Kuifinyia Kwa ndani

Kuifinyia Kwa ndani

pureman2

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2019
Posts
1,491
Reaction score
2,563
Mwana JF hope mko fine

Katika kusoma thread nyingi za MMU hasa zenye contents za minyanduanao hutaacha kusikia neno hili 'Kuifinyia Kwa ndani'

Wanaolitumia neno hili uonyesha kufurahia kana kwamba ndio ufundi ambao mwanamke anaweza ufanya ili kumpagawisha mwanaume vizuri

Binafsi sina uzoefu na hii kitu..je kuifinyia Kwa ndani ni ufundi wa mwanamke au ni maumbile na umbo la uke wenye misuli inayoweza kuibana vizuri 'dyudyu la yule' au ni zao la style ya mnyanduo iliyotumika.

Leo hebu leteni uzoefu na uelewa juu ya hii kitu kuifinyia kwa ndani. Coz unaweza kuwa unaishi afu Kuna vitu vizuri hujawahi fanyiwa ila unaombwa hela TU .


Naomba kuwasilisha
 
Back
Top Bottom