Kumekua na nyuzi nyingi za baadhi ya wanaume wakiwa wanalalamika wanawake wa kizazi hiki licha na wao kujishughulisha hawana mchango wowote wa kifedha kwenye familia
Kwa upande wangu me naona...
Kuna huyu shemeji angu workmate na my wife. Mwanzoni nlikua simfahamu ila stori zake nlikua nazipata kutoka kwa wifu, kifupi ndoa yake ina migogoro kiasi na mume wake mpaka wametengana kwa muda...
Habari wana MMU? Niende moja kwa moja, mimi na mke wangu tunaishi vizuri sana ila shida nimeoa sehemu niliyo pangiwa na serikali kufanya kazi. Kiukweli sometimes ndugu wa mke wangu walinipa...
Salaam tele ziwafikie
Kati ya mwaka 2019 au 2020, msanii Stamina ft Roma alitoa wimbo wenye ujumbe wa kusalitiwa na mkewe wa ndoa. Huyo mke akitoka na Ex wake ambae alicheza club ya Simba SC, na...
Kaka si unajua kazi za mlima zilivyongumu kila safari nikipanda nikishuka nampa pesa. Mara 50 au 20 haipungui chini ya hapo
Nampa alipie kodi ya pango anapoishi na matumizi kidogo kwa mwezi...
Kichwa cha mke☺☺
WAEFESO 5:23-25
Kwa maana mume ni kichwa cha mkewe, kama Kristo naye ni kichwa cha Kanisa; naye ni mwokozi wa mwili.
Lakini kama vile Kanisa limtiivyo Kristo vivyo hivyo wake...
[emoji3][emoji3] Nafurahi tu japo moyo unavuja damu
Asee aliniambia mimi ndo mwanaume wa ndoto zake
Hakuwahi kupata mwanamume kama mimi ninayempitisha kilele cha mlima meru na kilimanjaro
Ni mimi...
Ndugu zangu wakati huu nahitajika nitoe majibu kwa kijana wangu, anapitia wakati mgumu.
Ana mpenzi wake anampenda kwa dhati, wamebarikiwa kupata mtoto. Tatizo lilipo sasa, anashindwa kufanya...
Ujumbe huu ni maalum kwako wewe mwanaume ambaye upo kwenye mahusiano na mwanamke mwenye mtoto asiyekuwa wa kwako
Kumchukia mtoto wa mke/mpenzi wako sio ujanja bali ni ujinga na unajipunguzia...
1. Kumpa uhuru wa kuhoji na kukushauri katika maisha yako.
Asiwe kama mlinzi wa getini, kila kitu ni honi na muda wa kujua sasa ni saa 6 natakiwa kwenda kula na chochote akutacho kuta hana haki ya...
Ni uchungu lakini ndio ukweli wenyewe.
Inawezekana umetangatanga sana kutafuta mchumba,mke au mahusiano mitandaoni.
Sikiliza mke au mume huwezi kumpata mtandaoni. Wengi wa huku ni waigizaji ni...
Ndugu zangu,
Natumai ndo mmetoka kibaruani au wengine ndo mama wa nyumbani kama mimi, wengine ndo kwanza wako kwenye vyombo vyao vya usafiri kurejea home.Poleni na mihangaiko ya kutwa.
Wana...
Mi naona hii ni mbwaimbwai....mwaga mboga nimwage ugali....anaumizwa mwanamke anaumizwa mwanaume....Yaan hapo kati Yao Kuna Kuna kakarma kametulia.Huna hatia unatelekezewa mimba ....huna hatia...
Jumapili ya leo ni mwendo wa kugawa upendo kwa yoyote anayetaka connection aje pm na namba yake tu nigawe upendo basi tuendelee wakuu yaani hawa viumbe hawa bwana sio poa kabisa yaani bwana...
Jamani mwenzenu yamenikuta huyu Dada nampenda lakini naona ni kama najipendekeza Kwa mtu asiyenipenda.
Nikituma meseji mchana anajibu usiku nikituma meseji usiku anajibu mchana.Najitahidi Kwa...
Ukiwa kwenye mahusiano yoyote lengo lako liwe ni kukua katika kila nyanja zaidi ya jana.
Kukua kimwili (je uliyenaye anakusaidiaje kuwa na afya bora zaidi?), kiakili (je, uliyenaye anakupa...
1. Sheria ya ndoa inamtwika mwanaume Jukumu lote la ustawi wa uchumi wa familia. Mwanamke akifanya kazi yenye mshahara mkubwa na akagoma kuhudumia familia, Sheria inamlinda. Kwahiyo hakuna haja ya...
Mwanamke kutongozwa ni jambo la kawaida na uamuzi wa kukubali au kukataa upo ndani yake,si lazima wala hamna mahali pameandkwa mwanamke ukitongozwa Ukubali kuwa na huyo mtongozaji.
Lakini leo...