• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Mchumba wangu kanisaliti!! Niko kwenye maumivu makali naombeni ushauri

G.T.L

G.T.L

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2012
Messages
443
Points
500
G.T.L

G.T.L

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2012
443 500
Wakubwa zangu shikamooni, vijana wenzangu habari vipi?
Ndugu zangu, nipo serious sanaa katika ombi langu, nakuomba unipe muda wa kunisikiliza kidogo na unishauri kama inafaa.

Mimi ni kijana nina umri wa miaka 29, ni mwajiliwa serikalini idara ya Afya. Kuna binti nilianza nae uchumba 2017 mwanzoni yeye akiwa chuo flan cha afya, Mimi ni Mgogo yeye ni Mbulu ana miaka 24 sasa.

Tulianza mapenzi akiwa ameonesha msimamo wa kutoshiriki tendo lolote na mimi mpaka mwaka mmoja ulipopita ndo tukaanza kukutana kimwili. Ni binti ambae niliona huyu anafaa kuwa mke wangu kabisaa maana alikua ana msimamo sanaa hata kwa watu wengi waliokua wakimtongoza maana alikua ananionesha sms na calls zao, bas nikawa namshauri wajibu wewe ni mke wa mtu na unahitaji heshima, kiukweli nilijipa moyo hapa nimepata mke kweli kweli.

Basi akamaliza chuo 2017 mwishoni nikamtaftia ajira ya kujishikiza mahali flani mkoa wa Mwanza. Sasa nikawa nimeongea na mtu mmoja awe anafatilia nyendo zake wakati mimi nipo mbali.

Alipotimiza miezi miwili kazini nikapata taarifa kuna kabwana mdogo ka umri wa miaka 22 - 24 kanatembea nae hapo hapo alipopanga chumba, sikutaka kuamini, ikanibidi siku moja nifanye kusadiri kwenda kumtembelea kimya kimya bila taarifa, nikafika akanipokea vizuri. Ilipofika usiku nikamwambia sasa mpenzi unaweza kunihakikishia huku huna mchezo wowote mchafu wa kimahusiano? Akanijibu hapana kabisa mpenzi wangu naomba uniamini.

Nikamuuliza, Je, unaweza kunipa simu yako nikague chochote? Akapata kigugumizi sanaaaaa, nikamuuliza Unanipenda na unajiamini? Akajibu ndio, nikamwambia bas naomba simu yako, akapata kigugumizi kizito sanaaa.

Basi ikanibidi nichukue simu yake nipitie sms na whatsap, aseee niliyoyakuta ni mazito mnooooooo wallahi Nimepata simanzi kubwa sanaaa, ikanibidi niondoke usiku huo huo kwenda kutafta Lodge nikalala na kesho nikaondoka kurudi kazini.

Mchumba wangu huyu nilikua nimeshafahamiana na ndugu zake baadhi na mama yake mzazi alikua ananijua kwa picha tu na alikua tayari karidhia niwewe mkwe wake kabla hata sijaenda kujitambulisha maana matendo niliyomfanyia mwane ni mwanaume mwenye malengo mazuri wazi wazi. Kinachoniuma zaidi ni kwamba nimetumia muda mwingi sanaaa kumjenga kiimani, kumjenga juu ya tabia za wanaume wenye tamaa, kiukweli niliamini huyu mwanamke sasa hakuna atakae weza kumshawishi maana hata mimi binafsi nilikua nimebadilika sanaaa kitabia sikuwa nnahamu na michepuko tena niliona sasa huu ni muda wa kutulia na mwanamke mmoja sina haja ya kutanga tanga na dunia ya leo.

Ndugu zangu niko serious sanaaa, naombeni ushauri cha kufanya, mwanamke huyu alikua anatembea na kijana wa mwenye nyumba tena kwa kulala nae chumbani kwake karibu kila wiki.

Mwanamke alionesha sanaaa kunipenda tulikua tunawasiliana kila siku zaidi ya mara 5 kila siku ya Mungu. Leo naona dunia imenigeuka, nina maumivu makali sanaaaa, niliplan nije kumtambulisha kwetu mwaka huu December, na kwao ningeenda kujitambulisha November ili mwakani Mungu akijaalia tufunge Ndoa. Wakuu, niko gizani, nina msongo wa mawazo, mimi ni jasiri sanaaa lakini nakuomba wewe ndugu yangu ushauri wako katika hili, nakuomba usinitukane wala kunikejeli maana utaniongezea majonzi makubwa.

Naamini thread yangu hii itawafunza na wengine watakao kumbwa na mkasa kama wangu.
ASANTE kwa Muda wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bwii

bwii

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2014
Messages
1,176
Points
2,000
bwii

bwii

JF-Expert Member
Joined May 24, 2014
1,176 2,000
Makosa yako ni:
1.kukagua simu yake,
2.kumtrack mienendo yake(aligundua ndio maana akakuaminisha kuwa kawakataa wote wanaomtongoza)
3.kukaa nae mbali
4.kumuonyesha unampenda sana,
5.kumletea ulokole,

NB: Asilimia kubwa wanawake wa hilo kabila(sio wote) ni warembo ila ni maharage ya mbeya yaani maji Mara moja NA wewe umetokea kabila ambalo asilimia kubwa(sio wote) ni malimbukeni wa wanawake warembo eg. MC CHILL

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaby'z

Jaby'z

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2013
Messages
3,764
Points
2,000
Jaby'z

Jaby'z

JF-Expert Member
Joined Jan 15, 2013
3,764 2,000
Pole sana, Usimuamini mwanamke yeyote chini ya jua mkuu Ukiishi na haya maneno hakuna mbunye itakuumiza kichwa.

Maisha lazima yasonge kubali ni garasa endelea kupiga saundi huenda ukaokota dhahabu ya 36Billions.
 
Mc cane

Mc cane

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2018
Messages
4,106
Points
2,000
Mc cane

Mc cane

JF-Expert Member
Joined May 18, 2018
4,106 2,000
Wakubwa zangu shikamooni, vijana wenzangu habari vipi?
Ndugu zangu, nipo serious sanaa katika ombi langu, nakuomba unipe muda wa kunisikiliza kidogo na unishauri kama inafaa.
Mimi ni kijana nina umri wa miaka 29, ni mwajiliwa serikalini idara ya Afya. Kuna binti nilianza nae uchumba 2017 mwanzoni yeye akiwa chuo flan cha afya, Mimi ni Mgogo yeye ni Mbulu ana miaka 24 sasa.
Tulianza mapenzi akiwa ameonesha msimamo wa kutoshiriki tendo lolote na mimi mpaka mwaka mmoja ulipopita ndo tukaanza kukutana kimwili. Ni binti ambae niliona huyu anafaa kuwa mke wangu kabisaa maana alikua ana msimamo sanaa hata kwa watu wengi waliokua wakimtongoza maana alikua ananionesha sms na calls zao, bas nikawa namshauri wajibu wewe ni mke wa mtu na unahitaji heshima, kiukweli nilijipa moyo hapa nimepata mke kweli kweli. Basi akamaliza chuo 2017 mwishoni nikamtaftia ajira ya kujishikiza mahali flani mkoa wa Mwanza. Sasa nikawa nimeongea na mtu mmoja awe anafatilia nyendo zake wakati mimi nipo mbali. Alipotimiza miezi miwili kazini nikapata taarifa kuna kabwana mdogo ka umri wa miaka 22 - 24 kanatembea nae hapo hapo alipopanga chumba, sikutaka kuamini, ikanibidi siku moja nifanye kusadiri kwenda kumtembelea kimya kimya bila taarifa, nikafika akanipokea vizuri. Ilipofika usiku nikamwambia sasa mpenzi unaweza kunihakikishia huku huna mchezo wowote mchafu wa kimahusiano? Akanijibu hapana kabisa mpenzi wangu naomba uniamini. Nikamuuliza, Je, unaweza kunipa simu yako nikague chochote? Akapata kigugumizi sanaaaaa, nikamuuliza Unanipenda na unajiamini? Akajibu ndio, nikamwambia bas naomba simu yako, akapata kigugumizi kizito sanaaa. Basi ikanibidi nichukue simu yake nipitie sms na whatsap, aseee niliyoyakuta ni mazito mnooooooo wallahi Nimepata simanzi kubwa sanaaa, ikanibidi niondoke usiku huo huo kwenda kutafta Lodge nikalala na kesho nikaondoka kurudi kazini. Mchumba wangu huyu nilikua nimeshafahamiana na ndugu zake baadhi na mama yake mzazi alikua ananijua kwa picha tu na alikua tayari karidhia niww mkwe wake kabla hata sijaenda kujitambulisha maana matendo niliyomfanyia mwane ni mwanaume mwenye malengo mazuri wazi wazi. Kinachoniuma zaidi ni kwamba nimetumia muda mwingi sanaaa kumjenga kiimani, kumjenga juu ya tabia za wanaume wenye tamaa, kiukweli niliamini huyu mwanamke sasa hakuna atakae weza kumshawishi maana hata mimi binafsi nilikua nimebadilika sanaaa kitabia sikuwa nnahamu na michepuko tena niliona sasa huu ni muda wa kutulia na mwanamke mmoja sina haja ya kutanga tanga na dunia ya leo. Ndugu zangu niko serious sanaaa, naombeni ushauri cha kufanya, mwanamke huyu alikua anatembea na kijana wa mwenye nyumba tena kwa kulala nae chumbani kwake karibu kila wiki. Mwanamke alionesha sanaaa kunipenda tulikua tunawasiliana kila siku zaidi ya mara 5 kila siku ya Mungu. Leo naona dunia imenigeuka, nina maumivu makali sanaaaa, niliplan nije kumtambulisha kwetu mwaka huu December, na kwao ningeenda kujitambulisha November ili mwakani Mungu akijaalia tufunge Ndoa. Wakuu, niko gizani, nina msongo wa mawazo, mimi ni jasiri sanaaa lakini nakuomba wewe ndugu yangu ushauri wako katika hili, nakuomba usinitukane wala kunikejeli maana utaniongezea majonzi makubwa.
Naamini thread yangu hii itawafunza na wengine watakao kumbwa na mkasa kama wangu.
ASANTE kwa Muda wako

Sent using Jamii Forums mobile app
Simu mara 5 kwa siku

Hivi huwa inawezekana, ama huwa tunadanganyana tu humu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mtanganyika wa kweli

mtanganyika wa kweli

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2015
Messages
2,446
Points
2,000
mtanganyika wa kweli

mtanganyika wa kweli

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2015
2,446 2,000

Jasiri huwa hatoi machozi na makamasi kama wewe kuwa Realist.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shomari SN

Shomari SN

Senior Member
Joined
Apr 12, 2018
Messages
119
Points
250
Shomari SN

Shomari SN

Senior Member
Joined Apr 12, 2018
119 250
Unajua ni vizuri kufahamu kwanini mwenzako amekupenda japo ni ngumu sana. Nilichogundua huyo bibie ulikuwa unamtimizia mahitaji ya kifedha zaidi kuliko ya kimapenzi ndio maana alipopata hyo kazi akaona huna umuhimu kwa kiasi kubwa km zamani so akapata mtaalam wa kukata kiu yake ya kimapenzi. Anyway achana naye huyo vumilia tu yatapita. But next time ukipata mtu mwingine usirudie kosa. HAKIKISHA UNAKATA KIU KWELI KWELI!
Download playlist moja ya reggae inaitwa Lovers Reggae rhythm 2014 uuguze machungu vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Castr

Castr

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2014
Messages
15,508
Points
2,000
Castr

Castr

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2014
15,508 2,000
Watoto wa miaka 24 kwa kupiga deki na kusafisha mtaro hatujambo.

Mi nna roho ya ushindani yaani mtu wa chini ya umri wangu anichukulie wife!!? Hapana ningeenda kusomea mapenzi nimrudishe mdada kwenye himaya.
 
Kingsmann

Kingsmann

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Messages
2,205
Points
2,000
Kingsmann

Kingsmann

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2018
2,205 2,000
Tatizo huwa hamfuati zile gentlemen codes a.k.a bro codes...... Umevunja ile code ya "mwanamke hasomeshwi, utaja jinyonga", unaona sasa unavopata tabu?

Pia inaonekana hukumshika huyo binti kisawa sawa psychologically, ulikazana kumlisha maneno ya theory za maisha tuu ambazo hazina nguvu mbele ya temptation ya mapenzi. Ulichotakiwa kufanya ni kumpa show ya kihuni huyo mchumba wako ili siku akichepuka aone km aliyechepuka naye kampaka kinyaa tuu na hiyo ingefanya asiwe na hamu na mwanaume yyte zaidi yako.

Ushauri wangu ni huu: Jipe muda kabla hukafanya uamuzi woote juu yake, ili uone na yeye atakuwa na lipi la kusema.
 
G

GENE THERAPY

Member
Joined
Oct 29, 2013
Messages
45
Points
125
G

GENE THERAPY

Member
Joined Oct 29, 2013
45 125
Pole Sana mkuu. Mshukuru Mungu amekuonyesha uhalisia wa mambo kabla hamjafunga ndoa, njia rahisi ya kumsahau ni kufanya assumption kwamba amekufa na hutomuona tena, ukianza kuwaza muda uliowekeza kwake lazima utarudisha moyo nyuma au kujenga chuki, jambo ambalo halina faida kwako. Mapenzi ni Kama Maua, huchanua na kunyauka. Yamenyauka.
 
Forum statistics

Threads 1,402,829
Members 530,989
Posts 34,406,243
Top