Ni kama story lakini ukweli ni kwamba nimetoka kuisamehe kuichakata Asubuhi hii hii kisa 2k (elfu mbili ya marejesho).
Ni kwamba kuna mdada mmoja hivi (anaelekea kwenye umama ila mashalah yuko...
If you are a lady with these attributes:
1. Smart (Intelligent)
2. Matured
3. Financially independent
3. Ambitious
5. Caring
And you need someone to spend quality time with, a man who is:
1...
Simulizi:UPENDO KATIKATI YA GIZA
Mtunzi:KJ07
SEHEMU YA KWANZA.
============================
Kuna wakati mwingine katika maisha ambapo upendo huzaliwa katikati ya machafuko na giza la kina. Ni...
Straight to the point.
Bro wangu alizinguana na mke wake, home kwake akueleweki kabisa, alafu kukununua anaogopa magonjwa, akawa anatafuta mchepuko, kahustle sana, akanishtua mdogo wake . Ni...
Kuna binamu yangu ambaye nimetokea kumpenda sana, mtoto wa shangazi yangu mama yake na baba yangu wana mama mmoja wa baba tofauti.
Uyo shangazi ana mtoto wake wakike nampenda sana mpaka inafika...
Kwenye suala la kufanya mapenzi katika ndoa au tendo la ndoa kwa mwanamke kuwa na vipaji au umri mzuri katika ndoa havina maana sana ukilinganisha na mental attitude uliyonayo kuhusiana na suala...
Ni rahisi kupata heshima kutokana na umri wako.
Lakini pale unapofungua mdomo tu utawaambia watu kila kitu kuhusu wewe. Waendelee kukuheshimu au wakushushe. Sababu unachoongea kinawakilisha...
Mwanamke aliyezalishwa huwa anachangamoto nyingi sana hasa pale bwana aliyemzalisha akiwa hai.
Tena ikitokea mtoto au watoto aliozalishwa bado wadogo hapo kazi unayo kweli kwali.
Ikitokea katoto...
Ndugu zangu wanaume, ukichelewa chelewa kumwaga mistari kwa mwanamke uliye mzimia kuna siku utaamka unakutana na status post "new mother in town."
[emoji28] Yaani anachukuliwa sentimeta chache...
Tuvijana twa siku hizi.... Tunapenda sana.
1. Kulelewa na mijimama
2. Kudanga
3. Kuwa Chawa
4. Kuwa NDO BASI TENA (MASHOGA)
Yaani hawataki kazi za wima, kazi sugu na kazi za kazi. Wanataka...
Kuna mwaka niko mitaa ya Mwananyamala nikakutana na dada fulani wa kizaramo anaitwa Somoe.
Ni wale waswahili OG sema Mungu alimjalia sura na umbo zuri.
Nikaimbisha nikakubaliwa nikawa najimegea...
Mimi ni kijana wa Kitanzania, ninatafuta mwanamke mwembamba, mrefu, ili awe mpenzi wangu kwa malengo baadaaye awe mke wangu.
Mimi nimesoma mpaka level ya Master's Degree na nimeajiriwa na...
Habari zenu wana JF, Nikiwa nimejawa maumivu na majonzi ya kisa hivi naandika kwa lengo la kuelimisha tu lakini kiukweli hata navyoandika sasa sina raha kabisa nikikumbuka usaliti huu.
Kipindi...
Masikini PC yangu HP MODEL ya laki saba na nusu, nikaitumia ndani ya wiki mbili tu! Upendo ukataradadi nikamhonga ili kudumisha penzi, wiki moja baadae tena ilikuwa x mass nikamfuma na kauzu mmoja...
Habari wakuu,
I know kwamba ni issue ambayo naweza kuikaushia ila nahisi ni tabia ambayo imenikera sana.
Hapa ninapoishi kuna jirani yangu nahisi ana urahibu wa kujichua, Alafu ubaya ni kwamba...
Nna hamu mwenzenu na hamu kuyahadithia
Oooh nna hamu tena nna hamu kuyasimulia
Utani kama utani tulianza kimasihara
Sikudhani sikudhani yatafikia mahala
Akiwa hapatikani hapaliki sijalala...
Ni jambo lililo wazi ili uweze kufanya maamuzi sahihi ni lazima uwe na taarifa sahihi. Kama sijakosea jukwaa hili ni muhimu kwa sababu linaweza kumsaidia mtu kupata taarifa ambazo zikawa msingi wa...
Habari zenu Wana Jamii forum am back again it's me mo mp5 mtoto wa kanali mtata...
Kuna binti nilikuwa nae kwenye mahusiano tulikutana kwenye ofisi za TRA sababu wote tulifika kwa ajili ya shida...
*
1. Mkumbushe mwanao kuwa WIVU utamfanya amchukie Mtu ambaye alipaswa ajifunze kutoka kwake.
2. Mkumbushe Mwanao kuwa Msaada sio Haki yake asipopewa Asinung'unike atafute Chake.
3. Mkumbushe...