Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,611
Hellow
Kuna haya mahusihano unakuta mwanaume ameshona shati la kitenge sawa na mchumba wake hapa ndoa lazima ukiona mwanamke umeweza mshawishi mwanaume mpaka akashona sare na wewe kama hajakuoa basi jua ndoa ipo njiani
Kuna haya wanao vaa shati na jeans sare haya huwa ni mahusihano ya miezi kazaa au event fulani baada ya iyo event kila mtu anafanya yake na picha kila mtu ana futa Hapa hakuna ndoa
Kuna haya mahusihano mwanaume au mwanamemke anamfosi mwezie ila mmoja hayupo tayali ila ndio wanaburuzana ivyo ivyo haya kawaida wanafika kwenye ndoa lakini bila kujua how was happen lakini pia wengine hawafiki huko wanatendwa vibaya sana na alie mtenda baadae ukumbuka kule alikotoka na kutamani kuludi kwa yule alie mtenda