi na vile, lakini haya yote chanzo ni sisi wanaume.
Na sema hivyo kwa sababu...
Nimeoa miaka kadhaa iliyopita. Sasa unaweza ukawa unauliza kitu simple tu kwa wife (mfano ikiwa kakuandalia nguo za safari, Kama ameweza kwenda kufuatilia ulichomuagiza asubuhi).
Aisee yatamtoka...
Hivi mwanaume mzima halafu ukiwa kwa masela unajiita wewe ni mwanaume shababu halafu kutwa mapenzi yanakuendesha balaa huo si umbumbu? na ujinga? na ukichaa wa hali ya juu yaani mimi nikiona...
Wanawake sijui sometimes wanakuaje?
Jana nimepiga kazi flani nikabahatisha laki moja cash. Narudi home tumepiga stori mbili tatu na mke mkubwa then nikaenda kwa mke mdogo jioni hiyo.
Sasa kufika...
1. Baba yake Kafa
2. Alimtelekeza tokea akiwa Tumboni
3. Baba yake akitaka Kumuua
4. Baba yake kasema haikuwa Mimba yake
5. Ndugu za Baba yake wamemkataa
Ila nje ya sababu hizi au kama huyo...
Anaandika MWAJAKU a.k.a DC wa Insta
#FACT- MWAMBINO chukua hii , Mwanaume unatakiwa kuwa na ubongo wenye macho kujua wazo linakokwenda na masikio yenye mzani wa kupima kila kauli ,na moyo wenye...
Niavipi wakuu, najitoa muanga, kuwasaidia wanajamvi, wanandoa wanaume, mkoani kwetu mbeya, idadi ya wanaomiliki uchumi na waliojenga nyumba ni wanawake zaidi, wanajituma sana, pale mkoani kwangu...
Habari, mimi ni mtu ninaye poteza mahusiano mengi sana na katika hayo mahusiano yanayopotea nalaumiwa Mimi kama chanzo.
Hii yote ni kwa sababu naishi katika mahusiano kwa attention mfano nikianza...
Mnaokwenda kuoa au kuoelewa kitu cha kwanza angalia mzazi ambaye ni mama kama ndio mwenye sauti.
Ukiona hivyo kimbia usije juta mnaona mifano tosha kwa domo aka simba au kwa mabinti wengine.
Upweke hauponywi na wengine. Unaweza kuolewa na ukabaki na upweke. Unaweza kuwa katikati ya watu na ukazidi kuwa mpweke. Kwa kawaida mtu hujitenga na wengine anapojitenga yeye mwenyewe.
Kuna...
Naombeni ushauri, mimi ni mume wa mtu pia ni mtumishi na mwenye maisha ya kawaida sana yaani dola mbili kwa siku ndio maisha yangu na ninashukuru ninaridhika ninachopata.
Niinapofanya kazi kuna...
Huyu mwanamke anatia aibu sana.
Awali tumwkubaliana na tulikulana Sana.
Ametoa Siri nyingi za mumewe. Hadi naona aibu. Namkwepa sana.
Nnikumuona nakula Kona na najuta na natamani sinije...
Anaandika kenge
Salaam wakuu!!
Maisha ni marafiki na marafiki ndo maisha yenyewe sindio.Sasa kuna baadhi ya marafiki wanavijitabia vinavyokera na vingine vinafurahisha na kutengeneza bond zaidi...
Ingekuwa kwamba ukifunga ndoa unakaa miaka 2 ndiyo unaenda kuchukuwa cheti cha ndoa je, kuna mtu angeenda kuchukuwa cheti? Kama la au ndiyo unadhani sababu ni nini?
Hii ni sauti kwa niaba ya wanaume wa mikoani, ukiachana na Dodoma na Arusha ambao nao ndio walewale tu..[emoji3]
Tumesikitika sana, na tutaliweka kwenye ajenda kuu, ya bunge la bajeti..
Sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.