Salaam wakuu
Mwaka 2020 nilihamia Dom kikazi. Leo naenda mwaka wa tatu Kuna aspects za kifamilia nazimiss sana.
Familia yangu ilibaki mkoa X coz mwenza wangu pia ni mtumishi sector binafsi na hivyo decision ya kuacha kazi ili ani join imekua na ugumu sana.
Mwaka huu tumepata mtoto wa kwanza na Sasa nimekua baba. Kila nikitoka kazini na kurudi home picha ni ya mtoto ndo inatawala my mind. Namiss kumuona alivyo inocent na jinsi mama yake anavyopambana kumtunza. Hakika ni experience mpya ambayo natamani kuishiriki kikamilifu.
Sasa umbali huu na familia yangu unaondoa the true meaning ya familia. Bado naishi kisela mnoo, nikitoka kazini nipite mtaani nile ndo nirudi home.
Sipendi kupika, sipendi kufua the situation ambayo inanifanya nimiss my family. Kazi ndo the only source of my income hivyo sina jeuri ya kuiacha ila ime cost my family happiness.
Hebu wakuu naomba tu share experience katika hali kama hii na jinsi ya kuisolve.
Kukiwa na mwana JF ambae yuko utumishi, DM me plz Kuna issue nahitaji msaada.
JF; the family where you get every help you need
Asanteni