Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Je wajua kuwa nywele za chini na ndevu ni urembo wa kimahaba? Mwenyezi Mungu alituumba na kutuwekea hivyo akiwa na maana kabisa ila sasa binadamu wa leo wamestaarabika kiasi waonaona ndevu au...
18 Reactions
156 Replies
15K Views
Nimesikia yote kuhusu malalamiko baina ya wanandoa ila kubwa imeonekana tatizo ni watu hawapati watu sahihi Mimi nimeshuhudia mke sahihi atakayekupenda story yenu iwe kama ifuatavyo. 1.Umzidi...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Heri ya mwaka mpya waungwana... Mapendo daima... Asee kuna muda unampata mtu au unakuwa na mtu unampenda balaa na ukiwa nae ni raha tu ila kila ukitafakari mazingira yake na yako inabidi...
23 Reactions
247 Replies
11K Views
Habari habari naingia na kiu na haja ya moyo. Nahitaji mwanamke binti asiye na mambo mengi asiye na mtoto (asiye legend wa labor), nyonyo ngumungumu sio nyonyo lala, si kwa ubaya awe mfanyakazi...
6 Reactions
77 Replies
6K Views
Usipomsikiliza wewe watakuja waharibifu watamsikiliza nae atawasikiliza Mwenye masikio na asikie
2 Reactions
5 Replies
514 Views
Hello mambo!! Wahenga walisema kizuri cha jiuza kibaya cha jitembeza. Kwa muktadha huo tuishi uhuru wa kifikra, kimaamuzi, iwe haki na huru. Kama ndoa ni nzuri mbona mnatumia nguvu kubwata na...
3 Reactions
32 Replies
1K Views
Mbali na kuwa kwenye ndoa ya wake wawili waaminifu, nina mchepuko wangu anayeishi mtaa fulani. Mchepuko huyu nilimpatia mtaji, kwa kuwa yuko na akili ya maisha, alifanikiwa kufungua biashara na...
8 Reactions
54 Replies
4K Views
Yes nilikua natokea Kilosa Morogoro kwa ishu zangu nikawa nimechelewa bus za moja kwa moja kutoka Kilosa mpaka Dar, ikanibid nibande gari mpaka Dumila ili nivizie gari zinazotoka barabara ya...
5 Reactions
40 Replies
3K Views
Huko nchini Marekani Mwanaume aliyeoa wake watatu amepata umaarufu na kutajwa kuwa mfano wa mwanaume mwenye familia bora iliyoshikamana na wake hao watatu wanaoishi kwa amani na mume wao ambaye...
14 Reactions
63 Replies
5K Views
Nimesikitishwa saba na tabia za mademu wengi, unamtongoza, hata kabla hajakukubali anaanza kukufungulia pochi yake ya matatizo. Mara naomba nauli ya mama aende kumuuguza mama mkubwa, hivi...
15 Reactions
91 Replies
5K Views
Duniani kuna mambo mengi ya ajabu! • Unatambua kuwa maji ya maiti ndo uwaga kunatoka dawa inayoitwa mnyonshe(au shuntama) daa ni huzuni ili jambo sio pouwa maji ya maiti (ndo maji pekee...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Hii topic ni ya mahusiano, suitable for MMU. Ulimwengu na Taifa letu Kwa ujumla linapitia katika transformation kubwa ambayo ina athari kubwa sana, Sasa Kwa ambao at least tumezaliwa miaka ya...
4 Reactions
17 Replies
727 Views
Vijana na watu wazima naona ndoa zimekua chungu.sawa tusiwe kwenye ndoa. Ili hapa hakuna kabisa.
0 Reactions
6 Replies
461 Views
Et Baba wa nyumba... Haiwezekani unasomesha mtoto Intaneshino skuli, alafu jioni mtoto wako anarudi home. Ile ameshakula Cha usiku, anachukua Daftari, anakufata wewe Baba yake, Baba umekaa...
16 Reactions
111 Replies
5K Views
Nimetumiwa text huko private message ambapo mdada mmoja anahitaji nimshauri kuhusu changamoto ya mahusiano. Fuatilia hapa anavyojieleza kuhusu hiyo shida yake na vile nilivyo mshauri. Mdada ...
2 Reactions
48 Replies
2K Views
Salaam JF, Mwanamke sio sanamu bali ni binadamu, hivyo wanaume acheni uduni wa fikra usijichoshe. Tongoza mwanamke mwenye dalili zote za kuvutiwa na wewe. Kwa uchache tu pokeeni huu ujumbe. Wadiz
10 Reactions
20 Replies
2K Views
Hii nimeona nii lete kwenu wakuu kuna jamaangu ali kuwa na mpenz wanapenda sanaa ila hajawahi kus#e&x nae kila akimwomba ana mwambia nitakupaa 🤭 ikafika muda mwamba aka chimba akamwacha manzi je...
1 Reactions
5 Replies
613 Views
Mama: calling-------- mimi: hellow mama shkamoo Mama: marahaba baba za uzima mimi: njema mamaangu mungu anasaidia vipi nyie hukoo mama: huku kwema baba ile hela nimepata asnte mungu akubariki...
2 Reactions
11 Replies
488 Views
Roho wa bwana ananiambia kwamba siku hizi mnajisahau sana kuvaa kinga shida nini jamani mtakufa vibaya dogs nyie mkilewa kilimanjaro huko mnaingiliana kavukavu ina maana hamuogopi tena maradhi...
8 Reactions
71 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu, Nisiwapotezee muda moja kwa moja niende kwenye mada husika. Katika harakat za kusaka jinsi ya kukituliza kichwa kidgo ili kipate kutulia nikakutana na kadem kakitanga portable...
8 Reactions
43 Replies
4K Views
Back
Top Bottom