Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nina rafiki yangu anatarajia kuoa single mother. Ila anapata shida kuhusu Familia ya Jamaa aliyezaa nae. Kule jamaa ana dada na Kaka pia, sasa ndugu zake hao watamuitaje mchumba wake. Na wazazi...
0 Reactions
13 Replies
917 Views
Tarehe 28/04/2023 hapa ofisini tutakuwa na get together sehemu za beach Kwa ajili ya kujipongeza kama staff Sasa walianzisha kamchezo Kwa Kila staff kuwa na secreto wake na siku ya tukio hilo...
4 Reactions
75 Replies
6K Views
Habari za wakati huu wana JF, poleni sana na majukumu. Wanawake wengi wamekuwa wakijivunia urembo wao kama zawadi ya uumbaji kutoka kwa Mungu na kusahau kuwa huo ni mtihani wa asili ambao...
5 Reactions
3 Replies
777 Views
Niliandika uzi fulani ndani ya huo uzi nikacomment mahala kwamba nina michepuko watatu. Baadhi ya members wameni-attack sana na wengine kuniita mkoloni, mbabe na majina mengine. Ila niwe mkweli...
3 Reactions
7 Replies
770 Views
Those little holes Define the margin of your beuty Like hotsprings pouring cheeriness They say its an angelic deformation, With little holy ditches on your cheeks Kisses deep down their...
13 Reactions
116 Replies
8K Views
Kikao cha dhalula, najua povu upande wa akina hawa au Eva, watafurusha kombola la Maangamizi, missile 05442, lada zina soma,ili kuangamiza upande wa juu, hapo ukraine, ni kwa wanaume harisi tu...
32 Reactions
182 Replies
12K Views
Kuna demu ambaye tulikuwa Tunapendana naye saana na kwa bahati nzuri na mbaya nilimpiga binti huyo baada ya mimi kumpa mimba binti huyo sikuwa na chaguo lingine zaidi ya kupanga mipango ya kumuoa...
7 Reactions
35 Replies
3K Views
Aliyesema mke wa mtu sumu hakukosea. Ni hivi, nina miezi miwili toka nioe tena ndoa ya kanisani, mke wangu tunazungumza lugha moja (lugha ya mama) nikiwa na maana sisi wote ni kabila moja. Ni...
19 Reactions
236 Replies
14K Views
Kama mdau na mchakataji kama wengine mimi staili yangu ya uchakataji ni kuwatoa out na mbinu hii imefanya nichakate sana. Watoto wazuri wanapenda out ila watu wa kuwatoa wengi wao wanawapeleka...
15 Reactions
44 Replies
3K Views
Wale wazee wenzangu wanalio kwenye harakati ya Kutafuta mke sahihi njoo hapa tuongee. Kuna kitu kimoja kupata mwanake ni rahisi sana wanawake wako wengi sana mtaani, makazini, njiani, barabarani...
10 Reactions
137 Replies
6K Views
Nilikua ndiyo nimeamka nikajiandaa kwenda kazini.. nimetoka upande wa nje ndiko ambako kuna mabanda na vitu mbali mbali ghafla niliona kitu kilichofanya tumbo livurugike... Nikamuona paka, ila...
3 Reactions
75 Replies
4K Views
Mimi ni kijana mdogo wa miaka 19. Hivi karibuni nimekua nikipatwa na msukumo mkubwa wa kunywa pombe na kuvuta bangi. Kusema kweli najaribu sana kujizuia, lakini naona kama hizi jitihada zangu...
6 Reactions
226 Replies
7K Views
Mi ni mwanafunzi wa chuo, juzi tarehe 05 kulikua na birthday ya binti flani ni rafiki/mwanachuo mwenzangu aliweka kiparty flani cha magumashi, sehemu aliyopanga kulikua na chumba tupu basi kakawa...
11 Reactions
142 Replies
8K Views
Nafsi yangu inanituma kuoa baada ya kupitia maisha yenye karibu kila sura na nimempata binti mzuri wa sura na nafsi ambaye pamoja na ujinga na uchafu wangu amekua na mimi kwa takribani miaka...
1 Reactions
55 Replies
4K Views
That little space Make your smile so golden, Like perfect cleavage demonstrated in shining mineral. They its sign of fertility Like a vale of happiness When your face shows that flowery laughter.
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Wakuu mmebarikiwa sana, ninyi ni wa juu. Baba yangu aliwahi kuniambia mambo matatu kuhusu wanawake, na nikiwaendekeza katu sitafanikiwa na hakuna jambo taweza lifanya kama nisipokuwa makini...
8 Reactions
19 Replies
2K Views
Mahusiano yakifa, kila mmoja huwa anaelezea habari mbaya za aliyekuwa mpenzi wake, yale mazuri yote yalifutika mapenzi yalipoisha. Jamaa analalamika jinsi gani ameweza kumpangishia nyumba mpenzi...
20 Reactions
64 Replies
9K Views
Mimi nipo Dar kimaisha na makazi pia na ni mtu mzima ninaye jiheshimu natafuta mwanamke wa kuanzisha mahusiano naye Hadi ndoa muhimu awe mkweli na mwenye mapenzi ya kweli na umri usiozidi miaka...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…