Mapenzi shida

Love Doctor

JF-Expert Member
Jun 28, 2016
726
786
Nafurahi tu japo moyo unavuja damu
Asee aliniambia mimi ndo mwanaume wa ndoto zake
Hakuwahi kupata mwanamume kama mimi ninayempitisha kilele cha mlima meru na kilimanjaro
Ni mimi pekee niliye mfundisha kuogolea hadi kuzamia chini katika ziwa duluti
Hizo sifa zote zilikuwa zangu

Siku moya jioni
"Oy Ommy vp " shwari kwema ? " Kwema man nipeleke apo pasua lerini tumpitie shemeji yako alafu unishushe geto" ni msela wangu wa kitaa Nikawasha chuma mpka maeneo husika tukafika akapiga simu mtu atoke eeeh mara uso kwa uso na kipenzi cha moyo wangu yule aliyenipa sifa zote za ulimwengu na hata asubuhi tulisifiana na kupeana ahadi kibao
Bibie aliponiona akasita akarudi ndani akampigia msela ooh nimesahau pochi ndani
Bhaana weee tulikaa masaa mawili demu hatoki nikamuuliza msela una ugomvi na demu wako msela kanijibu hapana
"Ommy nimekuweka sana man nitakulipa muda wako nipeleke getto kwa sababu anapajua atakuja kwa muda wake" jamaa hakusanuka chochote ilikuwa siri yetu tu
Nikamuuliza msela umekula ? Akanijibu mara kibao nikamuuliza vipi na Happy akacheka kisha akasema mimi mpitaji tu, nguo ni chafu nataka aje afue asafishe na geto daah !! nilichoka asee akanilipa nikarudi kijiweni
Penzi lilikufia hapo hakuwai kunitumia sms na mimi sikuwahi kumtumia sms tena hakuna aliyemtafuta mwenzake mpaka leo ila nasikia yule demu karudi kwao kijijini

Leta story yako tunaruka nayo live

Abuuabdillah
0744883353
0718569091
 
Love doctor na yeye kaachwa Tutafika Jehanam tumechoka sana....,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom