Ninahamu ya kusimulia yalianza ka utani na yanakwisha kama utani

Binadamu Mtakatifu

JF-Expert Member
Jan 6, 2021
4,085
8,453
Nna hamu mwenzenu na hamu kuyahadithia

Oooh nna hamu tena nna hamu kuyasimulia



Utani kama utani tulianza kimasihara

Sikudhani sikudhani yatafikia mahala

Akiwa hapatikani hapaliki sijalala

Kanifanya kitu gani mbona imekuwa mara



Dua kuku menipata mwewe wallahi nyinyi

Ni mtihani

Hata makosa afanye yeye mimi ndo naomba

Samahani
Ona anacheka kama mazuri

Anajua kabisa amenteka kwake sina shughuli

Eti kumwacha naanzaje sa kusepa natoa wapi jeuri
 
Back
Top Bottom