Kwa huyu shemeji yangu nitatoka kweli?

Kwa huyu shemeji yangu nitatoka kweli?

kiroka

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2018
Posts
409
Reaction score
1,984
Kuna huyu shemeji angu workmate na my wife. Mwanzoni nlikua simfahamu ila stori zake nlikua nazipata kutoka kwa wifu, kifupi ndoa yake ina migogoro kiasi na mume wake mpaka wametengana kwa muda lakini wana mtoto mmoja na ndoa ya kikristo

Shida ilianzia siku wife alisafri kwenda msibani kijijini mimi nikawa nimebak home na nikiwa najiuguza homa kidogo.

Sasa kuna vitu vya kazini kwao na wife vilikua vinahitajika na wife kaviacha home ikabidi ampe rafiki yake namba zangu za simu aje achukue homa, shemeji angu akanipigia akaja home kuchukua kuja duu shemeji ni mtu na nusu, kwa kwel shem ana shep na t*ko la haja na ndo ugonjwa wangu. Nikampatia alichofata akasep mmmh from there kuna kitu kikaanza kuibuka

Tukaanza kuchat na akaanza kunishirikisha migogoro yake ya ndoa bila wife kujua nae akaanza kunisifia mbele ya wife uko kazini haya wife akawa ananambia na wife kahis huyu shemej angu nikimtaka hakatai nae kanambia hivyo

Wife kanitahadharisha kua nikimla na cha moto ntakiona na shemej angu nae kapigwa mkwala kua hawa ni wanaume ni watu wa tamaa siku ukimpa mume wangu tutagawana majengo ya umma haya nayo kanambia shem.kweny utan utan tu

Mwanzo niliamua kumpotezea lakin kadri muda unavoenda naona shemej anazidi kua kisu

Shida kubwa naona nikimla atamdharau mke wangu hata wife akinisema vzr wakiwa wote atakua anamtukana kimoyo moyo

Kingine huyu shemej anastress za mapenzi kwa mume wake asije akanogewa nikahatarisha ndoa yangu

Na mwusho naogopa asije amkatilia mke wangu sumu au ammalize wife apate nafasi kwangu coz kwa mumewe hatak kurud tena

Nikimwangalia wife na jinsi anavomwamini huyu dada nitasababisha ugomvi wa karne na wife hataniamini tena lakini nikiangalia hili t*ko la shemeji kumuacha naona kama najidhulumu nafsi
 
Nikuulize kitu mkuu;
Umeanza kujihusisha na mapenzi/zinaa lini?
Umefunua tako ngapi na zimekusaidia nini?

Hilo tako baada ya mwezi hulihitaji tena lakini doa la kupoteza uaminifu litakutafuna hadi ufe.

Heshimu mkeo...ni thawabu kubwa sana.
Nye..ge hazinaga adabu jitahidi zisikupande kichwani mkuu
 
Unapokuwa umeoa haimaniishi huwezi kupenda au kutamani nje. Utapenda na kutamani ila hatufanyi hivyo kwasababu unaridhika tu.
Utalala na utapenda wangapi? Mkeo anatosha tu mengine unaacha nayo.
Ndoa nyingi zinavunjika na kuingia kwenye migogoro kwasababu ya uasherati.
Hakika ukipita naye na ukafumwa ndoa yako itaingia kwenye migogoro mpk unazeeka ndoa yako itabaki kuwa mwimba.
Yale maumivu ya kugongewa ndiyo hayo hayo wanayopata wanawake tunapotoka nje.
Heshimu ndoa yako.
 
Amini nakwambia hakuna siku utajilaumu kama siku utakayomla huyo shemeji yako hata kwa bahati mbaya tu.
Hutakuwa na amani wala furaha nakueleza haya kwasababu hata mm nilikuwa katika hali hiyo kiukweli inatesa hasa ukiona pale mambo na mtu mliyepambana pamoja/ vitu vilivyokuwa vina matter kwako vikiondoka au haribika
Siku zote
Kamwe, Usijetoka na jirani yako, wala workmate wako au wa mkeo
Usijetoka na mwenye nyumba wako au watu wa karibu yako ambao mnafahamiana na kuheshimiana

Ukitaka fanya umalaya nenda tafuta mtoto wa chuo mzuri mpangishie muhudumie then enjoy
 
Nadhani kwa mwanamume tamaa ni jambo ambalo anapata shida sana kulimudu.
 
Kuna huyu shemeji angu workmate na my wife. Mwanzoni nlikua simfahamu ila stori zake nlikua nazipata kutoka kwa wifu, kifupi ndoa yake ina migogoro kiasi na mume wake mpaka wametengana kwa muda lakini wana mtoto mmoja na ndoa ya kikristo

Shida ilianzia siku wife alisafri kwenda msibani kijijini mimi nikawa nimebak home na nikiwa najiuguza homa kidogo.

Sasa kuna vitu vya kazini kwao na wife vilikua vinahitajika na wife kaviacha home ikabidi ampe rafiki yake namba zangu za simu aje achukue homa, shemeji angu akanipigia akaja home kuchukua kuja duu shemeji ni mtu na nusu, kwa kwel shem ana shep na t*ko la haja na ndo ugonjwa wangu. Nikampatia alichofata akasep mmmh from there kuna kitu kikaanza kuibuka

Tukaanza kuchat na akaanza kunishirikisha migogoro yake ya ndoa bila wife kujua nae akaanza kunisifia mbele ya wife uko kazini haya wife akawa ananambia na wife kahis huyu shemej angu nikimtaka hakatai nae kanambia hivyo

Wife kanitahadharisha kua nikimla na cha moto ntakiona na shemej angu nae kapigwa mkwala kua hawa ni wanaume ni watu wa tamaa siku ukimpa mume wangu tutagawana majengo ya umma haya nayo kanambia shem.kweny utan utan tu

Mwanzo niliamua kumpotezea lakin kadri muda unavoenda naona shemej anazidi kua kisu

Shida kubwa naona nikimla atamdharau mke wangu hata wife akinisema vzr wakiwa wote atakua anamtukana kimoyo moyo

Kingine huyu shemej anastress za mapenzi kwa mume wake asije akanogewa nikahatarisha ndoa yangu

Na mwusho naogopa asije amkatilia mke wangu sumu au ammalize wife apate nafasi kwangu coz kwa mumewe hatak kurud tena

Nikimwangalia wife na jinsi anavomwamini huyu dada nitasababisha ugomvi wa karne na wife hataniamini tena lakini nikiangalia hili t*ko la shemeji kumuacha naona kama najidhulumu nafsi
Kwa hili nakushauri chukua hatua mkononi kupitia picha ya huyo shemeji wako, lakini mwenyewe achana nae usije piga. Itakutia doa na kupoteza uaminifu wako kwa mkeo.
 
Wewe hovyo kabisa, unajua kwanini jamaa kaamua kuacha hilo tako?
 
Uzi ni batili bila kapicha
Shemeji kama shemeji
Screenshot_20220715_165148.jpg
 
Kaka hiyo tamaa tu usije ukasababisha migogoro ndani ya nyumba ukataka tena ushauli wakati wewe ndo chanzo achana na hizo kitu mpende mkeo na umvumilie hadi pale atakapo rejea home.
 
Kuna huyu shemeji angu workmate na my wife. Mwanzoni nlikua simfahamu ila stori zake nlikua nazipata kutoka kwa wifu, kifupi ndoa yake ina migogoro kiasi na mume wake mpaka wametengana kwa muda lakini wana mtoto mmoja na ndoa ya kikristo

Shida ilianzia siku wife alisafri kwenda msibani kijijini mimi nikawa nimebak home na nikiwa najiuguza homa kidogo.

Sasa kuna vitu vya kazini kwao na wife vilikua vinahitajika na wife kaviacha home ikabidi ampe rafiki yake namba zangu za simu aje achukue homa, shemeji angu akanipigia akaja home kuchukua kuja duu shemeji ni mtu na nusu, kwa kwel shem ana shep na t*ko la haja na ndo ugonjwa wangu. Nikampatia alichofata akasep mmmh from there kuna kitu kikaanza kuibuka

Tukaanza kuchat na akaanza kunishirikisha migogoro yake ya ndoa bila wife kujua nae akaanza kunisifia mbele ya wife uko kazini haya wife akawa ananambia na wife kahis huyu shemej angu nikimtaka hakatai nae kanambia hivyo

Wife kanitahadharisha kua nikimla na cha moto ntakiona na shemej angu nae kapigwa mkwala kua hawa ni wanaume ni watu wa tamaa siku ukimpa mume wangu tutagawana majengo ya umma haya nayo kanambia shem.kweny utan utan tu

Mwanzo niliamua kumpotezea lakin kadri muda unavoenda naona shemej anazidi kua kisu

Shida kubwa naona nikimla atamdharau mke wangu hata wife akinisema vzr wakiwa wote atakua anamtukana kimoyo moyo

Kingine huyu shemej anastress za mapenzi kwa mume wake asije akanogewa nikahatarisha ndoa yangu

Na mwusho naogopa asije amkatilia mke wangu sumu au ammalize wife apate nafasi kwangu coz kwa mumewe hatak kurud tena

Nikimwangalia wife na jinsi anavomwamini huyu dada nitasababisha ugomvi wa karne na wife hataniamini tena lakini nikiangalia hili t*ko la shemeji kumuacha naona kama najidhulumu nafsi
Tamaa mbele mauti nyuma ebu ishinde hilo jaribu lipo ndani ya uwezo wako ... utakuja nishukuru ... usijaribu sumu kwa kuilamba..wal kuimba huku unatafuna karanga
 
Back
Top Bottom