Mpenzi wangu hataki tufanye mapenzi, naombeni ushauri

Mpenzi wangu hataki tufanye mapenzi, naombeni ushauri

mchichaa

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2015
Posts
304
Reaction score
129
Nina mpenzi wangu nilikua nampenda sana na kumpatia vitu vidogo vidogo pale apatapo shida. So nimekua nae kwenye Mahusiano ndani ya miezi 6 sasa, ila tatizo lake mi na yeye tunashindwana, hataki ni sexy na yeye kwa madai kwamba sie wanaume ni waongo, kwamba akinipatia nachokihitaji mimi nitakuja kumuacha yeye kwa kumsalitii...

Ilinibidi nimbembelezee sana ili anielewee ila ilishindikana mpaka ikanibidi nimpotezee bila kuwa na connection nae yeyote ndani ya 4 months.

Kwa sasa yeye uvumulivu kwake umemshindaa anani text kwa kunisalimiaa n.k. So naombeni ushauri wadau, niachane nae au niendelee nae???
 
ulimtaka ili awe kisuuzio au rafiki? Yeye ndo mwenye akili, anajua shida yako ni kumko.joleaa tu halafu uende zako huku ukimwachia mateso yote. Kesho akukute na yuleee. Namsifu sana huyo binti. Kama vipi, peleka mahari kwao umuoe ndipo uanze huo ujinga wako wa kumsex kila siku. Hata kazini usiende kwani hapo sasa ni mali yako ndo maana anaitwa Mrs. yaani mali ya Mr.
 
Mtoto nampendaa Sana tena na malengo nae ya kua nae coZ anajitambua na Ana akilii ya maishaa, Sio kumchezeaa@Mangatara
 
Kama unamalengo nae...usiwe na haraka na tendo la ndoa. fata taratibu zote na mwisho wa siku utakipata ulichokuwa unahitaji bila shida yeyote...
 
Tamaa haivumilii, ikinyimwa hukimbia bali pendo la kweli huvumilia mpaka ndoa.
^^
 
utauziwaje mbuzi kwenye gunia wewe? tafuta mwingine umtest kama yuko powa owa huyo ambaye hataki kuonjwa achana naye
 
Ameweza kuthibitisha hisia zake kwako maana baada ya kukukatalia ulikata kamba. Alijua zile zawadi zawadi zilikua ni chambo tu.

Wewe Endelea tu na hamsini zako, mahusiano ni zaidi ya ngono.
 
na wewe Ni mburura tu kwa iyo miezi 4 yote ulikuwa unamsubir yeye....we una jini mahaba wewe sio bure
 
Nimeshindwaa kukaenae cz na mgharamia huduma ndogo ndgo zinazonihusu alafu yes ataki kunipa Papuchii si kwamba ana7babishia mie kua na michepuko alafu sipendeleii zaidi ya kua na mmoja maisha ya sasa
 
Namshauri huyo mbabez aendelee kukubania, huna akili vizuri. Kama una nia njema ni tu zawadi twako si ungemvumilia tu.
 
Endelea nae tu. Siyo kwamba hataki ila wewe unashindwa kujiongeza. Usitumie hasira za kumpotezea, tumia akili na mbinu hakuna linaloshindikana. Endelea kuwa nae, endelea kumpatia hizo huduma. Jaribu kuanza nae hata na "Romance" usiwe na haraka. Kadri siku zinavyokwenda atazidi kukujengea imani kwamba unamsikiliza na kumjali, hapo sasa ndiyo utajilia kirahisi.
 
[QUOTE=mchichaa; Na mpenzi wangu nilikua nampenda Sana na kumpatia vitu vidgo vidgo pale apatapo shida,,, So nimekua nae kwenye Mahusiano ndani ya miaka 6 sasa ila tatizo lake mi na yy tunashindwana hataki ni sexy na yy kwa madai kwamba sie wanaume ni waongoo kwamba akinipatia nachokiitaji Mimi nitakuja kumuacha yy kwa kumsalitii......Ilinibidii Nimbembelezee Sana ili anielewee ila ilishindikana mbka ikanibidi nimpotezee bila kuwa na connection nae yeyote ndani ya 4 months, kwa sasa yeye uvumulivu kwake umemshindaa anani text kwa kunisalimiaa nk, So Naombenii ushauri wadau niachane nae au niendelee nae???????
 
Duuhh, mbona hili jepesi. Yakikukuta makubwa njoo tukushauri. Ulichofanya ni sawa na mtu kulalamika "hang-over" ya Vita Malta inamsumbua.
 
Back
Top Bottom