Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Sijui nianzie wapi ila kiufupi simu yangu ilikuwa diverted na mtu nisiemjua. Baada ya watu kunijulisha hilo kuwa wakinipigia anapokea mwanaume nikajaribu kuzima simu yangu kubwa nikatumia...
11 Reactions
112 Replies
5K Views
Wabari wakuu na wanaJF, natumaini ni wazima wacha niende kwenye mkasa. Mke wangu ni mjamzito, sasa mwezi huu wa 11 nilipata safari ya kikazi Dodoma sasa inaenda wiki ya 3, lakini baada ya...
31 Reactions
282 Replies
20K Views
Kuna hawa madem kama watatu hivi,tunalink fresh kabisa na wakikwama mambo madogo madogo nawasupport ila linapokuja suala la kuniletea mbususu geto wanakua wajanja kweli! Namimi nikaamua kuchange...
31 Reactions
95 Replies
6K Views
Wakuu, husika na kichwa cha uzi. Siku hizi ninapenda pesa sanaaaa yaaani nikiikosa nahisi kuchanganyikiwa kabisa. Kama ni watoto nitawafokea kwa vitu vidogo vidogo na ninaweza nisielewane na...
16 Reactions
136 Replies
5K Views
ASANTE kwa Muda wako Sent using Jamii Forums mobile app
30 Reactions
360 Replies
40K Views
Habari wana MMU, Kuna jambo limekuwa likinisumbua sana nafsi yangu hivyo nimeamua kuja kushare nanyi ili muweze kunishauri. Ni hivi, nina mchumba wangu ambae ninampenda sana na tunatarajia...
0 Reactions
322 Replies
29K Views
Wakuu salama na hongera kwa kazi mnazozifanya kwa kulijenga taifa letu. Niende kwenye mada Huyu Madam baada ya kufunguka kuwa anahitaji ndoa na mimi na kupelekea hadi kunitunuku tam yake, na mimi...
13 Reactions
64 Replies
4K Views
  • Closed
Katika kagua kagua simu nimekutana na msg ya mchepuko anakumbushia ile biashara aliyoambiwa aaangalie kama itafaa afunguliwe biashara tayari mbona kama mume amenyamaza? Jibu la mume ni kwamba...
110 Reactions
711 Replies
54K Views
Kwa mwanamke Unamsaliti mumeo unaenda kwa mchepuko, hapo kichwani unawaza kwamba leo naenda kupewa show ya kukata na shoka. Kufika kwenye mechi jamaa mchepuko anapiga tako tatu, halafu anamwaga...
1 Reactions
4 Replies
731 Views
Una mwanamke sasa ni miezi kadhaa. Pengine una miaka kadhaa pamoja naye. Lakini kuna vitu anavifanya huelewi hujui ufanye nini. Hujui kama uko peke yako au la. Muda mwingi anakua na jeuri...
4 Reactions
7 Replies
3K Views
I'm innocent 40 miaka One child WITH HIV+ I don't have a wife I'm Christian I love God too much Natafuta mwanamke yuko na VIH + Mature, love to pray Love work Love God Mwanamke mrembo Mungu...
2 Reactions
5 Replies
927 Views
  • Closed
Rejea kichwa cha habari hapo juu, nahitaji mwanaume wa kunipa ujauzito kwa makubaliano kua huyo Mtoto atakua wa kwangu peke yangu, Niliwahi kuja hapa na kutoa ushuhuda kua ninajihusisha na...
53 Reactions
675 Replies
49K Views
Ule msemo wa mke mwema anatoka kwa bwana naona kama ni stagnant perception! Uwezo wa kupata mke mwema unatokana na akili yako na sio kusubiri ety bwana. Just imagine. Katika akili yako unawaza...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Kwa wale waliovuka hii stage, naomba uzoefu wenu wa namna ambavyo natakiwa kufanya ili nikajitambulishe Kwa mke wangu tarajiwa Moshi, kufupisha story ni kwamba huyu binti ni mjamzito sasa, wazazi...
5 Reactions
119 Replies
14K Views
Habarini Nimeishi na uyu bint sasa ni miaka 3 . Amekomalia sana ndoa ramadhani hii kasema lazima tufunge ndo Wote sisi ni waislam Mimi mfukoni apa nna laki 3 tu. Wazazi wetu wako mbali na sisi...
6 Reactions
41 Replies
2K Views
Pengine hizi opportunity ningezitumia basi na mimi BabaMorgan ningekuwa na visa kadhaa kwenye ule uzi pendwa wa kula tunda kimasihara. 1. Huyu alikuwa mtoto wa mwenye nyumba wetu kule mabibo...
7 Reactions
18 Replies
2K Views
Wana Jf nawasalim, Nina mpenzi wangu mpya ambae amehamia kwangu katika mazingira ambayo yanatatanisha hadi sasa na hatimae kubeba mimba bila ridhaa yangu.Huyu binti tumefahamiana miezi si mingi...
5 Reactions
95 Replies
12K Views
Natumaini ni wazima Sio muandishi mzuri mnivumlie Kama ilivo kawaida ya maisha nimepitia mambo kadhaa hapa siku za karibuni ambayo yakanifanya nisiwe sawa hayakuwa mazuri Baada ya muda...
14 Reactions
156 Replies
6K Views
Baada ya binti kubeba ujauzito wangu kwa takribani siku kadhaa sasa nataka niende kwao nikajitokeze kama mhusika. Kwa wale wazoefu wa haya mambo naombeni mwongozo naanzaje kujipanga Kama mhusika...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Kama tunavyoelewa kuwa kahaba ni mwanamke anaetoa huduma ya ngono kwa pesa ili kujiweka sawa kiuchumi au kimatumizi.Nafahamu zipo tafsiri nyingi na pana zaid juu ya neno kahaba. Niende kwenye...
4 Reactions
69 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…