Kufosi mapenzi ni mbaya sana, Msanii Alikiba hakukosea kuimba

Amos David Mathias

JF-Expert Member
Sep 3, 2022
1,574
3,029
Jamani mwenzenu yamenikuta huyu Dada nampenda lakini naona ni kama najipendekeza Kwa mtu asiyenipenda.

Nikituma meseji mchana anajibu usiku nikituma meseji usiku anajibu mchana.Najitahidi Kwa nguvu zangu zote penzi liendelee lakini kwake sioni juhudi zote yupo kimya.Na akijibu hizo meseji anajibu Yale MAJIBU mafupi kama 'poa' 'safi' 'aisee'.Nikimsifia ni mzuri anasema 'najua'. Hajawahi dhubutu kujibu zaidi ya neno Moja .Majibu yake yananikera na nisipomtafuta sidhani kama atadhubutu kunitafuta.

Mapenzi ni Konyoo nikimpigia nikaingizia maneno ya mapenzi anawaka na kufokaa na kuwa mkali .Utaskia "hebu nitolee pumba zako kama huna vya maana vya kuongea" .Sijui anataka tujadili kuhusu nini au miradi ya kujenga barabara.

Nimeona Bora kujiengua kuliko kuteseka kumfosi mtu asiyenipenda .

ALIKIBA ALIKUWA SAHIHI ALIPOSEMA KUFOSI MAPENZIII NI MBAYA SANA
 
Wajua noomaaaa, Ama kweli ni noomaaaa.
Kuforce mapeenzi, ni vibaya sana aah
Hasa ukipenda aaah, ndio inauma saaana aaah,
Kwa unayempeenda aah, akawa hana maana aah,
Mapenzi yatapaatikana aah, kwa yule yule wake ampendaye eehh, hutopata mapenzi ya Dhati na mali zako zote hakutaki...

WAJUA NOMAAA AAAH AMA KWELI NI NOOOMAAA AAH, KUFORCE MAPEENZI VIBAYA SAAANA AÀAH.
 
Jamani mwenzenu yamenikuta huyu Dada nampenda lakini naona ni kama najipendekeza Kwa mtu asiyenipenda.

Nikituma meseji mchana anajibu usiku nikituma meseji usiku anajibu mchana.Najitahidi Kwa nguvu zangu zote penzi liendelee lakini kwake sioni juhudi zote yupo kimya.Na akijibu hizo meseji anajibu Yale MAJIBU mafupi kama 'poa' 'safi' 'aisee'.Nikimsifia ni mzuri anasema 'najua'. Hajawahi dhubutu kujibu zaidi ya neno Moja .Majibu yake yananikera na nisipomtafuta sidhani kama atadhubutu kunitafuta.

Mapenzi ni Konyoo nikimpigia nikaingizia maneno ya mapenzi anawaka na kufokaa na kuwa mkali .Utaskia "hebu nitolee pumba zako kama huna vya maana vya kuongea" .Sijui anataka tujadili kuhusu nini au miradi ya kujenga barabara.

Nimeona Bora kujiengua kuliko kuteseka kumfosi mtu asiyenipenda .

ALIKIBA ALIKUWA SAHIHI ALIPOSEMA KUFOSI MAPENZIII NI MBAYA SANA
Pole mwenzangu yalishanikuta mwenzangu.kumbe niko kama ww na ww uko kama mm?msg mpaka nimwanze nisipotuma imeisha hyo hadi anakuwa kero bakora tanotano msimbaz msimbazi sioni uvivu kumpa wikiend kila siku ni mzinga wa pesa.kuna siku tulikubaliana tukanyanduane nikampeleka mpaka gest na chumba nililipia nilichoambulia ni kunyonya ziwa na kuingiza vidole kwenye mbunye mtoto wa watu mpaka kalegea ile navua nguo tu c akaona dushelele limesimama akanza visingizio kibao.mara tukapime afya ndo tufanye nikamwambia kwa leo tu tufanye nitavaa sox akakataa nikamlazimisha lakini wap. mambo yakaishia hapo ila nilijipa imani iko siku nitamla tu.

Nikawa nawasiliana nae kama kawa cha ajabu kila nikimkumbushia tukapme akawa ananikwepa ila mizinga akawa ananipiga na mm nikagoma kumpa mwisho wa siku nikakata mawasiliano mpaka leo hii anitafuti na mm c mtafuti ila nikikumbuka chuchu zake saa 6 zilivyokuwa ngumu mixa pesa yangu ya gest nilivyolipia dah inauma kweli mana mtoto ni mbichi wa miaka 18
 
Jamani mwenzenu yamenikuta huyu Dada nampenda lakini naona ni kama najipendekeza Kwa mtu asiyenipenda.

Nikituma meseji mchana anajibu usiku nikituma meseji usiku anajibu mchana.Najitahidi Kwa nguvu zangu zote penzi liendelee lakini kwake sioni juhudi zote yupo kimya.Na akijibu hizo meseji anajibu Yale MAJIBU mafupi kama 'poa' 'safi' 'aisee'.Nikimsifia ni mzuri anasema 'najua'. Hajawahi dhubutu kujibu zaidi ya neno Moja .Majibu yake yananikera na nisipomtafuta sidhani kama atadhubutu kunitafuta.

Mapenzi ni Konyoo nikimpigia nikaingizia maneno ya mapenzi anawaka na kufokaa na kuwa mkali .Utaskia "hebu nitolee pumba zako kama huna vya maana vya kuongea" .Sijui anataka tujadili kuhusu nini au miradi ya kujenga barabara.

Nimeona Bora kujiengua kuliko kuteseka kumfosi mtu asiyenipenda .

ALIKIBA ALIKUWA SAHIHI ALIPOSEMA KUFOSI MAPENZIII NI MBAYA SANA
Nimesoma zaidi ya mara mbili uzi wako sijaona sehemu yoyote ukisema ulimuonga hata 10k.

Maneno kidogo pesa mingi mingi🤣🤣🤣
 
pole mwenzangu yalishanikuta mwenzangu.kumbe niko kama ww na ww uko kama mm?msg mpaka nimwanze nisipotuma imeisha hyo hadi anakuwa kero bakora tanotano msimbaz msimbazi sioni uvivu kumpa wikiend kila siku ni mzinga wa pesa.kuna siku tulikubaliana tukanyanduane nikampeleka mpaka gest na chumba nililipia nilichoambulia ni kunyonya ziwa na kuingiza vidole kwenye mbunye mtoto wa watu mpaka kalegea ile navua nguo tu c akaona dushelele limesimama akanza visingizio kibao.mara tukapime afya ndo tufanye nikamwambia kwa leo tu tufanye nitavaa sox akakataa nikamlazimisha lakini wap. mambo yakaishia hapo ila nilijipa imani iko siku nitamla tu. nikawa nawasiliana nae kama kawa cha ajabu kila nikimkumbushia tukapme akawa ananikwepa ila mizinga akawa ananipiga na mm nikagoma kumpa mwisho wa siku nikakata mawasiliano mpaka leo hii anitafuti na mm c mtafuti ila nikikumbuka chuchu zake saa 6 zilivyokuwa ngumu mixa pesa yangu ya gest nilivyolipia dah inauma kweli mana mtoto ni mbichi wa miaka 18
Ndugu na wewe kuna sehemu ulituangusha; yaani amevua, umemlainisha na vidole vimefika kunako kuongeza utelezi na bado ukashindwa tu kuweka mashine kwa kisingizio chake?!!!!! Hapo ulitakiwa uweke pembeni zile aina kadhaa za ubakaji zitolewazo na haya madawati ya jinsia.........ungepiga mzigo kivyovyote; sasa hv atakuwa anakucheka huyo!
 
Jamani mwenzenu yamenikuta huyu Dada nampenda lakini naona ni kama najipendekeza Kwa mtu asiyenipenda.

Nikituma meseji mchana anajibu usiku nikituma meseji usiku anajibu mchana.Najitahidi Kwa nguvu zangu zote penzi liendelee lakini kwake sioni juhudi zote yupo kimya.Na akijibu hizo meseji anajibu Yale MAJIBU mafupi kama 'poa' 'safi' 'aisee'.Nikimsifia ni mzuri anasema 'najua'. Hajawahi dhubutu kujibu zaidi ya neno Moja .Majibu yake yananikera na nisipomtafuta sidhani kama atadhubutu kunitafuta.

Mapenzi ni Konyoo nikimpigia nikaingizia maneno ya mapenzi anawaka na kufokaa na kuwa mkali .Utaskia "hebu nitolee pumba zako kama huna vya maana vya kuongea" .Sijui anataka tujadili kuhusu nini au miradi ya kujenga barabara.

Nimeona Bora kujiengua kuliko kuteseka kumfosi mtu asiyenipenda .

ALIKIBA ALIKUWA SAHIHI ALIPOSEMA KUFOSI MAPENZIII NI MBAYA SANA
Tafuta hela . Wanawake wengi wanamadharau Sana miaka hii. Tafuta pesa atajileta mwenyewe
 
Jamani mwenzenu yamenikuta huyu Dada nampenda lakini naona ni kama najipendekeza Kwa mtu asiyenipenda.

Nikituma meseji mchana anajibu usiku nikituma meseji usiku anajibu mchana.Najitahidi Kwa nguvu zangu zote penzi liendelee lakini kwake sioni juhudi zote yupo kimya.Na akijibu hizo meseji anajibu Yale MAJIBU mafupi kama 'poa' 'safi' 'aisee'.Nikimsifia ni mzuri anasema 'najua'. Hajawahi dhubutu kujibu zaidi ya neno Moja .Majibu yake yananikera na nisipomtafuta sidhani kama atadhubutu kunitafuta.

Mapenzi ni Konyoo nikimpigia nikaingizia maneno ya mapenzi anawaka na kufokaa na kuwa mkali .Utaskia "hebu nitolee pumba zako kama huna vya maana vya kuongea" .Sijui anataka tujadili kuhusu nini au miradi ya kujenga barabara.

Nimeona Bora kujiengua kuliko kuteseka kumfosi mtu asiyenipenda .

ALIKIBA ALIKUWA SAHIHI ALIPOSEMA KUFOSI MAPENZIII NI MBAYA SANA
Uzuri mmoja ni kuwa umeshafanya uamuzi wa kiume wa kujiengua! Msikilizie kwanza, kama alikuwa anakupima tu basi atajitokeza mwenyewe!!
 
Jamani mwenzenu yamenikuta huyu Dada nampenda lakini naona ni kama najipendekeza Kwa mtu asiyenipenda.

Nikituma meseji mchana anajibu usiku nikituma meseji usiku anajibu mchana.Najitahidi Kwa nguvu zangu zote penzi liendelee lakini kwake sioni juhudi zote yupo kimya.Na akijibu hizo meseji anajibu Yale MAJIBU mafupi kama 'poa' 'safi' 'aisee'.Nikimsifia ni mzuri anasema 'najua'. Hajawahi dhubutu kujibu zaidi ya neno Moja .Majibu yake yananikera na nisipomtafuta sidhani kama atadhubutu kunitafuta.

Mapenzi ni Konyoo nikimpigia nikaingizia maneno ya mapenzi anawaka na kufokaa na kuwa mkali .Utaskia "hebu nitolee pumba zako kama huna vya maana vya kuongea" .Sijui anataka tujadili kuhusu nini au miradi ya kujenga barabara.

Nimeona Bora kujiengua kuliko kuteseka kumfosi mtu asiyenipenda .

ALIKIBA ALIKUWA SAHIHI ALIPOSEMA KUFOSI MAPENZIII NI MBAYA SANA
Wazee wa kataa ndoa wanajiliwaza.
 
1. Upo sensitive sana na mapenzi eneo la hisia. Hii sio sifa ya kiume ndio maana anakuona waajabu.

2. Mwanamke ambaye hajakuelewa mkakati wako, ukizidisha mazoea nae anakuona kero. Inakuwa kama mtu anayetuma barua za maombi ya kazi ama tenda bila kuonyesha ushahidi wa uwezo wake wa kiutendaji, ni ngumu kupewa nafasi. Kwa kifupi upo too desperate.

3. Ukiwa available sana kwa binti ambaye hamjaanza kuishi pamoja then anakuona kama mtu ambaye hauna shughuli zingine za maendeleo. Nadhani wanawake ungewaelewa usingekuwa too available muda wote ili utunze heshima yako. Na unaonyesha wewe hauna ratiba za utafutaji maisha maana kwa mtu ambaye yupo busy na maisha hizi ratiba za kubembeleza mabinti anazitolea wapi?!

Anza na kurekebisha ratiba zako kwa kuzingatia matumizi sahihi ya muda wako na resources zako yaani pesa. Una mambo muhimu mangapi yanakusubiria hadi uweke priority kwa mwanamke.
 
Back
Top Bottom