Isaya J Elisha
Member
- Nov 8, 2016
- 23
- 33
Ndugu zangu wanaume, ukichelewa chelewa kumwaga mistari kwa mwanamke uliye mzimia kuna siku utaamka unakutana na status post "new mother in town."
[emoji28] Yaani anachukuliwa sentimeta chache kutoka mikononi mwako.
Unaanza kutia huruma [emoji28]!
Mtokee leo wakati bado una meda, "Chelewa chelewa utakuta mwana si wako."
What worse could happen? Anaweza akakukataa lakini pia anaweza akakukubali, huwezi ukajua mpaka umu approach.
Maisha ya mwanaume ndivyo yalivyo, kuna wakati uta face rejection, then unaamka unajikung'uta unaendelea na safari.
Kukataliwa ni sehemu maisha pia, wasukuma wanakuambia, "Life cannot only be rain and sunshine" kuna ukame pia.
On to the next one [emoji28].